Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,323
- 17,826
Dah...pole sana kijana wangu uran
Ila sasa kama mwanaume kwa hali ninavyoiona huyo binti hakutendei haki kabisa...mosi anajua unampenda ikisha anakurusha roho, pili hataki kuwa muwazi kwako kabisa, tatu ana kinyongo sana hasa ukizingatia suala la ww kuwa na mtoto na mwanamke mwingine....ukiangalia chanzo ni yeye na hukumpata mkiwa kwenye uhusiano maana alishakutangazia kwamba hakutaki tena
Bahati mbaya bado unampenda ila yeye inaonyesha hakupendi tena kiivyo ila ni gubu kukuona na mwananke mwingine...
Unahitaji kwanza kukubali kumwacha ww mwenyewe baada ya kumpa one last chance...ukimnga'ang'ania mtajaumizana kwen ndoa ili kulipizana.
Pili anatakiwa ajue kwamba ni bora asiseme amekuacha kama hana nguvu hizo za kuhimili kuachana maana hii inatokea kwa wengi kutikisa kibuyu..so kama anadanganya kuwa anaolewa mwache aendelee na ww endelea na maisha yako..
Tatu jaribu sana sana kurudia maisha yako japo ni ngumu ila bila.ivo ww ndo utaumia zaidi. Wanawake wengine wako ivo na hata wanaume...hawajuagi thamani ya mtu anayempenda hadi mtu huyo.aondoke au aweke ingizo jipya ..
Usiku mwema kwa saa za afrika mashariki na zanzibar.

Last edited by a moderator: