Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,561
- 12,686
Fuatilia kama bado inaExist lakini hasara yeyote ikipata ,you will never be compasatedBoss is this company still exist,, niliweka pesa yangu hapa
Fuatilia kama bado inaExist lakini hasara yeyote ikipata ,you will never be compasatedBoss is this company still exist,, niliweka pesa yangu hapa
Hapa tulipigwa hasa.
Inauma sana.
Hapa tulipigwa hasa.
Inauma sana.
VIP ndugu umejaribu kufuatilia NMBNi utapeli umefanyika
Kampuni ili invest asilimia 80 ya mtaji NMB
Inakufaje wakati Nmb ipo na inapata faida?
Nami napeda kujuaGawio limeamuliwa ni sh ngapi toka kwenye kikao?
Gawio ni 17 kwa kila hisa. litalipwa 30.12.2021. Kiujumla NICOL imerudi kwenye reli kama uongozi hautabadilika.Gawio limeamuliwa ni sh ngapi toka kwenye kikao?
Duh sh 17😛😛😛😛Gawio ni 17 kwa kila hisa. litalipwa 30.12.2021. Kiujumla NICOL imerudi kwenye reli kama uongozi hautabadilika.
ni kidogo? mbona nyingi tu! maana pato kwa kila hisa ni sh.45. hiyo sh.17 ni asilimia 37 ya pato la kila hisa (Earning per share).Duh sh 17
Si habani kidogo? mbona nyingi tu! maana pato kwa kila hisa ni sh.45. hiyo sh.17 ni asilimia 37 ya pato la kila hisa (Earning per share).