Shameful!

Nakumbuka Kenya vuguvugu lilianzia kwenye vilima vyao hapo mlimani vipi?

asante

Mkuu, Mlimani has been reduced to kichuguuni, don't expect any move from that part of Tanzania.

Tiba
 
unajua hawana aibu wala haya hawa, kwao ilimradi wanapata mkate wao wa kila siku, hawaoni tabu wala dhiki ambayo wananchi masikini Watanzania wanapata, kweli inaumiza, nimesoma maneno yako, ninapata picha ya mtu alievunjika moyo na kukasirika.
Mimi naamini imepasa hayo kutokea kabla mwisho wa mwisho wao haujafika, hiyo ni mipango ya Mungu kuelekea kuangua kwa CCM, wanaharakati na wapenda mabadiriko ya kweli msie moyo, shikamaneni mikono ,msonge mbele kuikomboa nnchi yenu.

mkuu umejitahidi umeweza kubadili font jitahid na color.... congrats
 
Mkuu Pasco,

Si kweli kwamba tunawapa CCM kura ili watutawale bali wanajipa wenyewe kwa kutumia vyombo vyao vya dola na tume ya uchaguzi. Kwani CCM ilishinda Busanda na Biharamulo? Si walijitangaza wameshinda tu? Tutapiga kelele sana hapa lakini bila mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi tusirajie kuiondoa CCM madarakani labda kwa mtutu wa bunduki!!!

Nashangaa kwanini vyama vya upinzani hawalioni hili na kulifanyia kazi.

Tiba

piga garagaza ccm hawawezi kuachikia nchi mpaka damu imwagike, mpaka pale wanachi watakapokuwa tayari kupambana na FFU na polisi.
Moi aliachia nchi kwa ajili wakenya walikuwa wako tayari kwa chochote.
waTZ hasahasa wa Dar hawapendi kujishuhulisha na siasa badala yake ni kupiga domo tu na kutafuta short cut za maisha.
siku ambapo wanachi wataingia mtaani na kupambana na FFU kwa ajili ya matokeo ndio utakuwa mwisho wa ccm.
 
Mkuu Pasco,

Si kweli kwamba tunawapa CCM kura ili watutawale bali wanajipa wenyewe kwa kutumia vyombo vyao vya dola na tume ya uchaguzi. Kwani CCM ilishinda Busanda na Biharamulo? Si walijitangaza wameshinda tu? Tutapiga kelele sana hapa lakini bila mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi tusirajie kuiondoa CCM madarakani labda kwa mtutu wa bunduki!!!

Nashangaa kwanini vyama vya upinzani hawalioni hili na kulifanyia kazi.

Tiba

Busanda na Bi'Mulo CCM ilishinda japo kwa mbinde, si ndio hivyo pesa za wazee zikaja okoa jahazi last minute kwa kilo kilo ya sukari, kama visindikiza vibinti vinavyotumwa pipi.
Watanzania tumekuwa tunadanganyiwa pipi kila miaka 5 na tumekuwa tukikubali, lazime tufike mahali tuseme "Hatudanganyiki!"
 
Haya muone huyu mwingine kaitisha mkutano wa waandishi wa habari kuutangazia ulimwengu jinsi naye alivyo CCM damu tangu 1977, kana kwamba hilo nalo ni jambo jema, na sisi tunakaa tunamwona yeye ni mjanja na ana akili kuliko Sofia Simba, common guys, we should stop this.

Kwenye thread ya CCM chama cha mafisadi, nilisema ni wote mapapa na nyangumi.
Mzee ni attention seeker, he is bright on bussiness evenues but empty in morala na common sense, he is as fool as Sophy, mwanzo alipoanza na kale kabinti, alibadilika kidogo, niliamini kamemsaidia to put some sense in his head, sasa naona karudia kule kule, au hakasikilizi tena, ama era yake imepita kama waliomtangulia, and now Mzee is heading to his downfall with disgrace.

Motive ya kujitangaza UCCM ni kujipambanua mapema in case his pupets kwenye timu ya makamanda wataanguka. Ni Jamaa alimfund Mtikila ile hoja ya mgombea binafsi, baada ya kugonga mwamba, katafuta alies kwenye CCM kuanzia Sitta na timu yake wanamsujudia sana tuu, Sitta alivohandle issue ya Malima ni uthibitisho wa hilo, achilia kina Ole na Mpenda kujikomba komba kwa kuendekeza njaa zao.
 
