Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Ni pigo kwa KQ lakini ni pigo kubwa zaidi kwa Watanzania waliokuwa wanatumia Shirika hilo kwenda Ulaya, China na nchi nyingine za Mashariki ya Mbali maana mabawa ya madege ya ATCL yamenyonyoka hayawezi kuruka. Wasafiri toka Mikoa ya Kaskazini hawana shida wataendelea kusafiri kwa KQ kuanzia Nairobi Kama walivyozoea kwa kutumia Shattles za kila saa zikisafirisha watalii. Ngoja nikanunue viberiti toka Kenya vya kutosha maana haijulikani lini vitaingia Tena nchini kwani kiwanda cha Kibo Matches kilikufa miaka mingi. Bidhaa toka China ndo kwa heri labda wafanya biashara wetu waliokuwa wanaleta kwa KQ watumie nyungo.KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ
Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