Serikali yatoa Tumaini Mahakama ya Kadhi

waislamu inabidi tuwe waangalifu, kuwa endapo waisraeli nao watatoa msaada fedha katika serikali ya tanzania na hela hiyo hiyo ikatumika ktk ujenzi wa mahakama ya kadhi je waislau tutaitenganishaje na kodi nyingine?

Wito kwa ndugu zangu waislamu tuanzishe mahakama yetu kama ibada nyingine bila kutegemea serikali.mbona tuaenda kuhiji makka na hatuombi ruksa wala msaada kutoka serikalini,mbona tunafanya ibada nyingi bila kuhusisha serikali.

Hivi ndivyo wenzetu wanatuona hatuwezi kufanya lolote bila kusimamiwa na serikali, tunajiaibisha ndugu zangu

Mkuu tatizo labda huelewi mahakama ya kadhi ni kwamba inagusa moja ya mihimili ya dola nayo ni jurisdiction sasa utasema vp iwe kama msikiti. Wewe katika shughuli zako za kila siku si unaulizwa marital status au religion yako sasa kwani wasiulize wewe unasali wapi au wasiache kabisa kuuliza?
 
So problem ni utekelezaji sio uamuzi au vp?

Utekelezaji hutokana na uamuzi. Maamuzi yakiwa mabovu usitegemee utekelezaji mzuri - labda iwe kwa bahati mbaya. Na kuamu kitu unachojua kungali na mapema kuwa hakitekelezeki ni sawa na kufanya maamuzi mabovu.

Solution: Dini ziendeshwe kidini bila mkono wa serikali - kwa maamuzi au vinginevyo - na fedha ya walipa kodi itumike kwa mambo ya makundi yote katika jamii bila ubaguzi wa aina yeyote.
 
lakini wanatupeleka wapi hawa viongozi wetu? hivi huku ndiko tunakotakiwa kuelekea?
mbona kuna mambo mengi tu BILALI angeyawekea mbele kama elimu,afya,umasikini n.k ?
hiyo kadhi ndio ityatuletea maendeleo tunayohitaji watanzania kweli zaidi ya kuleta tu mtafaruku ??
 
Itahukumu kwa wale wanaofuata na kuridhia sheria za kiislamu

Hiyo itakuwa kwa wale waliozaliwa na kujikuta wako kwenye Uislamu au kwa walioamua kuwa Waislamu; Je, mtu atakuwa na uhuru wa kuchagua ahukumiwe kwa kutumia sharia au sheria nyinginezo? Kuna kamtego hapo ambako wanataka kuwaingiza waliomo na wasiokuwepo.
 
Hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, Je unajua maana ya Muslims kuwa na mahakama ya Kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita Uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.

Kweli nyani haoni......k....le, yaani kwa mujibu wa comments zako wewe ndio unaonekana mdini mkubwa na kuwa na ushabikii usio na mantiki yoyote, pia uwezo wa kuchambua hoja huna.
 
Nothing will happen, just politics. If politics has been part of mathematics, then let us wait. people are trying to buy you through these cheep crap. Pole wandugu. They will rain over you, take you properties and leave you poor kama kawaida.
 
Nikiwa kama mtu ambaye niliwapa Chadema kura ya udiwani na ubunge nikidhani kwamba majukumu hayo wanayaweza (urais sikuwapa)

I am very very very dissapointed.:A S angry:
 
wewe unayemuita jk chekibobu,wala hujui maana ya jina chehibobu,wewe mshamba tu unayetumia internet ya kuazima au ya puplic .

tafuta kitu cha kufanya uwasaidie wazazi wako.
 
Hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, Je unajua maana ya Muslims kuwa na mahakama ya Kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita Uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.

Nilisikia kuwa mahakama ya kadhi ni ibada kwa mujibu wa koraan, sasa kama hiyo ni kweli naomba wataalamu wanijulishe tatizo liko wapi?. mbona katiba inatoa uhuru wa kuabudu? ni lini serikali imewazuia waislamu kufanya ibada yao?. kama kweli serikali inawazuia waislamu kufanya ibada yao nadhani hata tuliowakristu tuungane na waislamu kudai uhuru wa kuabudu kwa kila mtanzania. mbona wakristu tunaabudu kwa uhuru bila shida? na hata mahakama za kanisa zipo na serikali haitusumbui kwa lolote?
Si haki hata kidogo serikali kuwazuia waislamu kuabudu. Lakini nawaomba waislamu anzisheni mahama yenu bila woga kwa sababu ni haki yenu na ni haki ya kikatiba, na serikali ikiwazuia ipelekeni mahakamani.
 
