Plot4Sale Shamba kubwa linauzwa Songea

Teko

JF-Expert Member
Jul 3, 2010
230
61
Shamba linauzwa Lipo kijiji cha Nambendo Songea, kilomita 100 kutoka Songea mjini, lina ukubwa wa ekari elfu mbili (2000) lina hati.

Shamba linafaa kwa mazao mchanganyiko kama utavyoona kwenye picha, mpunga, Alizeti, mahindi, pilipili, mikorosho, n.k picha uzionazo ni mazao yaliyolimwa kwenye shamba husika.

shamba lipo katikati ya mito miwili, mto Ruvuma na mto mwingine mdogo, kuna mikorosho ya kisasa kwenye ekari 100 ambayo itaanza kuzaa mwakani 2023. Kuna bonde kubwa sana linalofaa kwa kilimo cha mpunga, kuna mizinga ya nyuki 20 yenye nyuki. Eneo lililolimwa au kungolewa visiki ni kama ekari 200 tu, lililobaki halijawahi kuguswa (virgin land), kuna miti mikubwa ya asili inayofaa kwa mbao. Kuna Nyumba ya wafanyakazi na vifaa vyote pamoja na solar, pia kuna walinzi.

Sababu za kuuza ni changamoto za usimamiaji kwani mmiliki anaishi nje ya nchi.

Kwa mnunuzi serious anayehitaji tuwasiliane kwa Whatsaap namba +26774208862.

Whatsapp-8.jpg
Whatsapp-5.jpg
Whatsapp-3.jpg
Whatsapp-12.jpg
Whatsapp-13.jpg
Whatsapp-24.jpg
Whatsapp-38.jpg
Whatsapp-31.jpg
Whatsapp-45.jpg
Whatsapp-62.jpg
Whatsapp-43.jpg
Whatsapp-49.jpg
Whatsapp-27.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom