Serikali, shughulikieni akina 'Sheikh Ponda' haraka sana

Status
Not open for further replies.
Chadema uwa wanafurahisha sana linapokuja swala la NECTA wote wanarudi upande wa serikali ya CCM...halafu usema Chadema watachukuwa nchi.

Ritz, hapa siyo kweli kuwa watu wanaitetea NECTA kwa kosa lolote linalofanywa na taasisi hiyo. Tatizo ni pale waislam wanapotaka kuwadanganya watu kuwa kosa lolote linalofanywa na taasisi ambayo kiongozi wake ni mkristo basi limefanywa kwaajili kuunufaisha ukristo na kuudhulumu uislam. Huu ni ujinga mkubwa. NECTA hiyo hiyo miaka mitatu iliyopita wananchi mbalimbali bila ya kujali tofauti zao za kidini, walichachamaa na kutaka liwajibike kwa kushindwa kulinda mitihani hadi kufikia kuvuja kwa mitihani kwa kiwango kikubwa. Wanapoudhi sana Waislam ni pale hata ukiwa dereva mkristo, ikatokea bahati mbaya umemgonga muislam basi itageuzwa na kuonesha kuwa umemgonga yule kwa kuwa ni muislam na wewe ni mkristo.

Sasa kulikuwa na faida gani kwa mkristo amfelishe mtoto wa kiislam tena kwenye somo la dini ya kiislam ambalo ukifeli au kufaulu halikusaidii chochote katika kupata nafasi ya masomo ya elimu ya juu? Hata mtu mwenye akili ndogo kabisa anayetaka kujifikirisha angelijua hilo. Utendaji mbovu wa taasisi mbalimbali unafahamika, na kama waislam walitaka kuulani utendaji wa NECTA, wasingeingiza ubaguzi wa kidini kwenye nia yao ya kutaka baraza la mitihani liwajibike. Unaposema wakristo wanapendelewa na baraza au taasisi nyingine wakati mimi nimehangaika kwa kiasi kikubwa ili kufaulu mitihani huku nikiwaona wanafunzi lukuki wa kiislam wakistarehe na kusubiria masaa ya swala, unaonekana ni mjinga na usiyetaka kujifikirisha. Wanafunzi waislam waliodhamiria kusoma hasa wanafaulu vizuri sana maana Mungu hagawi akili kwa kufuata dini yako, rangi wala kabila. Na wale waliopata akili lakini wakagoma kujishughulisha, hata kama mkurugenzi wa NECTA akawa muislam, watafeli tu.

Baadhi ya Waislam mwanzo walisema kuwa waislam hawapati nafasi nzuri za kusoma kwa kuwa mawaziri wa elimu wakati wote ni wakristo lakini sasa hivi ni miaka kibao wizara hiyo imeshikwa na waislam na hali haijabadilika sana, sasa wamehamia kwenye NECTA. Mkurugenzi wa NECTA akiwekwa muislam na hali isipobadilika nadhani watahamia kwa wakuu wa shule. WAISLAM ACHENI CHUKI, ENEZENI UPENDO NA UMOJA, JIBIDISHENI KWENYE HII ELIMU DUNIA MNAYOIDHARAU, MKIFANYA HIVYO ITAONGEZA NAFASI ZENU KATIKA USHIRIKI WA UJENZI WA TAIFA NA NAFASI ZENU ZA AJIRA NDANI NA NJE YA NCHI.
 
Mkuu nakupa respect kwa mtazamo wako, haki na ukweli bila upendeleo hupelekea jamii yenye usawa na amani! hata mimi niliona sehemu ya kipindi hicho kwenye channel 10 ila nilishindwa kabisa kuwaelewa wale mashehe hasa pale waliposema ili kupata passport unaulizwa cheti cha ubatizo!! mimi nilishangaa sana maana nimeshaomba na kupata passport mara mbili lakini sijawahi kuona kigezo hicho mpaka najiuliza hawa mashehe wanazungumzia mambo ya Tanzania au nchi nyingine!? na kama wanazungumzia kuwa huo ndo utaratibu wa kupata passport hapa Tanzania mbona hawakutueleza waislam wenye passports hapa TZ wanapataje hizo passports bila kuwa na hivyo vyeti vya ubatizo? na kama inawalazimu wabatizwe huwa wanabatiziwa wapi? kama ingekuwa kweli kuwa na cheti cha ubatizo ni kigezo cha kupata passport basi kusingekuwa na muislam hata mmoja mwenye passport!

