Source please.
tumechoka na ahadi hizi
mmechoka wewe na nani?
serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetangaza kuanza kuajiri walimu kuanzia mwishoni mwa mwezi huu,jumla ya walimu watakaoajiriwa ni elfu ishirini,
Nadhani serikali inahitaji walimu wengi zaidi,ukilinganisha na wahasibuKwa hiyo wanaoajiliwaga ni
walimu tu! kama sio lijeulo!
Maana sijapata kusikia/kusoma
kwenye vyombo vya habari
kwamba Ooo!? wahasibu
kadhaa wataajiliwa wiki lijalo.
Kwa hiyo wanaoajiliwaga ni
walimu tu! kama sio lijeulo!
Maana sijapata kusikia/kusoma
kwenye vyombo vya habari
kwamba Ooo!? wahasibu
kadhaa wataajiliwa wiki lijalo.
namimi nimechoka
zilipendwaserikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetangaza kuanza kuajiri walimu kuanzia mwishoni mwa mwezi huu,jumla ya walimu watakaoajiriwa ni elfu ishirini,
Mwaka 2012, kuwa makini