Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

Kaka, nimekusoma kwenye thread yako unamjibu Mkandara, kuhusu Dk Slaa, unasema kuna Mkiristu mwingine anaweza kuwa mdini kumshambulia mkiristu mwenzake, saizi tena unasema mkiristu kwa mkiristu hapo hakuna udini, wewe jamaa mnafiki sana, Paw huyu nae vipi kataja dini

mchuzi wa bata una akili nyingi sana :clap2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom