Sex workout!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Wadada ondoeni vitambi hivyo! Muonekane wazuri na wa kuvutia

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=7wRaFMTuuHg[/ame]
 
hahaha, wanaume mnatufanya kuwa wajinga sometimes. wengine wanapenda watu wanene wengine wembamba tuchukue lipi sasa?

Kila mwanaume akae acoording to her need.
 
hahaha, wanaume mnatufanya kuwa wajinga sometimes. wengine wanapenda watu wanene wengine wembamba tuchukue lipi sasa?

Kila mwanaume akae acoording to her need.

Caroline, una maana gani hapo?

Mwanamke mzuri bwana awe physically fit...akiwa na mwili kidogo si mbaya hebu fikiria una lilimama kama Mh Rev Dr Rwakatale kwenye bed.....! Uwiiii nusu round anahema kama anataka kufa!
 
NA mwanamume mwenye kitambi cha BEER ,robo round si atahema kama anataka kufa

Likewise mtu kama John Komba...ama Mghana Msindai hahahaha ...watu wote wawe physically fit ndo watafurahia mapenzi...SOA vipi mzee bado unakitambi ama waenda GYM mara moja kwa mwezi?
 
Likewise mtu kama John Komba...ama Mghana Msindai hahahaha ...watu wote wawe physically fit ndo watafurahia mapenzi...SOA vipi mzee bado unakitambi ama waenda GYM mara moja kwa mwezi?
AKINA dada mnaonijua humu JF,naomba mumwambie masanilo ukweli
 
Likewise mtu kama John Komba...ama Mghana Msindai hahahaha ...watu wote wawe physically fit ndo watafurahia mapenzi...SOA vipi mzee bado unakitambi ama waenda GYM mara moja kwa mwezi?

Masanilo hebu mtoe SOA kwenye hilo kundi la presha inapanda na kushuka.Hana kitambi kabisaaaaaaaa.portable wa nguvu,tena handsome.
 
Maana yangu kuna watu wanapenda vitambi kwa wake au mademu zao, sasa Gym ataenda saa ngapi wakati mzee ndiyo anavyopenda. Ila kwa ajili ya kukeep fit, tutaanza kwenda.

ili tusiheme vitandani.
 
inaonekana humu jamvini vitambi vye beer kwa sana tu,yaani watu wameridhika

No!No! Kitambi si MIMBA useme siku 1 kitatoka ukikipata kile kiugonjwa ili kikutoke labda upate kipindupindu u-overdrive kwa wiki 2 ndio kitaisha. Gym itakuchukua mwaka 1 tena ufanye mazoezi kwa mara 6 kwa wk na u-control ulafi wa pombe na michips-deep fried food.
 
Maana yangu kuna watu wanapenda vitambi kwa wake au mademu zao, sasa Gym ataenda saa ngapi wakati mzee ndiyo anavyopenda. Ila kwa ajili ya kukeep fit, tutaanza kwenda.

ili tusiheme vitandani.

Unaenda GYM gani hapa Dar? Twaweza gongana huko...
 
Wakuu vitambi cyo kwa jinsia zote ukitaka ufaidi ile kitu we chukua dem mwembamba uone raha yake.
Mwageni hivyo vijitambi vya machicha ili madem wenu pia wafaidi siyo wawe wanapewa story tu na marafiki zao wanavyofaidi ku du.
 
Back
Top Bottom