Hawa mashehe wanadai eti hospitali zinazoendeshwa na wakristo kama KCMC zinabagua waislam! jamani mbona hawa mashehe wanakuwa wazushi hivi? hatujawahi kusikia malalamiko hayo ila tu hawa jamaa wanataka kupanda mbegu hiyo kwa nia mbaya kabisa, hawa jamaa wanakera,wanaudhi,wanashangaza na wanajishushia heshima kwa kujiaibisha wenyewe!Mtangazaji aliyekuwa anaendesha kipindi aitwaye Kibwana Mustafa Dachi naona nae aliwashtukia kuhusu ukweli na uwezo wa kujenga hoja zao mpaka akawauliza swali wale mashehe kuwa mtu ili awe shehe inabidi awe na sifa gani? akaendelea kusema yule mtangazaji isije ikawa hata yeye mwenyewe mtangazaji akaamka asubuhi na kujiita shehe! Shehe ponda na mwenzake walikwepa kujibu swali hilo wakajibaraguza na maneno mengine, ila kwa sisi wenye uwezo wa kutafsiri mafumbo tulijua lile ni dongo kwa shehe ponda na mwenzake maana mtangazaji ashawashtukia.

Mashehe walizungumzia pia kuhusu kufelishwa kwa makusudi kwa wanafunzi wa kiislam na walipolalamika matokeo yao yakabadilishwa na hatimaye wakafaulu, siwezi kuzungumzia sana kuhusu suala hili kwa kuwa nimekuwa nikilisikiasikia kwa juu juu na sina uhakika nalo ila kama ni kweli mimi ninalaani jambo hilo na kwa kuwa mtangazaji alisema kuwa leo katibu mtendaji wa baraza la mitihani atalitolea ufafanuzi suala hilo naona nisubiri nisikie upande wa pili ili niweze kutoa maoni yangu kwa haki, ila sikupenda pale mashehe wanaposema wakristo wajibu ni kwanini wanafunzi wa kiislam wamefelishwa? hata kama ni kweli,suala hilo ni la wizara ya elimu pamoja na baraza la mitihani na kutaka wakristo wajibu hizo ni chokochoko! kwani idara fulani ikiwa inaongozwa na muislam halafu akafanya kosa, je ni waislam wote wanahusika au ni yeye na idara yake? shehe ponda na mwenzake pamoja na wafuasi wake waache chokochoko za kizushi, tunajua wana ajenda ya siri nyuma yao, je ni kwa manufaa au hasara ya nani?
 
Shekhe Ponda wakati wote anafahamika kuwa ni mtu ambaye amekuwa ni mtu wa kupandikiza chuki za kidini na hata chuki kati ya waislam na waislam wengine. Bahati mbaya wenzetu waislam nadhani ni rahisi kila mtu kujitangaza kuwa ni shekhe eti kwa sababu tu anajua lugha ya kurani (kirabu), lakini namna nyingine, sidhani kama huyu kweli ni kiongozi wa dini.

Mkristo gani atafanya jitihada ya kumfelisha mtu kwenye somo la dini ambalo halina mchango wowote kwenye nafasi ya kupata au kukosa nafasi ya kuendelea na masomo?
 
Tuanzee kuwatafuta Wachochezi naikibidi wawajibishwe au wadhibitiwe.

1. Kama kunawachungaji, mapadri au maasikofu wanatishia amani ya inchi yetu kwa uchochezi wazibitiwe

2. Kama kuna mashekhe au maimamu au waendesha mihadhara inayotishia amani ya inchi yetu kwa uchochezi wazibitiwe

Tuchukuwe hatua mapema kabla hatujaangamia, dalili za mvua ni mawingu na sote tunayaona tukichelewa kidogo itatunyeshea.
 
