daud donasian
Senior Member
- Nov 6, 2015
- 101
- 32
Wanaona gere paja la mtoto wa watu ty
Tamaduni zao chini ya mfalme mswati zinarusu hayo. Ndio maana tunasisitiza utamaduni wa mtanzania. Hawa akina dada wanaiga sana western culture, japo hata huko west na kwenyewe huwakuti wakitumia mitandao ya kijamii kufanya ujinga huu. Huko wanakoiga Wanaonyesha maungo kwenye maeneo maalum kwa kazi hiyo. Tena kwao na sheria ni kali zaidi hata si tu kujiweka uchi bali hata kuwapa watoto wadogo vilevi. Ndicho mhehimiwa rais anachosema, waende maendeo maalum kama ya maonyesho, kumbi za starehe wakavue hata nguo zote watazamaji na mashabiki wao wafurahie nyuchi zao huko. Sio public kama wanavyofanya.Tatizo waafrika hawajui mila zao na utamaduni. Labda huyo waziri sijui katumia mila zipi hizo za kitanzania??
So hawa hawana maadili.
Nani nyumbu???muulize mzazi wako vizuri hakuwahi kupita maeneo yangu maana watoto kama nyie nilowasahu ninao wengiWewe una mapepo nini??
Hivi huyo magufuli ndio anashughulika na jinsi watu wanavyovaaa?
Akili za kinyumbu kabisa hizi!
Kijana kafungiwa kwa sheria ya basata sio makosa ya Mtandao usikurupuke tuWazir amemfungia? Makosa ya mtandao adhabu anatoa waziri au mahakama? So confused
Hao wadada hawapo uchi. Nenda instagram pages za mastaa wa USA huko unaposema ndo utachoka. Hizo nchi unazosema wamekataza picha za utupu kwenye mitandao ila picha za utupu sio hizo za hao wadada wanazopost.Tamaduni zao chini ya mfalme mswati zinarusu hayo. Ndio maana tunasisitiza utamaduni wa mtanzania. Hawa akina dada wanaiga sana western culture, japo hata huko west na kwenyewe huwakuti wakitumia mitandao ya kijamii kufanya ujinga huu. Huko wanakoiga Wanaonyesha maungo kwenye maeneo maalum kwa kazi hiyo. Tena kwao na sheria ni kali zaidi hata si tu kujiweka uchi bali hata kuwapa watoto wadogo vilevi. Ndicho mhehimiwa rais anachosema, waende maendeo maalum kama ya maonyesho, kumbi za starehe wakavue hata nguo zote watazamaji na mashabiki wao wafurahie nyuchi zao huko. Sio public kama wanavyofanya.
mnaopinga kuwa hizo picha sio za uchi ni upumbafu [HASHTAG]#assume[/HASHTAG] ni mwanao,tuache ulimbuken na ushabiki wa kijinga