Shabiki wa Chelsea Mwanza....mmh

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Jamaa kuanzia kofia hadi .....vyote Chelsea hahahaa, wasukuma bwana.

Mcheki shabiki huyu
7.jpg







from MICHUZI
 
Hiyo safi sana lazima uonyesha ukipendacho bila woga,Hongera shabiki,Chelsea Hoyeee.
 
Yaani hadi nyumba iliyopo nyuma yake rangi ya timu yake Chelsea
 
Sasa ashabikie nn kama timu zetu ndo hivyo tena.....Bongo njaa jamani bola mtu upende za wenzetu
 
Back
Top Bottom