Nikiwa kama mtu ambaye niliwapa Chadema kura ya udiwani na ubunge nikidhani kwamba majukumu hayo wanayaweza (urais sikuwapa)

I am very very very dissapointed.:A S angry:

Ur a crap umetumwa, umeingia cha kike huku JF.
 
Kaka tupo pamoja hizi tactics za baadhi ya watu kudhani eti tanzania ya kikiristo zinaniboa sana. In fact kwa statistics waislamu ni wengi kuliko madhehebu mengine yote. Lakini kwakuwa jamaa walihodhi madaraka tangia enzi za nyerere wanataka kutufanya waislamu tuwe underdogs kila siku kuleta mada zenye kuchafua tu hali ya hewa. Tutaumana humu ndani mpaka kieleweke hii karne ni nyengine wazee.
Vipofu wakikokotana mwisho wake sijui ni nini kama siyo kujikuta wakitumbukia kichwani. Nina mashaka sana na upeo wa kufikiri kama siyo kusoma ujinga mnaojazana kwenye vijiwe vya kahawa.
 
jamani wadau wa jf tunaomba maoni juu ya madhara ya chadema kususia hotuba ya rais.
mimi kwa mtizamo wangu nawapongeza kitendo cha kishujaa kilichoingizwa ktk historia lkn hapa kijiweni kuna mjadala mkali eti utakuwa na madhara kwa wananchi nini mtizamo wa wadau?.
 
Hayo ni maneno yenu wakosaji. Tatizo ni nini kuwa na mahakama ya kadhi? Wewe unasema lishajadiliwa, Je unajua maana ya Muslims kuwa na mahakama ya Kadhi?
Mi nachojua ni vizuri na halina ubaya wowote. Kama wewe unajitahidi kwa huo uwezo wako mdogo wa kuupiga vita Uislam unajisumbua bure coz hata hao unaowalamba miguu walichemka. Pole wewe na uache kuleta udini hapa.

Nakuunga mkono, Mahakama ya Kadhi haina ubaya IF and ONLY IF haifanywi kuwa part ya governance structures za serikari ;
 
wewe unayemuita jk chekibobu,wala hujui maana ya jina chehibobu,wewe mshamba tu unayetumia internet ya kuazima au ya puplic .

tafuta kitu cha kufanya uwasaidie wazazi wako.

Mtu akitumia, internet ya kuazima, au public we inakuhusu nini, inakuuma eeh, mkwere kuitwa chebibobu, pole sana, hapa kuna uhuru wa kuongeo, pole sana NSHIMBA
 
tanzania inaenda kubaya sasa ipo cku wakatoliki nao watadai mahakama yao kama waislamu je itakuwaje..?

kama dini yao inawataka wafanye hivyo hamna tatizo.

Mahakama ya kadhi ni sehemu ya ibada. Hizo kesi ambazo haziendi mahakama ya kadhi kwa sasa zinapelekwa mahakama ya kawaida ambayo haina uwezo wa kuziamua.
 
Na hivi kodi zinazolipwa na waislamu zinaenda wapi? Bakhressa No 1 Taxpayer kodi yake inaenda wapi? Zakhem, SSB, Abood, Zakaria Companies hawa kodi zao zote zinaenda wapi? Mie ninakatwa kodi ya milioni moja kila mwezi inaenda wapi? Msitake kutuzingua hapa!!!

We unaijua vizuri TZ au unasikia tu. Tokea lini Bakhresa akawa No. 1 Tax payer?? Go do your home work correct, then nd'o uje hapa. Sio unakuja kichwa kichwa tu kisa Bakhresa inamilikiwa na muislam. For your information, Bakhresa are way behind leading Tax Payer in TZ. Now go find out who leads.. Nyambafu kakabisa.
 
lakini ni kharamu kutumia fedha zinazotokana na biashara ya nguruwe (tra) kugharamikia mahakama tajwa.
 
wewe unayemuita jk chekibobu,wala hujui maana ya jina chehibobu,wewe mshamba tu unayetumia internet ya kuazima au ya puplic .

tafuta kitu cha kufanya uwasaidie wazazi wako.
Pole sana mjomba.
 
Muslimu for muslimu not for all TAnzanian. Hivi Kodi zitokanazo na kuuza nguruwe, Pombe nazo zaweza endesha mahakama ya kadhia.

SEHEMU YA KODI ZINAZOTOKANA NA BIA NAZOBUGIA KILA SIKU PAMOJA NA KITIMOTO NACHOKULA KILA WIKIENDI ITUMIKE KUENDESHEA MAAKAMA YA KADHI! Teh! Teh! Teh!
 
Back
Top Bottom