Sheik Ponda ni janga lingine la kitaifa

Nimemuona mliman tv ni hopeless man anaongea visivyoeleweka.. Nime'prove rasmi maneno ya mufti kuwa ponda hajaenda shule hata darasa moja
 
CV yake inaonekana jina tu, hana background ya kitaaluma, wala hana uzoefu wa kiutendaji.
Bakwata waliuliza amegraduate chuo gani cha kiislam, akakosa jibu

Bujibuji mufti alisema ponda hajasoma hata darasa moja ya ilmu dunia na ilmu ahera anabahatisha tu.. Kabobea kwenye kucheza karate ndani ya misikitini na kuanzisha migogoro ya kuteka misikiti huyo ndio PONDA
 
Last edited by a moderator:
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
Sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa

sheikh ponda siyo janga kama sheria ingekuwa inachukua mkondo wake. Wacha serikali impe kichwa kwa kuendeakeza sera za udini.

haya matendo yanayofanyika nahisi kuna mkono wa al kaida au boko! Hii sio dini!!
Waislam tusikubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache......wenzetu wanatutuma wao wanalipwa sisi tutafia segerea na familia zetu kutaabika

hana hoja,uwezo mdogo wa kufikiri ni "sheikh ubwabwa" hakuna muumini wa kweli wa dini ya kislamu anayeweza kuchoma moto nyumba ya ibada ya madhebu mengine kimsingi hawa ni wahuni na makafiri waliojificha katika kivuli cha uislamu

huyo mzee ni uamsho!

wekeni cv yake hapa

huyu jamaa lazima analindwa sio bure.

sure mkuu i know muslims ndi ndugu/jamaa zangu nmeishi nao vizuri

cv atoe wapi huko kuku mkuu??

Kova si alisema atamkamata wakati wowote

watanzania, shekhi ponda sio janga, ni mpuuzi mmoja anayejua serikali ni dhaifu na anaiburuza, he is like a spoilt b****

wamtandike viboko marambili tu uone kama atakua anongea-ongea

hivi hakuna kabisa vija wa kikristu kumpfundisha huyu kuku adabu?

na hizo tivii zinazompa airtime ni pumbavu kabisa

mkuu inspectorbenja huyo ponda kaonyeshwa tv gani? Nivizie marudio sijawahi kumuona na hamu nae ile mbaya

kuna tofauti gain kati ya hawa mashekhe wawili
sheikh issa ponda na sheikh jakaya mrisho

mkuu haya mambo sasa yanachosha

hata sheria haina haja, zaidi busara za rais tu. Kwa kweli yametukuta na rais wetu huyu

tatizo kubwa na elimu waliyonayo wenzetu hawa


ah mkuu hapa sasa ....................

huyu mzee lazima awekwe chini ya ulinzi mkali sana maana ametusumbua sana kwenye sensa kiasi kwamba taarifa ya sensa inatiliwa mashaka, sasa analianzisha la udini na ndio hawa wanaisema chadema ni chama cha kikristo.ya huyu kova angefanya mambo yetu kama yale ya kule mbeya wakati ule. Huyu mzee angetulia kimyaaa.

the later is the boss of the former. Other wise ni ndugu moja!

ponda kutakuwa tu na mtu ampaye kiburi,siyo bure..

Majirani zetu, sheikh ponda ni msemaji tu wa waislamu. Islam has more than bilion people like sheik ponda. He is just one of so many muslims who can even better than him. He is just doing his duty for the time being. Many of us can do the same when the time need us to do so. So dont think islam is sheikh ponda. The are so many sheikh ponda out there.
 
kwenye mambo ya kijinga jinga kama haya na mkumbuka sana igp omari mahita.enzi zake watu wangechomekea kazu ndani ya suruali.
 
Viongozi wa jeshi la polisi walisema siku chache zilizopita kuwa Sheikh Ponda atakamatwa nadhani muda bado,but kama sheria za nchi zingalikuwa zinafanya kazi Sheikh Ponda angelikuwa mikononi mwa vyombo vya dola na mahakama si kwasababu ni muislam bali kwasababu ni Mchochezi,mani na upendo ambao waislam na wakristu wamekuwa nao miaka nenda rudi yeye amekuwa kinara wa vurugu hata katika imani yake.
 
