Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Akikupiga ngumi ya Sikio halafu anakuuliza Umeskiaje, Wewe Mpige ya Jicho tu halafu muulize ameonaje.
View attachment 1523067
Aiseee Uhusiano wa Kidiplomasia awamu hii ya "MTU FURANI" ni mbaya sana. Ni mbaya sana kwa EAC kufanyiana hivyo sisi ni majirani,tuondoe tofauti zetu na wakenya,tunaanza kuzuia ndege, kesho kutwa tutaanza kufukuza raia walio kenya/tz kurudi makwao!! Naona ndipo tunapoelekea.
 
Wewe umeumia sana na kama ndio mshauri wa Kenyata kwamwambia nchi hii haiongozwi na JK bali Magufuli
Nimeumia nini?

Labda nimeumia waamuzi wetu kuonyesha this high level of stupidity!

Wajifunze walao kwa Kagame,Kagame amesolve mambo kama haya na Uganda na Burundi, etc very intelligently maana anajua kucheza chess na sio draft yanacheza haya majitu ya huku
 
Kwa hiyo unadhani TZ haikuchambua kabla ya kuchukua hatua?! Hivi wewe unaionaje TZ...unadhani TZ hawafikiri...subirini muone...hiyo ya KQ ni Cha mtoto...more is to come...
Kenya cha mtoto sana kwa Tanzania kwenye vita vya kiuchumi. Kenya akitaka kujua JIWE ni nani aende Canada akawaulize BARRICK kilichowapata hadi kuingia ubia.Tanzania ndiyo USA ya Africa, ubabe, ubabe.Kenya hatakiweza kina cha Jiwe
 
Mkuu

Hizi personal emotions hawa viongozi zinapowapanda na kutoa maamuzi kama haya,concequences zake ni far reaching...

Kuna best way ya ku-address hili swala na economically ukawa ume-win pia...

Mawe kutokujali ni bliss ya ignorance yake...Mtu asiejua lolote hua hajali maana hajui...

Angekua anajua na anauelewa ange-solve intelligently...Too bad hajui 1+1....
Wakenya wanajali?
 
Vilio vitaanzia kwa mabeberu ambao safari zao zitaathirika. Hivi Kenyatta alitegemea kabisa Magufuli asijibu hii kitu, ukichukulia ni majuzi tu kasema Kenya isiwe compared na majirani wanaoficha data za covid19?
Unajidanganya kwani ni mara ya kwanza. Umekuwa wapi kutoka siku za nyerere? Hii ni tabia GOK inajua tanzania huwa nayo.
 
Ndio wanakuja na KQ kutoka huko kwako.

Wakija na ndege kubwa wanaishia Nairobi,DSM hua ndege kubwa haziji.

Hivyo long route ni mpaka Cape Town au J'burg,ambapo hiyo trip ya kuja TZ mtalii hafanyi ni ufala.

Hujasemea mizigo,unaelewa mizigo inayokuja kwa ndege kupitia Swissport inachangia GDP ya nchi kiasi gani na 90% inapitia Nairobi.

Kama ni hivyo jibu mamlaka ililochukua ni jepesi sana, lazima majawabu yawe backed na financial projections kama economics zipo upande wetu au la.

Tatizo viongozi wengu wanaendeshwa na ukichaa.
Hebu soma hapo uniambie umeelewa nini.

Acheni kukariri.

Screenshot_20200731-061356.jpg
 
Nimeumia nini?

Labda nimeumia waamuzi wetu kuonyesha this high level of stupidity!

Wajifunze walao kwa Kagame,Kagame amesolve mambo kama haya na Uganda na Burundi,etc very intelligently maana anajua kucheza chess na sio draft yanacheza haya majitu ya huku
Kagame yule aliefunga mpaka wake na Uganda hadi tz ilipoenda kusuluhisha ndio akafungua?

Kumbe wewe jinga ee?
 
Nijinyonge for what masikini mwenzangu wewe?

Imeamuliwa na hao,mimi my money always is the same.

Nipo hapa nawachana mlivyo na akili za mchwa kwa kutoa maamuzi ambayo hata kichaa wa mirembe anafanya!

Tumieni akili zaidi sio majawabu marahisi namna hii.

Bure kabisa viazi nyie!

Y'all make y'all seen light weight

Good riddance!
Kiongozi unatumia fikra gani kuandika hoja zako. Unaonekana una hoja nzuri ila unavyoandika kishabiki unaharibu sana. Kosoa au pongeza kwa hoja inayoeleweka. Sasa unaandika tu ukichalenjiwa unakasirika. Huitendei haki Jamii forum.
 
Proud of my country
Lazima kuonesha kua huyumbishwi wala hubabaishwi.
Tatizo hujaelewa. Uamuz wa tanzania sio kwajiri ya kuwakomoa kenya. Ila ni uamuz wa kucancel safari zote za kimataifa ambazo zingeptia kenya sabab haiwezekan tena baada ya kenya kufunga anga. Na ndege za kenya nying ndo zlikua ztoa hiyo hduma.
 
Back
Top Bottom