She is here now, I need her back

Dah...pole sana kijana wangu uran

Ila sasa kama mwanaume kwa hali ninavyoiona huyo binti hakutendei haki kabisa...mosi anajua unampenda ikisha anakurusha roho, pili hataki kuwa muwazi kwako kabisa, tatu ana kinyongo sana hasa ukizingatia suala la ww kuwa na mtoto na mwanamke mwingine....ukiangalia chanzo ni yeye na hukumpata mkiwa kwenye uhusiano maana alishakutangazia kwamba hakutaki tena

Bahati mbaya bado unampenda ila yeye inaonyesha hakupendi tena kiivyo ila ni gubu kukuona na mwananke mwingine...

Unahitaji kwanza kukubali kumwacha ww mwenyewe baada ya kumpa one last chance...ukimnga'ang'ania mtajaumizana kwen ndoa ili kulipizana.

Pili anatakiwa ajue kwamba ni bora asiseme amekuacha kama hana nguvu hizo za kuhimili kuachana maana hii inatokea kwa wengi kutikisa kibuyu..so kama anadanganya kuwa anaolewa mwache aendelee na ww endelea na maisha yako..

Tatu jaribu sana sana kurudia maisha yako japo ni ngumu ila bila.ivo ww ndo utaumia zaidi. Wanawake wengine wako ivo na hata wanaume...hawajuagi thamani ya mtu anayempenda hadi mtu huyo.aondoke au aweke ingizo jipya ..

Usiku mwema kwa saa za afrika mashariki na zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
miaka imepita si michache

kwenye juu ya kunipenda huwa hapendi kuwa muwazi sana,
ila mimi nampenda kweli.
nashindwa kuzielewa hisia zake moja kwa moja coz kuna siku hata yeye mwenyewe anaweza kunipigia simu.
na nimewahi pia kuonana nae, recently ila aligoma kabisa hata kubusiwa na mimi..

hapana mkuu what i feel is not an illusions..
its true feelings.

huwa ananiambia mara nyingi kuwa anamtu, na mwaka jana mwezi wa 8 aliniambia kuwa alikuwa kwenye mpango wakuolewa, ila nilipochunguza nikagundua kuwa alikuwa akinirusha roho tu..

katika story za kawaida aliwahi kujisahau na akaniambia kuwa hajawahi tena kufanya mapenzi na yeyote.(hili siliamini sana)

good question nadhani atakuja kulijibu mwenyewe...

Sent from my iPhone using JamiiForums
[/QUOTE]

Mkuu naona umejibiwa jibiwa na watoto wa kike sasa ngoja tuje wanataaluma tukusaidie, kwanza moja acha ubwege haya maisha ya sasa hivi kulilia mtoto wa kike mmoja in the name of love sio dili, especially huyo ndio unategemea ajekua wife. majibu yote ya huyo dem umeyapata hapo ni dhahili huyo yupo 50% 50%, na kwa maisha ya sasa ya ndoa na hii miutandawazi unahitaji mwanamke ambae yuko 100% sure, hayo mapenzi ya shule achana nayo we mtu mzima angalia yupi mwanamke anaekufee, anaekupenda, tz bado idadi ya wanawake imezidi wanaume, sasa basi chukua uamuzi mgumu msahau huyo pretend kama aliishakufa and move on na maisha, hizo illusion weka pembezi, almost wote tulikua na madem shule na kwa sababu walikua wanatupenda sana na mapenzi ya kweli wanakusikiliza sasa unafikiri yale mapenzi ndio bado yatakuwepo hapo unajidanganya mkuu, i can feel you mkuu, yale yalikua mapenzi ya utotoni, baada ya kuzinguana na magumegume ya mtaani unafikiri sehemu ya kupata true love ni kule kwa zaman no boss nae ameishakua na amebadilka atakuzingua kama hao wengine wa kitaa so move on man
 
Yaliyopita si ndwele gangeni yajayo...bi dada poleh na maumivu ila nashauri chukua mume uyo ,ila pia uran kisa cha kumsaliti ur girl ni kipii,af unamjulisha kabisa kuwa uli;msaliti na chanzo ni yeye,km ukitenda hivo tena usimwambie.inauma
i am also open to this extent, lazima niseme tu ukweli hata kama unauma maana na mimi niliumia, na zaidi nikiongopa najiongezea dhambi za uongo wakati na zakuwaza ninazo hapo lazima nijipunguzie idadi ya dhambi kwa kuzidhibiti zingine kama za uongo.
 
Mkuu naona umejibiwa jibiwa na watoto wa kike sasa ngoja tuje wanataaluma tukusaidie, kwanza moja acha ubwege haya maisha ya sasa hivi kulilia mtoto wa kike mmoja in the name of love sio dili, especially huyo ndio unategemea ajekua wife. majibu yote ya huyo dem umeyapata hapo ni dhahili huyo yupo 50% 50%, na kwa maisha ya sasa ya ndoa na hii miutandawazi unahitaji mwanamke ambae yuko 100% sure, hayo mapenzi ya shule achana nayo we mtu mzima angalia yupi mwanamke anaekufee, anaekupenda, tz bado idadi ya wanawake imezidi wanaume, sasa basi chukua uamuzi mgumu msahau huyo pretend kama aliishakufa and move on na maisha, hizo illusion weka pembezi, almost wote tulikua na madem shule na kwa sababu walikua wanatupenda sana na mapenzi ya kweli wanakusikiliza sasa unafikiri yale mapenzi ndio bado yatakuwepo hapo unajidanganya mkuu, i can feel you mkuu, yale yalikua mapenzi ya utotoni, baada ya kuzinguana na magumegume ya mtaani unafikiri sehemu ya kupata true love ni kule kwa zaman no boss nae ameishakua na amebadilka atakuzingua kama hao wengine wa kitaa so move on man

asante man kwa ushauri wako mzuri huu..
 
sasa ukitishiwa nyau na wewe ndo unaogopa???? wewe peleka barua moja kwa moja kwa wazazi wake hapo ndo utajua kama yuko tayari kuwa na wewe au lah
usikute anakutishia ili uharakishe mambo

Ahahahaaa nimekuelewa sana kwa ushauri
 
songa mbele na usirud nyuma, cinderella angerud na kuchukua kiatu basi asingekuwa princess lol. Lea mtoto wako na mama mtoto wako muendeleze maisha
 
Kaizer umeshauri vizuri kutokana na imiformation za uran side zenye lengo la kuonesha kuhitaji kuhurumiwa.

Tingepata her side ingekuwa vyema zaidi. Ila mimi nikivaa viatu vya mdada naweza sema hivi.

Uran alitafuta mwanamke mwingine kwa ajili ya
1. Hasira?
2. Nyeege?
3. Consolation?
4. Kuboost ego yake baada ya kukataliwa? Au
5. Upendo kwa huyo mdada mwingine?

Vipi kesho tukiwa pamoja hatakasirika? Hatazidiwa na nyeege nikiwa safarini? Tukikwaruzana hatatafuta liwazo lingine? Akijiona hapendeki hataenda kukingine kuboost ego yake? Au kama alimpenda at that time, how stable is his love?

Jambo lingine litakalonipa maswali, je walienda kupima kabla ya kucheza peku? Anawezaje mtrust mtu just like that? Can he use condom kweli, maana hata kwangu hakutumia (i think). Vipi kuhusu afya yetu?

Hayo ya kupotea naweza yasamehe lkn kama ananipenda kama anavyodai basi angefanya juhudi zaidi ya kunitafuta na sio kusubiri mpaka niwe famous radio presenter.

Anyway kwa mdada; trust me kama unampenda give him a chance, hakuna mwanaume perfect. Good kwamba ameonesha anakupenda that much, mengine mtengeneze mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Dah...pole sana kijana wangu uran

Ila sasa kama mwanaume kwa hali ninavyoiona huyo binti hakutendei haki kabisa...mosi anajua unampenda ikisha anakurusha roho, pili hataki kuwa muwazi kwako kabisa, tatu ana kinyongo sana hasa ukizingatia suala la ww kuwa na mtoto na mwanamke mwingine....ukiangalia chanzo ni yeye na hukumpata mkiwa kwenye uhusiano maana alishakutangazia kwamba hakutaki tena

Bahati mbaya bado unampenda ila yeye inaonyesha hakupendi tena kiivyo ila ni gubu kukuona na mwananke mwingine...

Unahitaji kwanza kukubali kumwacha ww mwenyewe baada ya kumpa one last chance...ukimnga'ang'ania mtajaumizana kwen ndoa ili kulipizana.

Pili anatakiwa ajue kwamba ni bora asiseme amekuacha kama hana nguvu hizo za kuhimili kuachana maana hii inatokea kwa wengi kutikisa kibuyu..so kama anadanganya kuwa anaolewa mwache aendelee na ww endelea na maisha yako..

Tatu jaribu sana sana kurudia maisha yako japo ni ngumu ila bila.ivo ww ndo utaumia zaidi. Wanawake wengine wako ivo na hata wanaume...hawajuagi thamani ya mtu anayempenda hadi mtu huyo.aondoke au aweke ingizo jipya ..

Usiku mwema kwa saa za afrika mashariki na zanzibar.

asante sana kwa ushauri wako mzuri mkuu.
namsubiria na yeye aje hapa aseme kitu
 
Last edited by a moderator:
naogopa kuanzisha ligi katika uwanja ... iran umejieleza vizur hongera bt kwa upande wangu can ya kuongea aacha ushauriwe ww m ctaki ushauri maaana nadhan itakuwa ligi tu hapa
 
naogopa kuanzisha ligi katika uwanja ... iran umejieleza vizur hongera bt kwa upande wangu can ya kuongea aacha ushauriwe ww m ctaki ushauri maaana nadhan itakuwa ligi tu hapa

C'mon moreen baby hebu tupe upande wako bana dogo atajinyonga ujue? Je unampenda bado?
 
Last edited by a moderator:
naogopa kuanzisha ligi katika uwanja ... iran umejieleza vizur hongera bt kwa upande wangu can ya kuongea aacha ushauriwe ww m ctaki ushauri maaana nadhan itakuwa ligi tu hapa

ligi gani? ushauri si mashindano, napenda sana nijue msimamo wako.
nijue kama unanipenda kama mimi ninavyokupenda.

nimeikimbiza hii underground kwa muda mrefu.
bado uwazi wako haujakamilika its better ukaukamilisha hapa.
 
kila binadamu ana hisia m cwez kumkataza yeye kunipenda nakubali ananipenda ila kwa alichofanya sawa sio kizur .na m nilimkatalia kwa sababu kwa ninavyofikiria mimi huwez kukaa na mpenz wako miez sita bila mawasiliano m narud tunakutana hajanambia kama anamtoto nakuja kusikia habari juu kwa juu tuu ndo namuuliza anasema ndio sawa bt kwann alinifcha mwanzoniiiii????? pili maishani mwangu cpend kuwa mke wa pili that's all NIMEMALIZAAAAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom