Hajji Manara ni zaidi ya shabiki wa kawaida, Taifa litamhitaji kuelekea Afcon

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,475
Mpira wa bongo wa simba na yanga umekosa ushawishi wa maana tangu huyu jama apigwe marufuku, Tanzania tumeshindwa kupata mtu mbadala wa huyu jamaa ushabiki wa hoja haupo tena ni makelele tu, kubali au kataa manara ni zaidi ya shabiki hapa Tz jamaa anajua kupro mpira.........
Screenshot_20231017-114055_Facebook.jpg
 
Manara anapambana sana aonekane bila yeye soka la bongo alinogi.pole sn kwake maana January tunaenda AFCON, yanga na simba zipo makundi huku ali kamwe uku ahmed ally weekend tunachek super ligi hakuna anaemmiss anatishia ataacha soka but nobody cares...kila kitu na wakati akubali matokeo
Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
 
Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
Impact gani wew? Akisusa Mo au GSM au Bakhresa tutasema kweli tutadorola,

Haya nambie Manara kalifanyia nn soka la bongo?
.kuhamasisha kujaza viwanja? Watu walishajaza viwanja hadi vikajadiliwa Bungeni kwenye derby ya 2009 bila manara,

Labda kutukana watu ovyo
 
Manara anapambana sana aonekane bila yeye soka la bongo alinogi.pole sn kwake maana January tunaenda AFCON, yanga na simba zipo makundi huku ali kamwe uku ahmed ally weekend tunachek super ligi hakuna anaemmiss anatishia ataacha soka but nobody cares...kila kitu na wakati akubali matokeo
Kula chumaaa hiliii
Akirudi Hana anaemkumbuka
Hayupo mambo yanasonga fresh kabisa
 
Kuna mdau hapo kauliza swali la msingi sana,kafungiwa muda gani? lini anarudi? watu mnapiga tantalila tu.
 
Mpira wa bongo wa simba na yanga umekosa ushawishi wa maana tangu huyu jama apigwe marufuku, Tanzania tumeshindwa kupata mtu mbadala wa huyu jamaa ushabiki wa hoja haupo tena ni makelele tu, kubali au kataa manara ni zaidi ya shabiki hapa Tz jamaa anajua kupro mpira.........View attachment 2784352
Inavunja moyo kupewa kifungo kirefu vile
 
Mpira wa bongo wa simba na yanga umekosa ushawishi wa maana tangu huyu jama apigwe marufuku, Tanzania tumeshindwa kupata mtu mbadala wa huyu jamaa ushabiki wa hoja haupo tena ni makelele tu, kubali au kataa manara ni zaidi ya shabiki hapa Tz jamaa anajua kupro mpira.........View attachment 2784352
Hana akili tofauti na ulivyo mpromote
 
Back
Top Bottom