Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,175
na wala siingii kwa kweli.
We unaonekana hujaingia generation.com , kazi yako, utabaki nyuma. hahahaha
We unaonekana hujaingia generation.com , kazi yako, utabaki nyuma. hahahaha
Nawasiwasi na uwezo wake wa kuchanganua mambo..she can't even send a well written and easily understood text, lazima utumie kama nusu saa kuelewa amendika nini..and yet you still love her..akijieleza unachukua muda tena kuelewa anataka nini..sijui tatizo ni umri wake?? au mimi ndio mzee sana..9 yrs difference!!!