Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

Kwahiyo unasema hata TZ tuteke nchi kwa PICK UP?.Alikataa kuwatambua kwa kuzingatia sheria za kimataifa na si vinginevyo.Kitendo walichofanya waasi wa Libya si cha ubinadamu.Huwezi ukamuua kwa aibu hivyo kiongozi wenu.waarabu si watu waungwana hata kidogo.
Acha upumbavu raia waliokufa kule mbona husemi.
 
Gaddafi alikuwa dikteta wa kutupwa (tyrant) na wananchi wa Libya wamemuonesha njia ya madikteta wote kama yeye. Hakuna MBWA yeyote anayejiita kiongozi wa Africa anayeweza kubeza kazi iliyofanywa na wananchi wa Libya.

Dunia yote na Africa nzima inatakiwa iungane na wananchi wa Libya kusherehekea kuanguka kwa mojawapo ya mihimili ya uovu duniani. Hatuna sababu yoyote ya kutumia lugha soft.

Mabomu ya Gaddafi yaliwaangamiza wananchi wa Tanzania kule Kagera akisaidiana na Nduli Mwenzie, sasa leo eti tunapata nafasi ya kuonesha maskitiko yetu!!!!! Ama kweli misingi iliyoanzisha taifa hili imeshatupiliwa chooni. Hatuwezi kukaa kimya bila kuwaambia hao wanaodai kuwa wanatusemea.

Gadafi alikuwa ni alama ya udikteta uliokubuhu barani Africa na Madikteta wenzia kama kina Mugabe ndo inatakiwa wamlilie!

HUJUI ULISEMALO ww! Huwezi mfananisha Ghadafi na Museveni HATA Chembe! watu watakucheka, Museveni ndio wakupigwa namna hii not Col. Ghadafi. Mugabe pia sio Dikteta, Kawa dikteta baada ya kuchukua ardhi kwa wazungu?? HATA JK hapa anaweza ambiwa dikteta siku aamke awatimue Barrick utaona ataitwa nani! Fikiria kwanza kabla ya Kusema.
 
Walibyia ni WAJINGA, Watajuta! R.I.P Col. Ghadafi, Ingawa pia uliwahi kutujaribu watanzania ktk Vita na Uganda lakini twakuheshimu na tulikuwa twakupenda.
Komenti zingine, eti aliwahi kutujaribu my foot...kutujaribu wakati aliua maelfu ya watanzania hata kama unampenda si kiasi hiki, unafikiri vita vile vilikuwa vya kujaribu wakati yeye na dikteta mwenzake Amini walitaka kuiangusha dola yetu, nafikiri wewe ulikuwa hujazaliwa kama ulikuwa umezaliwa akili yako haina kumbukumbu.
 
Wanabodi,

.

My Take.
Kwanza nampongeza Waziri Membe kujitokeza waziwazi kuonyesha Tanzania kama nchi, tunamlilia Ghadafi.
Rafiki ni wakati wa dhiki, Membe alitakiwa hayo aliyoyasema leo kuhusu Ghadafi, angetakiwa ayasema pale Mabeberu na wale vibaraka wao, walipoanza chokochoko Libya.
Ningefurahi kama Membe na Tanzania, tungeonyesha kulaani uwamizi wa demokrasia ya Kiafrika inayoshambuliwa na wakoloni mamboleo na mabeberu wa ulaya wenye uchu na utajiri wa Afrika na kuwaondoa viongozi vikwazo kwa kisingizio cha kulinda demokrasia.
Kauli ya Membe kuwa Marehemu alikuwa mtu mzuri kwa Bara la Afrika, came 'too late' ila hata hivyo Tanzania imefanya uungwana wa kutoa kauli hii kwenye kifo hiki, ili angalau kuituliza 'karma' ya Ghadafi isitushukie Watanzania kwa ukosefu wa fadhila.

Binafsi, sijafurahishwa na kifo cha namna ile cha Ghadafi, vile ambavyo sikufurahishwa na kifo cha Osama, Saddam , Doe, ets. Kwa kifupi sipendi kabisa hata kuona tuu rangi ya damu ya binadamu!.

RIP Ghadafi!.