Kaka watu hawakurupuki na kusema ukiona wanasema wanadata za kutosha. ivi wewe kwa upeo wako mtu anaweza enda kwenye media kubwa kama chanel ten kuongea vitu ambavyo hana data navyo? hiyo think Big nakurudishia mwenyewe, maana naona wakati unaandika uli think kitoto kitoto. Ukisikia habari uwe unaifanyia uchunguzi kwanza.
Mkuu ni 'Mfumo ' wenu wa maisha ndiyo unawaweka hapo. Nina uhakika 100% kwamba, bila kubadilisha mindset zenu mtabaki hivyohivyo daima dumu. Asilimia kubwa ya watoto wa kitanzania wanafanya vibaya...sasa kama watoto wa kiislam wamezidi kufanya vibaya ni lazima muangalie kiini cha tatizo na siyo kutafuta majibu mepesi.

Tatizo liko kwenye mindset. Leo hii ukiwapa TEC bilioni 10 na ukawapa BAKWATA au UMSHO au kundi lolote la kiislam bilioni 15 utaona tofauti kubwa za matumizi ya hizo hela...wenzetu waislam dini mnaijua sana na kama mnaijua sana na mnawekeza kila kitu kwenye dini basi ni lazima mkubali kukosa cha upande wa pili. Angalia chuo chenu cha morogoro mlichopewa bure, kuna mtu mwenye kujali future yake kweli anaweza kwenda kusoma kule? big NO.

Ninachojiuliza ni kwamba kwanini wale watoto wa kiislam wanaoperform vizuri sana huwa hawatajwi na hawa mashehe?mbona wapo wengi tu.
 
Kuna nafasi za uongozi zinapewa baadhi ya watu wasiostahili na kuishia kuwatia aibu wanaoongozwa.
An empty head is devil's workshop.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuna nafasi za uongozi zinapewa baadhi ya watu wasiostahili na kuishia kuwatia aibu wanaoongozwa.
An empty head is devil's workshop.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kwa waislam kuwashabikia shehe ponda na wenzake ni kujitia kitanzi cha ufahamu, they gonna lead them astray!
 
Mkuu ni 'Mfumo ' wenu wa maisha ndiyo unawaweka hapo. Nina uhakika 100% kwamba, bila kubadilisha mindset zenu mtabaki hivyohivyo daima dumu. Asilimia kubwa ya watoto wa kitanzania wanafanya vibaya...sasa kama watoto wa kiislam wamezidi kufanya vibaya ni lazima muangalie kiini cha tatizo na siyo kutafuta majibu mepesi.

Tatizo liko kwenye mindset. Leo hii ukiwapa TEC bilioni 10 na ukawapa BAKWATA au UMSHO au kundi lolote la kiislam bilioni 15 utaona tofauti kubwa za matumizi ya hizo hela...wenzetu waislam dini mnaijua sana na kama mnaijua sana na mnawekeza kila kitu kwenye dini basi ni lazima mkubali kukosa cha upande wa pili. Angalia chuo chenu cha morogoro mlichopewa bure, kuna mtu mwenye kujali future yake kweli anaweza kwenda kusoma kule? big NO.

Ninachojiuliza ni kwamba kwanini wale watoto wa kiislam wanaoperform vizuri sana huwa hawatajwi na hawa mashehe?mbona wapo wengi tu.

sweke wala usiumize kichwa mbona mpaka sasa kupitia MoU serikali inawapatia zaidi ya hizo bilioni ulizotolea mfano na waislam hawapati hata shilingi moja lakini ukiangalia ndio kwanza mnalalama kwa serikali kuwa iwaongeze? na hatuoni maajabu? labda maajabu tunayaona ni ya viongozi wenu wa kiroho kuwa drug dealers.

