Serikali ya JK yakiri kumshindwa MWANAMAPINDUZI HUYU, CCM yadai hawezekaniki!

" Cha kushangaza hapa ni kipi?" mbona kazi inayofanywa na Jamii forums si sawa tu na inayofanywa na magazeti na vyombo vingine vya habari? ....... "

Come on ndugu.... unaweza linganisha JF na the likes of uhuru, TBC, etc?
 
Ukimwona huwezi kumdhani, ukiambiwa harakati zake unaweza kuzirai, kwa maana ni kama mtu huyu amefunga kamera hadi ikulu, ni mwanamapinduzi ambaye CCM na serikali ya JK wameshindwa kuzima harakati zake, je ni nani huyu? msome hapa The Tanzanian Online Community Forum Giving the Government Sleepless Nights | Techmtaa

Good Job...hawakusoma utawala wa Mwalimu hawa..Ni kizazi kilichokata tamaa na madudu ya hawa mafisadi papa wenye mwavuli mkuuubwa kutoka..the Great Magogoni House
 
Safi sana Maxence and Mike!!! Big up Mods kwa kuendeleza libeneke,hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
What more can I say??????

I am away from home, I do not read the magazeti, but all is on JF
 
No words can express the quality, weight and flavour..........keep the fire burning
 
Duh kumbe Salva nae member humu?

Salva Rweyemamu
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png





Join Date 8th May 2011
Last Activity 8th May 2011 03:40


a.k.a Junior Member
 
Nimepiga chini magazeti yote sababu ya jf,na nasave hela niliyokuwa nanunulia gazeti kilasiku. Na nisipoingia kama member naona kama nasoma gazeti,raha kuwa member bwana,matatizo yote ya it nasolve humu humu jf,hadi raha,nikitaka kazi,gari nyumba,kiwanja napata humuhumu jf.viva jf,jf nouuuuumar!
 
JF inarudisha nyuma maendeleo ya nchi, nguvu kazi kubwa ya nchi inapotea kwa watu kushinda wanablog humu. Malaria Sugu, Ritz, Rejao, Omr, topical, Faiza foxy wanashinda kutwa kucha kublog humu ndani je kazi wanafanya saa ngapi?
 
Dah Mike & Maxence nyie ni wakali. Iko siku, kama siyo leo kesho hata hawa wanaotaka kuwamwakyembe watautambua mchango wenu.
God bless u all!!
 
zile forums msekwa na nape walisema vijana wamemwagwa kuzianzisha na kuja pia kujibu mapigo hapa jf zimeishia wapi? au walichukua chapaaaaaaa wakakaza mwendo mbele kwa mbele
 
Tunakupongeza na tunakulinda mkuu.Husifikiri huna ulinzi,hapana.chochote kile tutakupa kabla ya mafisadi kukufikia.Mungu akubariki sana Mkuu.keep up mkuu.Hatusikilizi redio zao sasa ni humu tu.
 
Hooooray..........Uhuruu wa kuongea oyeeeeeeeee.....JF Juuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom