Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,462
- 39,928
- Thread starter
- #61
Hivi wakuu, wakati hawa wakipopoana huko Dodoma, vi wapi vyama vya upinzani, ilvi vitake advantage of this window of opportunity?
they are waiting for CCM to collapse!
Unajua hao walioko CCM hata wakitaka kuondoka, waende wapi? Kwenye chama kipi hasa kilicho makini kuleta mabadiliko?
true.. so far there is none!
Angalia, kwa mfano, wakati haya yanatokea, Maalim Seif alikuwa Ikulu Zanzibar 'wakinywa kahawa' na Raisi Karume...wanajadili umuhimu wa amani na maelewano!
nice observation.
Mkulu wetu Zitto, ambaye tunamwamini angeweza walau kupaza sauti mjengoni, ndo yupo kwenye sijui international parliamentary meeting sijui nini-alituambia mwenyewe hapa. Mtu unajiuliza, hivi hawa viongozi wa upinzani wanayaona haya kweli? wanajua ni wakati gani wa kutake action na kumobilise watu? Au ndo bado wana ile kasumba kusubiri wakati wa uchaguzi huku wakijua kua kwa mbinu hiyo hakuna kitakachobadilika?
Mi nshachoka sasa!
that makes two of us mate!