Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
1698565438000.png

Ni uamuzi wa Serikali kupitia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Doroth Gwajima ikiwa ni baada ya Video ya Tangazo la huduma za 'Massage' iliyowekwa Mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina Vitendo vilivyo kinyume na maadili.

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo, huduma za Kituo zimesitishwa kuanzia Oktoba 26, 2023 kutokana na kutokidhi vigezo vya Sheria Namba 23 ya Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, pia mmiliki ametozwa faini ya Tsh. Laki 5 pamoja na kupewa maelekezo mengine ambayo kama atayakiuka atafikishwa Mahakamani.

Pia,, Waziri Gwajima ameelekeza Mamlaka Husika kuwafuatilia Watoa Huduma wengine ili kuwabaini wasiotimiza matakwa ya Sheria na ikiwemo kuathiri Ustawi wa Jamii na kuchochea Mmomonyoko wa Maadili unaosababisha matukio ya Unyanyasaji, Udhalilishaji wa Kijinsia ambapo waaathirika wakuu ni Watoto.

Aidha, Wizara imetoa mawasiliano ya moja kwa moja kwa wanaotaka kuripoti masuala mbalimbali Wizarani watumie namba 0734 986503 na 026 2160250, matukio ya Ukatili wa Watoto namba 116 Saa 24 kila siku bila malipo. Na iwapo Waziri mwenye dhamana atahitajika, tuma ujumbe kwenye namba 0765 345777 na 0734 124191.

=============

1698565496958.png

1698565516407.png
 
View attachment 2796573

Ahsante Mhe. Dkt. Gwajima D kwa hatua hii muhimu.
 
Dkt. Gwajima D nitakupeleka sehemu panaitwa chimbo, ni danguro, lina vitoto vidogo kuanzia miaka 13 vya kike kwa kiume vinatoa huduma mbalimbali za kingono. Njoo PM nikupeleke uone maadili yanavyo momonyolewa
Waziri Dkt. Gwajima D asiishie kufungia tu. Kuna kesi nyingi hapo zitakazotoa fundisho kwa wengine.
1. Ubakaji
2. Kutumikisha kingono
3. Sheria ya ulinzi wa mtoto
4. Kuendesha mtandao wa ngono.

Na mengineyo
 
Dkt. Gwajima D nitakupeleka sehemu panaitwa chimbo, ni danguro, lina vitoto vidogo kuanzia miaka 13 vya kike kwa kiume vinatoa huduma mbalimbali za kingono. Njoo PM nikupeleke uone maadili yanavyo momonyolewa

Kuna namba za simu hapo juu, angalia moja ya kwake private Tafadhali Kama unayo nia ya dhati mtumie maelezo yote humo.

Tushirikiane kuokoa taifa.
 
Back
Top Bottom