Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

Hivi hayo yanayoitwa maadili ya mwafrika au mtanzania ni yapi? Maana nguo zililetwa na wazungu,

Asili ya mwafrika ni kukaa uchi na sehemu nyeti zilikuwa zinafunikwa na magome ya miti, sehemu zilizobaki zilikuwa wazi.

Labda turudi katika historia ya mwafrika maana kuna watu wanataka kuchanganya Asili ya mzungu na mwafrika

NI WAKATI WA KUHOJI SASA
Asili yake si kukaa uchi bwana!
 
Wazir amemfungia? Makosa ya mtandao adhabu anatoa waziri au mahakama? So confused
Mkuu hajashitakiwa kwa sheria ya makosa ya kimtandao ambayo ni ya kijinai.

Sema huyu mtoto mzuri tuache unafiki wale tunaopenda sura nyororo, macho ya wizi, na wezere la kumwaga. Mtoto bambataa kwa kauli ya Haruni Kaena a.k.a Babu, a.k.a Insepekta Haruni.

Eee Mola tuepushe na adhabu ya kaburi.
 
mbwa m1 tu hivi anataka kutumia makalio yake kama kitegauchumi....
ayapeleke ngorongoro kwa kina faru joni mwehu huyu
 
Hizo picha ukifatilia zipo instagram sasa si upuuzi huo, kama mtu hataki mautam c amblock tuu mbona huyo mange wamemblock...upuuzi sasa manguo ya masista wengine tuna allergy nayo!
 
Hii nchi ina mahakama? Yani nikaripoti ofisini kwa naibu waziri? Siasa kila mahali?

Stupid shit. Sue them in a court of law kama wamevunja sheria.
 
2020 watawatumia hawa hawa kwenye kampeni zao kama walivyowatumia kanga moko 2015
 
04c17b3103adf005526dd711679000b3.jpg
Shonza na mwakyembe na huyu nae msimuache huu ni utupu pia kwani kavua ngozi ya kiafrika
 
Dah! Yaani hivi vipicha ndo waziri anadili navyo??? Naina waziri amekuwa mtu mdogo sana, au amekisa kazi za maana
 
Back
Top Bottom