Serikali vs tcu.

Thebony

Member
Aug 16, 2012
92
2
Serikal ya jamhur ya muungn ya tz,imeingilia kati suala la TCU kuchelewa kutoa majibu lasimi ya vjana wenye sfa za kujiunga na vyuo nch na inasemekama kuwa TCU wamepewa saa 24 tu wawe wametoa majina hayo ikiwa ni pamoja na HESLB.Hvyo wana jamv wenzangu kuanzia saa 10 na kuendelea tembelea webst ya tcu wanaweza kuwa wameweka.Lazima iwe leo.
 
Source mkuu
 
Source mkuu

source ni mfanya kaz wa TCU.Nilikua huko mda si mrefu na kuna watu tulikua tunahtaj huduma na jamaa akasema leo hakuna huduma lasm kwa sababu serkal imewapa 24 hrs wawe wamemalza kaz so ndo hvyo kaka.
 
customer service department
 
Sasa ni saa 2:16pm,na jinsi nilivyo busy siku haitakawia kuisha. Nisipoona kitu,ntajua wewe ndo walewale wenye ndugu zao walinzi tcu na heslb wanaojua hadi habari za kiofisi za bodi hizi.
 
taarifa nimepata saa 6 mchana so ongeza 24 alzo sema na zikiisha upo huru kuniambia lolote hata ukntus poa coz nitakua muongo.
 
Haya mkuu tusubiri. Ila kesho ni wkend,ofisi za serikali zinafanya kazi kweli? Kwa7bu 24hrs kuanzia saa 6 zitaishia kesho mchana.
 
mmmmh hapo hapo mi nshachoka na Heslb na kama ningekuwa na uwezo ningeiba nyaraka zao niziweke jamvini ili tujue nini kinaendelea. Nawasilisha
 
jamani mi nasubili ila sijui kama ntapata chuo maana nipo admted sua ila jina langu halipo kama upo mitaa ya sua nchekie,naskia kuna majna mapya huko
 
Back
Top Bottom