Watanzania hatuna alternative! Tumezungukwa na wapinzani wa ajabuajabu! Yaani mtu unategemea watu wajikusanye wenyewe, wajisensitize na waitoe CCM madarakani! Sasa vyama vya upinzani kazi yao ni nini! Kwa hali iliyopo sasa hata wananchi wangekuwa wanataka kuitoa CCM madarakana, swali ni watamweka nani! Ningetegemea wapinzani kutumia udhaifu huu wa CCM kupiga bao (kuitisha mikutano na maandamano) lakini cha ajabu wamekaa wanasema wanasubiri CCM imeguke!!!! Ikimeguka ndio itageuka Chadema! Si bado kutakuwa na CCM asili na CCM academia! Yaani nyie akina Kitila, Slaa, Mbowe nk ni nini mkakati wenu! Mnasubiri muujiza upi tena! Mnajua kabisa kuwa watanzania wengi ni wajinga (ignorant) na CCM imeinvest kwenye huu ujinga wa mama na baba zetu, dada na kaka zetu, hata bibi na babu zetu! Saa kama mnatarajia muujiza kuwa hao watanzania wata OKOKA na kuhamia Chadema - basi huo ni uabunuasi! Na uabunuasi (foolishness) wa wapinzani ni mkubwa kuliko wa wananchi wa kawaida, na CCM itaendelea kuinvest kwa upinzani kama huu! Hapa kwetu hatuna activists wa kweli! Tumekuwa reduced to wapinzani wa kushinda jamiiforums na kutoa mawazo na wengine kusubiri bunge au uchaguzi ili wasikike!!!!! Haijulikani kiongozi ni yupi na mwanachi wa kawaida ni yupi! Jamani fanyeni siasa seriously. Ngrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Simply, tumelogwa/mmelogwa
 
Udhaifu huu utumike kama mtaji kwa ajili ya 2010. Pamoja na matatizo yooooote tulionayo sitegemei wabunge wapoteze muda kuongelea vitu personal. Wanaonyesha wamechoka hivyo tuwaweke wakae pembeni ili waendelee na personalisation, tuchague watu wenye uchungu na matatizo ya kweli ya wananchi.

Last week was the lowest week in the history of politics in Tanzania.

Hii kesi ya INDEPENDENT CANDIDATES mbona watu hawaipigii kelele ili hukumu yake itolewe na tuweze kujua maadui hasa wa nchi yetu!! Hata hivyo sina imani sana na Ramadhani court compared to Samatta's. He seems to be a political rather than a professional CJ!! Tukipata independent candidates CCM wataulu wa chuya!
 
Kwenye thread ya CCM chama cha mafisadi, nilisema ni wote mapapa na nyangumi.
Mzee ni attention seeker, he is bright on bussiness evenues but empty in morala na common sense, he is as fool as Sophy, mwanzo alipoanza na kale kabinti, alibadilika kidogo, niliamini kamemsaidia to put some sense in his head, sasa naona karudia kule kule, au hakasikilizi tena, ama era yake imepita kama waliomtangulia, and now Mzee is heading to his downfall with disgrace.

Motive ya kujitangaza UCCM ni kujipambanua mapema in case his pupets kwenye timu ya makamanda wataanguka. Ni Jamaa alimfund Mtikila ile hoja ya mgombea binafsi, baada ya kugonga mwamba, katafuta alies kwenye CCM kuanzia Sitta na timu yake wanamsujudia sana tuu, Sitta alivohandle issue ya Malima ni uthibitisho wa hilo, achilia kina Ole na Mpenda kujikomba komba kwa kuendekeza njaa zao.