Otherwise pamoja na kuwa mmeanzisha mifumo mingi sana ya kuwabana waislam lakini bado wanasonga. sasa mtakapo ambiwa sasa basi mjue kweli basi. msijifanye biblia kuwa imewaharalishia kuwazurum wasio wakristo. hebu rudisheni akili za kibinadam. waislam siku zote hawataki upendeleo bali wanataka usawa na uadilifu.
 
Tuanzee kuwatafuta Wachochezi naikibidi wawajibishwe au wadhibitiwe.

1. Kama kunawachungaji, mapadri au maasikofu wanatishia amani ya inchi yetu kwa uchochezi wazibitiwe

2. Kama kuna mashekhe au maimamu au waendesha mihadhara inayotishia amani ya inchi yetu kwa uchochezi wazibitiwe

Tuchukuwe hatua mapema kabla hatujaangamia, dalili za mvua ni mawingu na sote tunayaona tukichelewa kidogo itatunyeshea.
[SIZE=+0]
Soma haya hapo chini kisha tufahamishe nani kaingiza udini katika nchi yetu. Nimedokoa kidogo tu kutoka kitabu "Mwembechai Killings..." alichoandika Prof. Hamza Mustafa Njozi:

"The fact that Mwalimu Nyerere modelled Tanganyika's national ideal after the prayer of a Roman Catholic saint inspired both hope and fear. It enkindled the hope that Nyerere and his team of leaders would be as dedicated as saint Francis was in translating the dream into reality. It also awakened the fear that Nyerere was so profoundly influenced by the teachings of his church that he might consider its doctrines and ideals as necessarily coinciding with those of independent Tanganyika. In the following pages I attempt to show that this fear was not unjustified. At this point I shall give an example or two. In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ. What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so. We may debate, and I suggest that we should debate the whole concept of secularism, its attractions and its disabilities. We may as a nation reject it. Only then can we use our religious books as guidelines.

[/SIZE]


[SIZE=+0]A more serious problem arises when an attempt is also made to implement those Roman Catholic doctrines which clash with our national goals. A case in point is the long-standing doctrine: extra ecclesiam nulla salus "outside the church there is no salvation". Since Vatican II (1964) this doctrine is no longer officially upheld by the Roman Catholic church. In practice it meant that both in religion and politics good people were only those Roman Catholics who unswervingly adhered to the teachings of Christianity as presented by the hierarchical church. In public Mwalimu Nyerere was a fierce defender of secularism. It is therefore quite disturbing to learn that in private he championed the sectional interests of his own church. In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope's Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party's National Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people(van Bergen, 1981:333-336).[/SIZE]


[SIZE=+0]It is quite obvious that by "good people" Mwalimu Nyerere meant Christians in general and Roman Catholics in particular. It is not surprising therefore that Sivalon (1992:49) reports that in the same year 1970 Roman Catholics could boast that they constituted 70% of the 75% elected Christian members of Parliament. Out of the 108 elected Members of Parliament, 23 were Muslim, 5 Traditionalist and 80 Christian. Throughout his rule Nyerere was both President and Chairman of the ruling Party. His promise to strengthen Catholicism was not an empty one. Catholics could now use Parliament to promote their religious interests if they so wished. "[/SIZE]


Walioingiza udini katika nchi yetu si Ponda na Khalfan.
Tafadhali tafakari.
 
Kuna nafasi za uongozi zinapewa baadhi ya watu wasiostahili na kuishia kuwatia aibu wanaoongozwa.
An empty head is devil's workshop.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Huyo Ponda ndiye aliyewaandalia Memorandum Of Understanding iliyotiwa kapuni...natamani sana kuiona nione aliandika madudu gani...
 
Mkuu siku nyingine hata kama hukubaliani na mawazo ya mtu usije ukakimbilia kumtoa mtu uraia manake huna tofauti na ccm wewe.Mwache aongee anachokiamini.
 
angalieni wale waliochochea issue ya mwembechai ni akina nani, na ndo haohao wanaochochea il imwembechai nyingine itokee sasaivi kwa njia ya udini kama boko harab waislam dhidi ya wakristo, nchi masikini haka hii tukiishi kwa kupigana tutafika kweli?, mnachochea nini hiki jamani tulizoea kuishi kwa amani tu? serikali iko wapi? yeye wakati ule alipoona issue iko hot alikimbilia BURUNDI, alipoona imetulia akarudi. usalama wa taifa tz upo kweli?
 
