klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
mama mchungaji hauko fair. kondoo tumepoteza imani na wewe. tutashirikiana na watunisia kukutoa madarakani.Hehehhhehehe.....walisema hayawi hayawi leo yamekua!!
Wapi champagne???
Kloro utakufa kwa wivu...mwenzio huyo anafanya kweli!!!