She can't even text a well written and easily understood sms..gosh!!

Wengine wamefundishwa kupika wali na waume zao, wewe unashtuka mambo ya dot com? Mambo madogo hayo!
 
Another people Bwana! You are the one you choose her! Ooh you didnt know her well! Well well now you her! U gt choose kunyoa au kusuka
Hujapenda weye!!! Kipenda roho hula nyama mbichi! Chongo unaliona kama kengeza! sembuse na sms isiyoeleweka!
 
mimi sishangai, wako wengi wa aina hiyo, tena wenye degree zao, anakueleza kitu mwanzo hadi mwisho lakini huelewi anataka kukuambia nini, muda mwingine ili usimuulize ulize sana inabidi uunge unge mwenyewe mpaka ukamilishe hadithi yenyewe kwa uelewa wako. huyu hana tofauti na yule anakueleza mambo 10 lakini yote yameishia katikati. maana akianza hili, hajamaliza, karukia lingine, halijaisha nalo, ghafla anaanza story nyingine, ili mradi aongee na kukufanya usikilize mambo nusu nusu. ndivyo alivyo huyo. sidhani kama kuna jinsi ya kumsadia abadilike, hata ukimlaumu hatakuelewa maana anajiona yuko sawa.
 
watu wannaoa bubu sembuse sista du wa kujitakia?

Ingekuwa mwanamme ndo hajui kuwasiliana hapo labda ingekuwa tabu lakini binti lol

Kongosho labda mwenyewe anamtayarisha awe mkewe, hasa siku akimpeleka kwa wazazi afu analeta nyodo hizo au akiwa anabadilisha meseji na mama mkwe unafikiri itakuwaje
 
Last edited by a moderator:
watu wannaoa bubu sembuse sista du wa kujitakia?

Ingekuwa mwanamme ndo hajui kuwasiliana hapo labda ingekuwa tabu lakini binti lol

mweh! Mahusiano si kulalana pekee kuna factors nyingi umo....na binti haswa ndio mahala pake hapo.....ya nini kuwa na kituko kisicho na nidhamu ya mawasiliano, sote tunajua kuwa ububu haurekebishiki lakini huyo ni wa kumnyorosha kabisa
 
Mm naona mfa maji haachi kutapa tapa ao British wenyewe hawakosoi lugha ,ambao lugha n ya kwao,kuna wangapi wanaingia america na ulaya hawakosolewi ila ss kwa sisi ambayo lugha sio yetu ndio tuna tiana aibu magazetini mafanikio hayaji kwa lugha ,jitihada na utendaji ,sio kutokujua english
 
Mafanikio hayaji kwa degree kama n hivyo steven job asinge achashule,, tuache kupondana kwa kitu ambacho sio chetu ,even ktk miongon za nchi ambazo british hawazikubali kilugha ikiwemo tnz ,now dayz mpka ufanye english test. Ndio ukubalike kuingia kusoma ,
 
we ndio kilaza!! mi siku hiyo nimetumiwa sms hivi "unad wht?" nikapagawa nikajua amekosea kumbe alimaanisha una do what?
MAPROSOO
 
Back
Top Bottom