Huyo Ponda ndiye aliyewaandalia Memorandum Of Understanding iliyotiwa kapuni...natamani sana kuiona nione aliandika madudu gani...


Ponda hakuandika. Kazi ile imeandikwa na watu wengine kabisa na watu madhubuti katika fani ya uandishi. Pita katika maduka ya vitabu vya Kiislam utaipata Insha Allah.
 
sweke wala usiumize kichwa mbona mpaka sasa kupitia MoU serikali inawapatia zaidi ya hizo bilioni ulizotolea mfano na waislam hawapati hata shilingi moja lakini ukiangalia ndio kwanza mnalalama kwa serikali kuwa iwaongeze? na hatuoni maajabu? labda maajabu tunayaona ni ya viongozi wenu wa kiroho kuwa drug dealers.

Otherwise pamoja na kuwa mmeanzisha mifumo mingi sana ya kuwabana waislam lakini bado wanasonga. sasa mtakapo ambiwa sasa basi mjue kweli basi. msijifanye biblia kuwa imewaharalishia kuwazurum wasio wakristo. hebu rudisheni akili za kibinadam. waislam siku zote hawataki upendeleo bali wanataka usawa na uadilifu.
Tatizo ni waislam wenyewe..mimi ni mkristo na nimesoma na waislam wengi tu na wamefaulu vizuri na wapo BOT,TRA wengine wanafanya UN Agencies,sijaona waislamu wakikandamizwa tatizo lililopo ni wazazi hawapendi kupeleka mtoto shule,ni rahisi kupima mtoto wa kiislam atachapwa kwa kutokwenda madrasa na sio shule!!!!hili lipo wazi!!!mfumo wa wazazi wa kiislamu si mzuri kwa kweli wanahitaji kubadilika...hawana mpango na shule...

Nimebahatika kukulia katika mazingira ya waislamu wengi katika jamii na nimeona watoto wengi wenzangu wakiacha shule kwa sababu mbalimbali,madawa ya kulevya,umalaya,mimba za mapema,ulevi wa wazazi na kutojali shule.Jiulize lifuatalo..

Chukua mfano familia mbili zenye maisha magumu na dini tofauti..Utaona familia ya kikristo inapambana ili mtoto/watoto wao wasome lakini wenzetu hawana hata habari na shule Je Utaulaumu mfumo au Ujinga wa Baadhi ya watu?

Sheikh Ponda na mwenzie waulize watoto wao wamewapeleka shule?Pata jibu kisha rudi kwa thread hii.
 
Mohamedi Said punguza ujinga na huyo Prof njaa wako huyo.Mwalimu kusoma na kuanza kuandika Njili katka lugha ya kizanaki inahusiana nini na utawala au ukiristo wake katika uongozi na wapi unaweza kuprove wrongly?.Mauji ya Mwembe chai ni mwaka 1998 mwalimu alikuwa amestaafu na ametulia kijijini Butiama.Of course your reference is irrelevant.Ponda Issa Ponda ndiye anafaidi matunda na mafao ya waislamu wa Tanzania wakati yeye ni Mrundi wa mji wa Makamba nchini Burundi.Sheih Rais Mwinyi anajua na viongozi wa utawala wanajua.
 
