Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

Huyu waziri kakosa kazi. Hakuna picha ya uchi hapo labda kama ana wivu na hizo shepu za kibantu. Hivi kabla ya wakoloni na waarabu kuja dada zetu walikua wanavaaje labda??? Inamaana tulikua hatuna maadili?
 
naibu waziri naomba utuache kidogo hii sekta..apo hakuna uchi wowote tena waambie waanze kupiga za uchi kabisa ili watuletee pesa za kigeni au waambieni tu wanunue EFD walipe kodi
 
Hivi hayo yanayoitwa maadili ya mwafrika au mtanzania ni yapi? Maana nguo zililetwa na wazungu,

Asili ya mwafrika ni kukaa uchi na sehemu nyeti zilikuwa zinafunikwa na magome ya miti, sehemu zilizobaki zilikuwa wazi.

Labda turudi katika historia ya mwafrika maana kuna watu wanataka kuchanganya Asili ya mzungu na mwafrika

NI WAKATI WA KUHOJI SASA
Tatizo waafrika hawajui mila zao na utamaduni. Labda huyo waziri sijui katumia mila zipi hizo za kitanzania??
So hawa hawana maadili.
c2bf35112adbc770c78e94a5ed33c68a.jpg
 
Dah! Yaani hivi vipicha ndo waziri anadili navyo??? Naina waziri amekuwa mtu mdogo sana, au amekisa kazi za maana
Kuna wimbo muhusika ametoa ndio anatuhumiwa nao. Nyimbo nzima imekaa kujiuza mwili tu. Kama huna information kamili ya mada usipayuke payuke tu.! Juliana mama kaza hapo hapo, hawa mabinti walijidai wamechanganyikiwa.. kutuharibia watoto tu.
 
Huyu waziri kakosa kazi. Hakuna picha ya uchi hapo labda kama ana wivu na hizo shepu za kibantu. Hivi kabla ya wakoloni na waarabu kuja dada zetu walikua wanavaaje labda??? Inamaana tulikua hatuna maadili?
Hivi angekuwa ni dada yako ungefurahia akae hivyo? Au kwa kuwa ni watoto wa wenzio?
 
Naibu waziri amehamishia ofisi Instagram.
Vijana / watoto wetu wote wako huko. Mema na mabaya yoote wanajifunza huko siku hizi. Control hiyo ya maadili yetu ni muhimu sana. La sivyo vijana wetu wanapotea.
 
Serikali itoe definition ya uchi kwanza kwa mwanamke na mwanaume ili watu wajue.

Katika uislam uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa uso na viganja na wakati mwanaume uchi wake ni kuanzia kitovuni kuja chini kupita magoti yake.

Uchi wa mwanaume na mwanamke kwa mujibu wa SJMT ni upi?
 
Mmh,,natabiri haitapita miaka 5 tz wataanza kucheza x, kutokana na mwenendo huu
wako tayari kwa adult movie sema vigezo ndio shida wengi wao wamejaa ukurutu na majanga mengine ya ngozi maeneo nyeti producer wanaona hailipi halafu wa kwetu hawajyi kuigiza porno
 
Halafu hii government yetu bhn sasa kukataz Wasanii wetu pic za uchi mtandaon halafu na kuacha tuangalie pic za nje za wasanii sasa hapo tutakuw tumezuia nn?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Bila kuwa mnafiki napenda kusema kitendo cha Dada zetu kujidhalilisha ktk mitandao ya kijamii na mazingira mengine ktk jamii yetu ni kibaya na si cha kiungwana.Mungu alitutofautisha na wanyama kwa utashi wa kifikra.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom