She is here now, I need her back

mapenzi ni kumpataa anayekupenda na www ukampenda ila maisha ya wasi wasi katika mapenzi ni hatari sana

wasiwasi wa vp moureen, is dat means kwamba wewe humpendi Kama yeye anavokupenda? If so then tell him the truth sio unamzungusha mwenzio
 
Tukirudi kwenye hayo maneno nikiyoquote hapo juu.
sijui hili mnalionaje wakuu.
Its like she didnt accept my action of letting her Go.
Naona hata nyie mnaona.
angalieni maamuzi ya moreen

Sasa unataka tuchangie nini hapo?

I thought you had moved on. Kumbe bado?

Acha kujibizana na ex-wako kwenye mitandao.

It won't do you any favour.

Hebu tafuta kitu cha kufanya bana.

Mentor hebu peleka huyu kibandaumiza. Khaa!!
 
Wewe umeshazaa songa mbele na maisha na mzazi mwenzio maisha ya huyo kiumbe ni muhimu kwa sasa zaidi ya maisha yako; katika maisha haya mtu hapati atakacho bali ajaliwacho wenye shingo ngumu kuukubali ukweli huu huishia kubaya

Lakini huoni kwamba akijilazimisha kumuoa mwanamke asiyempenda vile tu kazaa naye atakuwa haitendei nafsi yake au ya mzazi mwenzie haki?
Atakuwa anaishi kwenye ndoa kama jela?
 
The guy is so soft....
Be strong man songa mbele achana na hayo madude ya true love utakuja kuumia...
Wenzako wanaangalia mambo haya...
1. Je ananiheshimu na yeye kujiheshimu?
2. Je ananijali ??
3. Naweza ishi naye??
4. Then je ananipenda...
We weka upofu mapenzi mbele utakuja kulia mjini hapa miaka mi5 still unahangaika tu...

Me inaniuma maana nna kimeo kama chako na nimekikaushia ingawa nakipenda kufa ila huwa najiuliza je amepitia mangapi huko je atakua sawa na vile namjua?? Hata kama anakupenda sio sababu ya kurudiana...
Mzee haya maisha we weka mambo ya tamthilia humu utaumia....

Hahahahaaaaa sikuwahi kudhani mnapendaga hivi ati! Sasa na wewe kimeo chako umekimwaga au unateseka kama huyu
 
Lakini huoni kwamba akijilazimisha kumuoa mwanamke asiyempenda vile tu kazaa naye atakuwa haitendei nafsi yake au ya mzazi mwenzie haki?
Atakuwa anaishi kwenye ndoa kama jela?
Nani alikwambia nafsi inapata haki katika maisha haya? ingekuwa hivyo duniani kungekuwa na furaha lakini amin amin nakuambia hakuna nafsi hata moja iishivyo iliyo na furaha chini ya mbingu
 
Sasa unataka tuchangie nini hapo?

I thought you had moved on. Kumbe bado?

Acha kujibizana na ex-wako kwenye mitandao.

It won't do you any favour.

Hebu tafuta kitu cha kufanya bana.

Mentor hebu peleka huyu kibandaumiza. Khaa!!
na we kakukeraaaaa enh partner?
Mi mwanaume wa kulia Lia hiv sijui kwanini huwa hanipi libido hata ya kujua anaitwa nani!
Khaaaaaaaaa eti hata moreen hajakubali uamuzi Wangu wa kumove on!
Pyuuuu!
Watu wanakubalije kuishi kwenye vivuli na utashi wa watu wengineeee?
Hii si aina ya mapenzi ninayoyatafsiri kuwa ni mapenzi ya dhati!
Hujui na huwezi kujipenda mwenyewe sitegemei uweze kunipenda Mimi!
Aaaaarg


Bana enh tuna yetu
Is this Easter red or green?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Fixed Point Salamu zangu hizi angali bado za moto moto zikufikie popote ulipo tafadhali. Yule kuku wako anazeeka sasa ujue!!!! missing you.
ha haaaa, asante sana rafiki kwa salamu......
kweli kuku akizeeka sana atakuwa hanogi.......
ngoja nijipange kumla sasa.......
 
ha haaa, pole sana kwa hilo pinduzi......
itabidi tukae kama kamati tumfinye huyo dogo

Mmmmmh ukisema kufinywa ujue najikuta tu nabana miguu!
Khaaaaa!
Mtu mwenyewe mnayetaka kunifinyia ehnhenhenhe anafukuzana na wagelo wapya sa hiz.karudi kakutana na videnish vipya vipya hata anakumbuka nilimsindikiza mahali?
 
Mmmmmh ukisema kufinywa ujue najikuta tu nabana miguu!
Khaaaaa!
Mtu mwenyewe mnayetaka kunifinyia ehnhenhenhe anafukuzana na wagelo wapya sa hiz.karudi kakutana na videnish vipya vipya hata anakumbuka nilimsindikiza mahali?
ha haaaa, hiyo kasheshe......
yaani nitashangaa kama hata wewe umeshindwa kupigilia misumari mtu atulie............
kweli mfinyo unakuhusu ili akili ikae sawa
 
Back
Top Bottom