sweke wala usiumize kichwa mbona mpaka sasa kupitia MoU serikali inawapatia zaidi ya hizo bilioni ulizotolea mfano na waislam hawapati hata shilingi moja lakini ukiangalia ndio kwanza mnalalama kwa serikali kuwa iwaongeze? na hatuoni maajabu? labda maajabu tunayaona ni ya viongozi wenu wa kiroho kuwa drug dealers. Otherwise pamoja na kuwa mmeanzisha mifumo mingi sana ya kuwabana waislam lakini bado wanasonga. sasa mtakapo ambiwa sasa basi mjue kweli basi. msijifanye biblia kuwa imewaharalishia kuwazurum wasio wakristo. hebu rudisheni akili za kibinadam. waislam siku zote hawataki upendeleo bali wanataka usawa na uadilifu.
Tutakuwa tunapoteza muda tukianza kurudi kwenye MoU kitu ambacho muislam mwenzenu(Kikwete) aliwaambia mjipange na nyinyi muandae yenu na kama mkikataliwa mwende kwenye vyombo sheria. Tatizo lenu wataalam mnaowategemea kwenye taasisi zenu ni wa calibre ya akina shehe Ponda na Basaleh ndiyo maana mmefikia hapa mlipofika...Ulizeni waislma wenzenu waliosonga mbele walifanya nini?
"Don't wish it was easier; wish you were better. Don't wish for less problems; wish for more skills. Don't wish for less challenges; wish for more wisdom." -- Jim Rohn
Nilivyo underline , akina Ponda and co hawana hata chembe ya hivyo vitu ndiyo maana wanatafuta majibu mepesi... necta/mfumo kristo/...
 
Mohamedi Said punguza ujinga na huyo Prof njaa wako huyo.

Mwalimu kusoma na kuanza kuandika Njili katka lugha ya kizanaki inahusiana nini na utawala au ukiristo wake katika uongozi na wapi unaweza kuprove wrongly?.Mauji ya Mwembe chai ni mwaka 1998 mwalimu alikuwa amestaafu na ametulia kijijini Butiama.Of course your reference is irrelevant.

Ponda Issa Ponda ndiye anafaidi matunda na mafao ya waislamu wa Tanzania wakati yeye ni Mrundi wa mji wa Makamba nchini Burundi.Sheih Rais Mwinyi anajua na viongozi wa utawala wanajua.
hata MUFTI Simba anajua hili, wakati ule wa zengwe la kiwanja cha waislam kule changómbe mengi yaligundulika, manji ameliwa na hawa jamaa hadi amechoka. walimzushia kuwa anataka kunyangánya kiwanja cha waislam wakati kuna jengo ya yemen palepale ambalo nalo liko kwenye kiwanja cha waislam lakini wakakiona cha manji peke yake.

Lile eneo nyerere ndio aliwapa waislam wajenge chuo kwa hela aliyotakiwa kutoa rais wa misri Nassar, alipouawa ndo ikawa imeishia hewani, ila eneo likabaki la waislam walipewa na nyerere, tangu hapo walianza kulimega na kuliuza kidogokidogo, ndo maana hata lile jengo ya yemen liko pale na mengine, sasa walipompa manji manji aliwapa mipesa kibao, wakataka kuongezewa mili.150, akagoma akakubaliana kuwaongezea (rushwa) ya mil.50, ndo mgogoro ukaibuka kwa wao kumzushia kuwa anataka kunyangánga mali ya waislam. yaani huwa wanaangalia mahali penye maslahi halafu wanapatiapo pesa hapo, na wana magorofa kibao magomeni huko, na kazi hawana, wapi wanapata izo pesa kujenga magorofa hayo?....

Hawa watu ni watu hatari sana, wanajifanya watu wa dini kumbe wezi na matapeli na magaidi wa kutupwa.
 
Nasubiri kusikia Waziri Nchimbi, IGP Mwema na DCI Manumba watachukua hatua gani maana huu ni uchochezi wenye ushahidi usiohitaji upelelezi kukamilika, bila hivyo nitakubaliana nawe asili mia.
Hakuna asiyejua kuwa mbeleko ya udini ndio iliomsaidia JK kwenye uchaguzi 2010.

Hebu soma hii:

"Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania,(1981) [1] ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam. Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabu hiki kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwa kitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidi ya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [1] Hadi hivi sasa kitabu hicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.

Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985 (1992). [1] Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalon anafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisa lilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislam kati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwa kwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwa linahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika ya Mashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake na ikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha."

Ndugu yangu ikiwa unaishi kwenye nyumba ya nyasi usipendepende kucheza na kibiriti.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom