Napendekeza nchi iongozwe kwa mfumo wa kampuni, kila mwananchi anakuwa mwanahisa, na akitaka anaweza kuuza hisa zake kwa yeyote

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,082
40,735
Rasimali na mali zote za nchi. (Kampuni) zifanyiwe tathmini na zipatiwa thamani ya fedha, jumla ya ‘assets’ za nchi zigawanywe kwa idadi ya waTanganyika wote, na kila mtu apewe hisa zenye thamani sawia, hivyo kila mwananchi ni mwanahisa wa kampuni ya Tanganyika.

Kiongozi mkuu wa Kampuni ya Tanganyika atakuwa mkurugenzi akisaidiwa na idara mbali mbali za kampuni. Patakuwa na vikao vya bodi vya kuamua mustakabali wa kampuni, na kampuni ya Tanganyika lazima ijiendesha kwa faida kwa kutumia assets zake.

Mwanahisa yeyote anaweza kuuza hisa zake kwa mtu yeyote.

Mkurugenzi atakuwa ni mwajiriwa aliyekidhi vigezo na atalipwa mshahara wake kama mfanyakazi mwingine yeyote, na akiitia hasara kampuni basi bodi ya wakurugenzi itampiga chini na kuajiri mkurugenzi mkuu mpya. Moja ya masharti ya ajira hiyo ni awe amefauli walau kidato cha nne, form 4 failure marufuku!

Idara ya uhasibu ihakikishe mapato kutoka vyanzo vyote yanaratibiwa na kutumia ipasavyo katika vitengocmbalimbali vya ‘procurement’, ‘human resources’ nk. bila upotevu wa fedha.

Kampuni hii itakuwa na idara ya ulinzi na usalama kwa ajili ya kulinda wanahisa pamoja na mali zao
 
Mfumo huu ungeanza na mashirika yote ya umma kwanza, tuanzie na bandari, TPA! zifuate ATCL, TRL, TSL, TANAPA, TANESCO....nk.

Kuhusu nchi, Tuanze upya ...kuandika katiba mpya itakayorudisha mamlaka kwa wananchi na kupunguza hodhi ya Serikali na taasisi zake ikiwemo ile iliyoko juu kimamlaka. 💬 🤔
 
Rasimali na mali zote za nchi. (Kampuni) zifanyiwe tathmini na zipatiwa thamani ya fedha, jumla ya ‘assets’ za nchi zigawanywe kwa idadi ya waTanganyika wote, na kila mtu apewe hisa zenye thamani sawia, hivyo kila mwananchi ni mwanahisa wa kampuni ya Tanganyika.

Kiongozi mkuu wa Kampuni ya Tanganyika atakuwa mkurugenzi akisaidiwa na idara mbali mbali za kampuni. Patakuwa na vikao vya bodi vya kuamua mustakabali wa kampuni, na kampuni ya Tanganyika lazima ijiendesha kwa faida kwa kutumia assets zake.

Mwanahisa yeyote anaweza kuuza hisa zake kwa mtu yeyote.

Mkurugenzi atakuwa ni mwajiriwa aliyekidhi vigezo na atalipwa mshahara wake kama mfanyakazi mwingine yeyote, na akiitia hasara kampuni basi bodi ya wakurugenzi itampiga chini na kuajiri mkurugenzi mkuu mpya. Moja ya masharti ya ajira hiyo ni awe amefauli walau kidato cha nne, form 4 failure marufuku!

Idara ya uhasibu ihakikishe mapato kutoka vyanzo vyote yanaratibiwa na kutumia ipasavyo katika vitengocmbalimbali vya ‘procurement’, ‘human resources’ nk. bila upotevu wa fedha.

Kampuni hii itakuwa na idara ya ulinzi na usalama kwa ajili ya kulinda wanahisa pamoja na mali zao
Ni rahisi kuibinafsisha kwa mwekezaji kisha tununue hisa, ikiwa kampuni viongozi wa CCM watagawana na kutunyima hisa.
 
Back
Top Bottom