Pasco,
Wewe ni mmoja wa watu ninao wa admire sana katika jamvi - uko objective kwa kiasi kikubwa. Na unatuhabarisha sana na kwa wakati muafaka. Ila naomba kukupa hii observation yangu - kila wakati likija swala ma reginald mengi huwa uko so bitter against him na wakati mwingine unapoteza objectivity - correct me if I am wrong! Achana na huyo, songa mbele! Watu wengine wengi humu wanamshambulia mengi badala ya kuwashambulia watawala wetu. Hivi mengi ana nini cha ziada, zaidi ya naye ni mwananchi na ana haki ya kutoa maoni yake! Utajiri wake is a blessing kwake na kwa baadhi ya maskini/walemavu. Amesaidia watu wengi - iwe kwa malengo au otherwise. Sioni kwa nini mengi ashambuliwe na akina Simba na NEC na yeye abaki kimya - kwa sababu/ambitions gani abaki kimya? Yeye si mwanasiasa, sanasana ni mwanaharakati (at least anavyosema). Kwa nini yeye asijibu mapigo! Unless mnaniambia mengi amekuwa positive factor katika upinzani. Yaani yeye ni mbaya tu - akipamabana na ufisadi ni mbaya - akisema ni mCCM ni mbaya - akisaidia walemavu ni mbaya - akimsifu JK ni mbaya - akiwekeza kwenye tanzanite ni mbaya - akikosana na sakina datoo ni mbaya yeye, akijitoa NICOL ni mbaya.....mbaya, mbaya, mbaya...... Let's move on...tukabiliene na wadeni wakubwa - yaani watawala wetu!
 
Formulae for our woes:
Obsolete constitution + play-actor president + corrupt government system + mediocre parliament + sycophant ruling party + weak opposition parties + coward and civic rights ignorant citizens + irresponsible donors' support + bad investment and taxation policies = the woes of Tanzanians
 
Watanzania hatuna alternative! Tumezungukwa na wapinzani wa ajabuajabu! Yaani mtu unategemea watu wajikusanye wenyewe, wajisensitize na waitoe CCM madarakani! Sasa vyama vya upinzani kazi yao ni nini! Kwa hali iliyopo sasa hata wananchi wangekuwa wanataka kuitoa CCM madarakana, swali ni watamweka nani! Ningetegemea wapinzani kutumia udhaifu huu wa CCM kupiga bao (kuitisha mikutano na maandamano) lakini cha ajabu wamekaa wanasema wanasubiri CCM imeguke!!!! Ikimeguka ndio itageuka Chadema! Si bado kutakuwa na CCM asili na CCM academia! Yaani nyie akina Kitila, Slaa, Mbowe nk ni nini mkakati wenu! Mnasubiri muujiza upi tena! Mnajua kabisa kuwa watanzania wengi ni wajinga (ignorant) na CCM imeinvest kwenye huu ujinga wa mama na baba zetu, dada na kaka zetu, hata bibi na babu zetu! Saa kama mnatarajia muujiza kuwa hao watanzania wata OKOKA na kuhamia Chadema - basi huo ni uabunuasi! Na uabunuasi (foolishness) wa wapinzani ni mkubwa kuliko wa wananchi wa kawaida,
Nakubaliana natafakari yako..lakini nataka kumwambia Mwanakijiji hii shameful ni kwa watanzania tuliowapumbavu. U know why ni sisi ambao bado tunawaweka wanaotuumiza madarakani.Ebu imagine kama tukiamua kutowapa kura hata moja CCM wataibaje hata zitosheleze?hata mwalimu akiamua kumpendelea mwanafunzi darasani nilazima yule mwanafunzi awe na maksi fulani ili amwongezee na kuonekana kashinda lakini akipata zero ataanzia wapi kuziongeza?? Na kingine ili mtawala mbaya atawale sikuzote hawapi elimu watu wake..imagine tanzania ya miaka 60 ana 70 ilikuwa na 70-71% ya waliosoma nchini, leo je?mwananchi hajui hata kusoma gazeti unataka ajue vipi ufisadi wa ccm?mawazo yaliyopo ni ya siku hiyo mtu anayoishi..Kazi ipo kweli kweli.. haya tunayoongea yanaishia kwenye mtandao vijijini hatuyatambui yanayosemwa na kina Tiba, pasco, mwanakijiji na wengine
 
True, what happened in Dodoma is shameful, and as Mwanakijiji rightly put it, it's a clear evidence of a failed leadership. It really gets on my nerves when I hear such nonsensical utterances from people holding key ministerial posts in our esteemed government. Where the hell did Kikwete pick the likes of Sofia Simba from? This woman must be sick in the head.
 
Mzee Mwanakijiji.
the shame also goes to most Tanzanians ambao hawabadiliki na kuipa kura gangteam
 
Pasco,
Wewe ni mmoja wa watu ninao wa admire sana katika jamvi - uko objective kwa kiasi kikubwa. Na unatuhabarisha sana na kwa wakati muafaka. Ila naomba kukupa hii observation yangu - kila wakati likija swala ma reginald mengi huwa uko so bitter against him na wakati mwingine unapoteza objectivity - correct me if I am wrong! Achana na huyo, songa mbele! Watu wengine wengi humu wanamshambulia mengi badala ya kuwashambulia watawala wetu. Hivi mengi ana nini cha ziada, zaidi ya naye ni mwananchi na ana haki ya kutoa maoni yake! Utajiri wake is a blessing kwake na kwa baadhi ya maskini/walemavu. Amesaidia watu wengi - iwe kwa malengo au otherwise. Sioni kwa nini mengi ashambuliwe na akina Simba na NEC na yeye abaki kimya - kwa sababu/ambitions gani abaki kimya? Yeye si mwanasiasa, sanasana ni mwanaharakati (at least anavyosema). Kwa nini yeye asijibu mapigo! Unless mnaniambia mengi amekuwa positive factor katika upinzani. Yaani yeye ni mbaya tu - akipamabana na ufisadi ni mbaya - akisema ni mCCM ni mbaya - akisaidia walemavu ni mbaya - akimsifu JK ni mbaya - akiwekeza kwenye tanzanite ni mbaya - akikosana na sakina datoo ni mbaya yeye, akijitoa NICOL ni mbaya.....mbaya, mbaya, mbaya...... Let's move on...tukabiliene na wadeni wakubwa - yaani watawala wetu!
Asante Haki Tupu, you are damm right, nitajitahidi kuimaintain objectivity yangu, kweli sometimes nakuwa carried away by emotions, jamaa alishanitenda, yamepita, nimekusikia, tusonge mbele.
 
Ripoti hizo zote zilishakabidhiwa kwa Bunge, ila hazikuletwa mezani. Spika Sitta had to do what he could do to save his face, kama Mwanakijiji ilivyosema, ilikuwa wampigie kura ya kutokuwa na imani nae. RA ni mwisho, Sitta amebow down na amini nawaambieni hazitajadiliwa tena mpaka 2011, baada ya uchaguzi maana ni mtaji mkubwa kwa wapinzani, na Spika Sitta mwisho wake ni one term only.

Bunge lilikuwa likutane kwa siku 9 full days. Siku ya kwanza nusu siku, mchana wakajipumzikia. Hivyo zikabaki siku 8. Baada ya kukutana siku 3, ya nne msiba, hii ni kazi ya Mungu tuiache. Baada ya msiba limekaa only one full day, siku mbili zilizofuata only morning session kupisha kama ya CCM!. Jana tukaambiwa limeongeza siku, lingekaa leo half day, Jumatatu na Jumanne kufidia lost days. Ghafla jana limeahirishwa bila kutolewa sababu!. Huwezi amini kati ya siku 9, limekaa only 4 full day sessions!.

Spika Sitta sasa amedhihirisha udhaifu wake ama kuogopa na kuwapigia magoti mafisadi. Mtashuhudia one of these days, atakuja na press release yenye lame excuses na siajabu akasema mijadala hiyo imefungwa kabisa. Kusemakweli kukosekana kwa Zitto Bungeni sometimes kuna very big impact. Ingawa Hamad Rashid alikuwepo, Hamad ana too humility kwa makombora yaliyovurumishiwa Sitta, na Dr. Slaa upadiri ulimrudia ghafla, haswa kwa kuzingatiakuna watu walitusiwa person issues hivyo kitendo cha Sitta kukikimbia kiti ikaonekana ni repetence, akasamehe, hivyo bunge likaahirishwa hivi,,hivi,, kama mchezo!.

Hapo unategemea nini?.

Mh....umefunga mada. Yani end of story hapo pekundu....
Ndo "wapiganaji" hao!
 
Probably, we put our hopes so high on these guys, I mean we are simply expecting too much of them, which is why we keep on being disappointed every day. Isn't time that we stopped putting our hopes on them? Hasn't time come to start seriously thinking of an alternative?

