Mahojiano kabambe kuhusu utawala wetu kwa kina:
Mazungumzo na Rakesh Rajani Juu ya Demokrasia |Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S08
View: https://m.youtube.com/watch?v=T6cmRer8qjo
Mazungumzo na Rakesh Rajani Juu ya Demokrasia |Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S08
View: https://m.youtube.com/watch?v=T6cmRer8qjo
- Umuhimu wa elimu kutufanya kuwa na ukombozi wa kifikra, kuchambua, kudadisi, kukosoa badala ya hali ya sasa ambapo kuna utamaduni wa kusifia na kutukuza tu
- Nchi yetu haiendelei bado tunahamgaika na vitu vidogo ingawa tuna kila kitu cha kuifanya iwe nchi tajiri na ya watu wenye maisha bora ya furaha
- Nidhamu siyo kunyamaza, kukaa kimya kwa kunyamaza ni kukosa nidhamu. Kuna faida gani ikiwa ikiwa humsaidii kiongozi wako kwa mawazo ikiwemo pia kumkosoa.
- Demokrasia ya kweli siyo ya vyama vingi tu, bali watu kuelezea mawazo yao, sera zao, uhuru wa kujenga hoja katika bunge, asasi za kiraia na bila kusahau uhuru katika vyombo vya habari iwe JamiiForums, TBC n.k
- Thamani ya kuwa na watu wakorofi yaani matata mema (Good Trouble- John Lewis US activist)