Share network kutoka Ethernet source to huawei b68a-24 router

MATEO GODFREY

Member
Apr 7, 2014
33
53
Habari wadau
Ningependa kufahamu kama router ya airtel huawei b68a-24 inapokea network(internet) kutoka kwenye ethernet na kushare kwa Hotspot?
Maana niliconnect ethernet (rj45) kutoka kwenye switch yenye source ya internet
Yani kutumia hii router kama bridge tu
 
Attachments

  • 20220904_195519.jpg
    20220904_195519.jpg
    946.2 KB · Views: 11
  • 20220904_195534.jpg
    20220904_195534.jpg
    604.8 KB · Views: 11
Kikawaida hizo lan port zina connect na vifaa vyengine ila hazipokei network ya nje. Router zinakuwa na Wan port ambayo inapokea network ya nje.

Sema kwenye picha nimecheki router yako haina hio wan port.

Ila nimesoma mahala kuna router zinakuwa na setting ya kubadili lan kuwa wan, cheki setting za router yako mkuu maybe ipo.
 
Asante ngoja nicheck nitaleta feedback
 
Back
Top Bottom