Nimemwona Mlimani TV akilaumu eti vurugu zilipotokea polisi hawakutenda haki kwa kwenda kulinda makanisa na kuiacha misikiti bila ulinzi. Na kwamba tukio la kuvamiwa kanisa la anglikana lilisababishwa na polisi kwenda kanisani hapo na kuanza kuwashambulia waislamu kwa mabomu kutokea hapo. Yaani leo ndio nimethibitisha kwamba huyu mzee ni arrogant!
 
haya matendo yanayofanyika nahisi kuna mkono wa al kaida au boko! hii sio dini!!
waislam tusikubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache......wenzetu wanatutuma wao wanalipwa sisi tutafia segerea na familia zetu kutaabika

toa uendawazimu wako.
 
Viongozi wa jeshi la polisi walisema siku chache zilizopita kuwa Sheikh Ponda atakamatwa nadhani muda bado,but kama sheria za nchi zingalikuwa zinafanya kazi Sheikh Ponda angelikuwa mikononi mwa vyombo vya dola na mahakama si kwasababu ni muislam bali kwasababu ni Mchochezi,mani na upendo ambao waislam na wakristu wamekuwa nao miaka nenda rudi yeye amekuwa kinara wa vurugu hata katika imani yake.

mmemkimbilia ponda sababu ni muislam mmesahau ya mchochezi namba moja padree slaa ama kweli manyani hayajioni makundule.
 
mmemkimbilia ponda sababu ni muislam mmesahau ya mchochezi namba moja padree slaa ama kweli manyani hayajioni makundule.


hivi slaa ndio alikojolea???
kuna kitu kimefichika hapa!!! funguka acha kuzuga mkuu
 
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa

sasa ndio umeongea nini?
 
mmemkimbilia ponda sababu ni muislam mmesahau ya mchochezi namba moja padree slaa ama kweli manyani hayajioni makundule.

Mkuu salam,
Dr.Slaa amechochea nini? Katika maelezo yangu nimezungumzia uislam kwa kiwango gani?Au usingependa kuwaza out of the box mkuu.
Mimi nafahamu kuwa waislam na wakristu ni wamoja na tumeishi hivi miaka nenda rudi kwa upendo na kushirikiana kwa karibu kila kitu,mimi nimelelewa na waislam tangu nikiwa mtoto mpaka utu uzima wangu hawakuwahi kuwa tofauti na mawazo yangu kisa ukrist wangu.
Ifike mahala tuache kujadili mambo kama tumefungwa kwenye magunia,Sheikh ponda amekuwa na sifa isiyofuhisha katika imani yake,thats why Mufti alilizungumza hilo,Uislam ni dini ya heshima na ndiyo maana waislam wastaarabu wanalitambua hilo na wataafiki.
Mkuu kama wewe usingependa mtu kwa kigezo cha dini yake,kuna siku utaikana familia yako kwa vigezo vingine ikiwemo umri,jinsia n.k.
Kama mtanzania mwenye njema na Taifa hili sihitaji kumzungumzia mtu kwa misingi ya dini bali uwezo na credibility yake kwa jamii.Watanzania hatugawanyiki kwa misingi ya imani zetu bali namna ya kufikia malengo kujenga nchi.
Bro napenda utambue kinachonisukuma kujibu hoja yako si dini yako ama yangu bali ni upendo kwako kama mtanzania mwenzangu kwa kuwa sote tunawajibu wa kujenga Tanzania yenye amani na upendo na maendeleo ya kweli ambapo hata mimi na wewe tukifa wajukuu zetu waendeleze tulipoishia na si tulivyofarakana.
 
Wapagani hawajawahi kuchoma kanisa, bora kuishi na wapagani kwa maana wana hofu na miungu yao
 
mwenzake mombasa kenya police wamemtoboa macho, alikuwa anahasisha sehemu ya mombasa yenye waislam wengi kujitenga na kenya
 
kweli anajua Sheikh mwenzake hawezi kumfanya kitu,Thubutu yake kama angekuwa mhesh.Ben angemwembechai!
 
Back
Top Bottom