Naona umesahau kwamba siku zote au mara zote, marehemu ni mtu mzuri sana kuzidi uhalisia, na kama wangekuwa wanafufuka wakati sifa zinamiminwa tungekimbiana!!!
Hata mimi mazingira ya kifo chake sijayapenda hata,,,, inabidi tuyalaani,,,,
RIP Gaddafi
 
Inaonyesha KABISA ni Mabomu ndio yalikuwa yamempiga wala sio Risasi! NATO wali achia makombora toka kwa NDEGE! He is a HERO in anyway! RIP


you are right mpango mima ulikuwa hivi



article-2051361-0E768B8100000578-630_634x537.jpg
 
kwa vyovyote vile Membe kama mwanasiasa mwingine yeyote alitegemea materials support to achieve that political status lakini akajisahau (ikiwa ndipo uelewa wake unapokomea) kusoma upande wa pili wa sarafu na kusema alilosema juu ya hilo 'jembe' lake Ghadafi.
Sasa atake asitake hizo hela alizotegemea kutoka Libya (kama labda alishachukua advance) hatazipata maana NTC hawawezi kuzitoa!!!
All in all, credibility ya Membe kama mtu aliyeitaka nafasi ya juu itakuwa imekuwa damaged for more than 50% na itabidi atumie gharama kurudisha hiyo loss ambapo wenzie wanaoitafuta hiyo nafasi pia watakuwa wamemuacha mbali.
Namshauri aachane na huo mpango!
 
Inaonyesha KABISA ni Mabomu ndio yalikuwa yamempiga wala sio Risasi! NATO wali achia makombora toka kwa NDEGE! He is a HERO in anyway! RIP
mohammed-a-young-fighter-in-his-20s-is-seen-here-wearing-a-blue-t-shirt-and-a-new-york-yankees-baseball-cap-told-bbc-news-that-he-found-muammar-qaddaffi-hiding-in-a-hole-in-sirte-libya.jpg

The guy who killed him was a Yankee fan.Ni kwa mujibu wa New York Post.Huyo hapo kulia ambapo kuna picha alikuwa amebebwa juu akiwa ameishika hiyo golden plated pistol,which belonged to Gaddafi.
 
Komenti zingine, eti aliwahi kutujaribu my foot...kutujaribu wakati aliua maelfu ya watanzania hata kama unampenda si kiasi hiki, unafikiri vita vile vilikuwa vya kujaribu wakati yeye na dikteta mwenzake Amini walitaka kuiangusha dola yetu, nafikiri wewe ulikuwa hujazaliwa kama ulikuwa umezaliwa akili yako haina kumbukumbu.

Kwenye siku umeongea pumba ni leo, sidhani kama unaijua historia vizuri ya vita vya uganda na Tanzania, naona umejaa ushabiki tu.

Kabla ujatoa lawama zako kwa Gaddafi unajua kwa nini Tanzania waliivamia uganda?
 
Huyu siyorahisi akapumzika kwa AMANI kwa mazingira ya kifo chake inawezekana ikawa PEPONI.

Wewe unajua kupumzika kwa amani mpaka maiti waivalishe suti?

Wengine maiti zao zinachomwa moto sijui hao vipi, mimi mwenyewe nikifa nataka maiti yangu ichomwe moto tu hakuna kingine
 
horrible! mi kwa kweli sifurahii mauaji yoyote yale, bila kujali nani anamuua nani...mauaji yanayotokea pale mtu anapo kuwa hatarini na kulazimika kuua ili kutetea uhai wake au wa wengine kidogo yanaweza kuwa na sababu inayoeleweka....ila huyu walimkamata kabisa,kwa nini wasingempeleka mahakamani kuliko kumuua kinyama namna hii??

kwa upande mwingine nakubaliana na wale wanaosema serikali imeonyesha unafiki kwa ku kaa kimya alipo ingiliwa hadi nyumbani mwake na kuja kuongea sasa wakati amekufa....
 
movi ya mauaji yake ilikuwa hivi

5. WANAMUINJOY NA KUCHUKU PICHAZ YA MAITI YAKE

article-2051361-0E76175A00000578-996_634x837.jpg
Safi kabisa he deserve amepata alichokuwa anakitaka toka ikulu ya mane mane hadi kuburutwa mitaani, ni sababu ya ulevi wa madaraka kufikia hatua ya kuwaita wananchi wako RATS and COCKROACH. Hili liwe fundisho kwa viongozi wa design ya kina JK na Membe kuwa wasicheze na uhuru wa watu na nguvu ya umma haya yanaweza kuwatokea wakati wowote bila kujali wanalindwa na UWT na mizinga mingapi. Ushauri wangu kwa Kikwete tenda wema uende zako.
 
