Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

enockino

JF-Expert Member
Oct 14, 2014
272
171
Serikali yafuta posho zote za vikao vya kamati za Bunge na Bodi za taasisi za umma zafutwa Rasmi

===================


Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru atangaza kufutwa kwa posho zote za vikao vya kamati za bunge na vikao vya bodi za taasisi za umma
 
Wanaendelea kuisoma namba...
 

Attachments

  • 1448908680234.jpg
    1448908680234.jpg
    52.1 KB · Views: 8,916
Hahaha!!!!Hapana!!! Impossible
Aaah vikao vya KAMATI vya Bunge kumbe
 
Duh! Safi sana! Watu wanalipana mpaka sh.1.5ml kwa kikao kimoja cha bodi.Mapesa mengi sana yataokolewa hapa.Mungu akubariki Rais wetu.
 
wafute Sitting allowance au mshahara ndio nitaamini wako serious. Wachague kimoja kati ya sitting allowance na mshahara waache kimoja wapo.
 
Safiiiiii safiiiiiii... wale VITU MAALUM warembo, wasichana wasio na sura kama mnywa gongo SASA watatutafuta... Karibuni,
 
Jamani, hivi jk miaka yote 10 ikulu alikuwa anafanya nini? Wakati Magufuli siku 25 tu ameweza kufanya yote haya?
 
kufuru kwa usioelewa kama wewe,funga na fungua usemi kwenye neno mungu lina maana yake sio urembo au tping error
Nimeelewa sana, maana hata mimi ninajua nini maana ya quotation marks zinapolifungia jina au neno. Ila kwa imani yangu mimi, huwa jina la Mungu halifanyiwi mazaha ya aina yeyote ile hata kama sio ya kumaanisha. Huwa hatulitaji jina la Bwana Mungu wetu bure. Please, I repeat, I do understand very well that quotation marks can be used sarcastically to mean the opposite of what is said. Nimeelewa sana, tatizo ni kwangu ni neno linalotumika katika mzaha wenyewe.
 
Juliana Shonza kaingilia pabaya itabidi statute chanzo kingine cha fedha huko Dodoma na cha kusikitisha anaowategemea watapigwa chini uwaziri
 
Back
Top Bottom