To me I would rather say shame on us for continuing to bank on people who are not bankable. I am increasingly convinced that the problem 'eating' our country is not a hopelessl eadership, but rather, a hopeless citizenry!

Kitila,

At the risk of stating the obvious..

I look at this as a vicious cycle, a hopeless citizenry (at least to the extent of voting with their interests) elects a hopeless leadership, which of course cannot deliver even 50% of reasonable expectations.This produces further tailspinning of the economy and social services, driving down literacy rates and civil awareness which further causes voter apathy and non-participation.Where there is participation votes are bought by ubwawa, kanga, and t shirts, causing another round of a hopeless and / or indifferent populace voting hopeless leaders, repeating the entire cycle over and over.

My sense is we haven't seen anything yet, this tailspinning has a natural and inherent gradual deterioration, so things will only get worse. I will not be surprised if the next president is worse than Kikwete, who most people look at as rock bottom. At this point it is pretty much a game of chance instead of a process which allow only the most competent to lead.

Who is going to break this cycle?
 
kitila,

at the risk of stating the obvious..

I look at this as a vicious cycle, a hopeless citizenry (at least to the extent of voting with their interests) elects a hopeless leadership, which of course cannot deliver even 50% of reasonable expectations.this produces further tailspinning of the economy and social services, driving down literacy rates and civil awareness which further causes voter apathy and non-participation.where there is participation votes are bought by ubwawa, kanga, and t shirts, causing another round of a hopeless and / or indifferent populace voting hopeless leaders, repeating the entire cycle over and over.

My sense is we haven't seen anything yet, this tailspinning has a natural and inherent gradual deteriortion, so things will only get worse. I will not be surprised if the next president is worse than kikwete, who most people look at as rock bottom. At this point it is pretty much a game of chance instead of a process which allow only the most competent to lead.

Who is going to break this cycle?


wakati wa mkapa tulisema atakaekuja atakua afadhali
kwa vyovyote vile,,,,,,,,
na wakati wa mwinyi pia.
 
What we have witnessed in the past few days can be described as extremely shameful, disgraceful, and a clear evidence of a failed leadership. If I were to pin point the exact nature of this leadership I will term it as pathologically incompetent.

Shame on Kikwete
Shame on all MPs
Shame on all you CCM members who have tolerated and excused this level of stupidity disguised as democracy in the party!
Mzee Mwanakijiji salam,
Nadhani watanzania tuna Hulka, Mila, na Tabia ya kuzunguka Mbuyu, Dibaji nyigi, Hekaya na Hadithi tele. Ni wazi viongozi tulionao chini ya CCM wamefikia UPEO wa uwezo wao, tusitarajie chochote zaidi ya wao kuingiza So called WAWEKEZAJI wakanufaisha MATUMBO yao halafu wakajidai kuvuana Chupi hadharani, wote ni WAONGO, WAZANDIK NA WANAFIKI. Wasituzuge na KIINIMACHO. Wana JF hebu tujeni na MBINU HAI NA MKAKATI HALISI utakaopelekea kuitoa Nchi yetu kutoka katika Makucha ya WABADHIRIFU hawa. Tukumbuke wako hapo karibu MIAKA HAMSINI LEO.
 
Well Gentlemen. There is a guy in this forum goes by name of Julius. Although some have been trying to ridicule his ideas, but when it come ot the Point of "ndivyo tulivyo" we have to bow to him. He keep on saying it again and again, and we keep on proving him righ again and again.

Viongozi wetu tunajua kabisa kuwa wanayotufanyia sio haki, lakini tunafanya nini kuhakikisha kuwa 2010 tunakuwa na wengine na sio hawa wa sasa? Does talking on this forum only help? tunatakiwa kwenda a step forward na kuwaelimisha watu that we have to go for change.
 
This has been a shameful period for Tanzanians. I think we should think of alternatives, 2010 is too far for the damage done. Muungwana has proved beyond reasonable doubt he is a crap, a senior dullard! It's clear dola (kama ipo) ipo mikononi mwa Sophia Simba na Mitanzania tunaangalia tu
 
Shame on you...
shame on you again and again...
Khaa.. am tired na haya mambo.
 
Back
Top Bottom