Komenti zingine, eti aliwahi kutujaribu my foot...kutujaribu wakati aliua maelfu ya watanzania hata kama unampenda si kiasi hiki, unafikiri vita vile vilikuwa vya kujaribu wakati yeye na dikteta mwenzake Amini walitaka kuiangusha dola yetu, nafikiri wewe ulikuwa hujazaliwa kama ulikuwa umezaliwa akili yako haina kumbukumbu.
Shut the Front Door! Hata kama alituchapa Mbona Sikuwaona NATO wakija kutusaidia? Trust me tutakuwa na wakimbizi toka Libya very soon. Ww lazima utakuwa mzungu tu, maana wazungu ndio wanafurahi hili swala.
 
Story tu hizo! Hata kama yeye ndio alimua but ni after the Booms from NATO plane's1 maana jamaa ametoboka toboka sana, Omba PICHA nikutumie achana na hizo za Internet! Ana majeraha Mgongoni ya matombo matobo!
 
Mwenye akili timamu huwezi kushabikia kilichotokea Libya. Dharau kwa sovereign state siyo kitu cha kushangiliwa na watu makini na wenye akili timamu kama wanaJF, kama ninavyolazimika kuamini kwa misingi ya falsafa iliyounda jukwaa hili ya 'great thinking'

Wewe mwenye akili mbona hatujakusikia ukilaani mauaji nliyofanya Nyamongo, Mbalarali, Arusha na juzi Igunga. Mmefiwa na mfadhili wenu siyo?
 
Yani wewe kweli Ziro, ujui chochote unaongea takatataka tu, mmefanya ufisadi uchumi umetumikia siasa leo mmekwama lawama mnampa Gaddafi..

Mbona hao Uganda mliowapiga vita wanawazidi kwa uchumi, kumbe hakuna cha kulalamika wala wakulamikiwa kumbe matatizo yote alileta Gaddafi.

Huu umasikini, kutokuwa na umeme, migodi kuwapa wazungu, ubinafsishaji wa makampuni, yote kasababisha Gaddafi..

Wewe bure kichwa nazi kabisa na inaelekea ulisomea chini ya mti.

Inaelekea unadandia treni mbele kichwakichwa tu. Mara hivi mara vile. I cannot waste my time with such folish minds....... You do not belong here!!! Nenda Michuzi Blog.......................uendeleze udaku!!
 
Hivi unajuwa uchumi wa TZ ulikuwaje kabla ya vita vya Kagera??? Ulikuwa unanyonya nini??

Hivi unajuwa kuwa TZ ilikuwa tajiri kuliko Malasiya na South Korea miaka ya 60 na 70???

Hivi unafikiri viwanda walivyoviuza akina Mwinyi na Mkapa vilijengwa kwa pesa ipi??

Endelea tu kumlilia baba yako..... wakati Walibya wenyewe wanasherekea!!!
Mimi ndio maana sioni haja ya kumjibu mtu asiyetaka kujua historia ya uchumi wa Tanzania kabla na baada ya vita vya Kagera anafikiri kushuka kwa uchumi kumeanza jana bila kuwa na sababu zake.
 
Ningeona Membe anasema kwamba leo tunakatisha mahusiano na Libya kwa kumfukuza Balozi wake ningejua nchi hii ina msimamo na inatenda kile inachokisema. Lakini kwa maneno hayo ya kuuma na kupuliza, hayana maana. Lazima akubali tu, Ghadaf ameuawa kwa madhambi yake. Kudumaza demokrasia ni hujuma ya haki za binadamu.
 
Back
Top Bottom