Serikali na wafadhili wanasaini mkataba wa ufadhili 5yrs sasa

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Tuko kwenye ukumbi sasa hivi St. Gaspsr Hotel Dodoma. Waziri mkuu anatoa hotuba sasa. Mabalozi wa nchi 12 zinazochangia pesa katika mfuko mkuu wa serikali (GBS) wapo ukumbini. Mawaziri karibu wote wako ukumbini. Kitakachosainiwa kinaitwa Performance Framework Memorabdum, unaoainisha msaada wa hawa wafadhili 12 kwa kipindi cha miaka 5
 
Waziri mkuu amemaliza hotuba sasa mwakilishi wa wafadhili balozi wa norway anaongea
 
Tuko kwenye ukumbi sasa hivi St. Gaspsr Hotel Dodoma. Waziri mkuu anatoa hotuba sasa. Mabalozi wa nchi 12 zinazochangia pesa katika mfuko mkuu wa serikali (GBS) wapo ukumbini. Mawaziri karibu wote wako ukumbini. Kitakachosainiwa kinaitwa Performance Framework Memorabdum, unaoainisha msaada wa hawa wafadhili 12 kwa kipindi cha miaka 5

I can smell trouble ahead. Usually hawa wafadhili wa GBS wanakuwa 14. Sasa kama kwa kipindi hiki wamesaign 12 kuna uwezekano wawili wamejitoa. Mkuu unaweza kupata orodha ya hao walio sign ili tujue nani kajitoa?
 
Waliojitoa ni Swiss na Nedhalands. Balozi wa Norway amesema hata waliobakia wamepunguza ahadi zao kuanzia mwaka jana (mnakumbuka hadi serikali ikakopa local banks)

Ametaja baadhi ya sababu kuwa wanapata shida kushawishi makao makuu kwao wakati serikali ilifikia tu nusu ya targets za Mkukuta I, sasa tunaanza Mkukuta II

Pia amesema value for money imekuwa ni tatizo. Pia mapambano na rushwa kubwa yame slow down
 
Awali wakati waziri Mkullo alipokuwa anamkaribisha waziri mkuu alisema serikali imefanikiwa sana kuboresha matumizi ya fedha kwa Kutekeleza mapendekeza yote ya CAG. Hivyo udhibiti na utawala wa fedha umeboreshwa sana
 
I can smell trouble ahead. Usually hawa wafadhili wa GBS wanakuwa 14. Sasa kama kwa kipindi hiki wamesaign 12 kuna uwezekano wawili wamejitoa. Mkuu unaweza kupata orodha ya hao walio sign ili tujue nani kajitoa?

Waliobaki ni ADB, Canada, Denmark, EC, Finland, Ireland, Japan, Germany, Norway, Sweden, UK, WB
 
Awali wakati waziri Mkullo alipokuwa anamkaribisha waziri mkuu alisema serikali imefanikiwa sana kuboresha matumizi ya fedha kwa Kutekeleza mapendekeza yote ya CAG. Hivyo udhibiti na utawala wa fedha umeboreshwa sana

Utakuwa umeboreshwa kwa baadhi ya maeneo ya kawaida tu, lakini yale yanayotumia kiasi kikubwa........!!!!!!
 
In every angle serikali ya ****** is in a very shaky state...from within and without...approaching their doomsday
 
Sasa PS wa wizara ya fedha anawasilisha mada. Anasema sababu serikali achieved only half of targets ni kwamba the targets were too ambitious.
 
Sasa PS wa wizara ya fedha anawasilisha mada. Anasema sababu serikali achieved only half of targets ni kwamba the targets were too ambitious.

Je, amesema ni kwa nini alikuwa ambitious? Poor planning probably?
 
PS amehitimisha kwa kukiri kwamba wafadhili hawaridhiki na mafanikio ya serikali na utendaji wa serikali
 
Tim Clerk anayechukua uenyekiti wa GBS anasema atasisitiza

Kuboresha mijadala baina ya wadau
Kuleta matokeo
Improve domestic accountability
 
Balozi wa ujerumani amesema CAG ameboresha utendaji wake lakini mapendekezo yake hayatekelezwi kikamilifu

Mkullo sasa anamuhakikishia kwamba sasa serikali itatekeleza yote.
 
Je, amesema ni kwa nini alikuwa ambitious? Poor planning probably?

Target zinawekwa na politicians badala ya planning officer. May be unaweza kusema ni kama hakuna planning kabisa na wala sio poor planning bora hiyo poor planning ingekuwepo.

Too ambitious target sio kosa dogo kwenye mambo ya fedha. Hapo kwa wenzetu wahusika wanajiuzulu na kuwajibika lakini huyo katibu anatoa majibu mepesi mapezi kwa maswali magumu.

Sasa tutaaminije forecast zinaztolewa na BOT kama sio too ambitious kuwa uchumi wa nchi unakua. Kuwa mgao haujaathiri uchumi etc.
 
Balozi wa ujerumani amesema CAG ameboresha utendaji wake lakini mapendekezo yake hayatekelezwi kikamilifu

Mkullo sasa anamuhakikishia kwamba sasa serikali itatekeleza yote.

huyo CAG amekaa tu kuongea kwenye vyombo vya habari pasipo kufanya kazi kama sheria ya Public Audit ya 2008 inavyosema .me nashangaa kwa wanaosema mapendekezo ya CAG yamefanyiwa kazi hakuna kitu kama icho .mapendekezo ya CAG hayajafanyiwa kazi ni blaabla kila siku matatizo yanatokea, kwa mfano mfupi nadahni katibu wa wizara ya afya ni Accountant by professional ila angalieni ameshindwa kutekeleza majukumu yake kama Accounting officer kila wakati na wizara imekuwa ikipata matatizo kila wakati.kinachotakiwa kufanyika ni kwa wizara zote kutekeleza mapendekezo ya cag kama inavyotakiwa na sheria . tuache maneno tufanye kazi jamani
 
Tuko kwenye ukumbi sasa hivi St. Gaspsr Hotel Dodoma. Waziri mkuu anatoa hotuba sasa. Mabalozi wa nchi 12 zinazochangia pesa katika mfuko mkuu wa serikali (GBS) wapo ukumbini. Mawaziri karibu wote wako ukumbini. Kitakachosainiwa kinaitwa Performance Framework Memorabdum, unaoainisha msaada wa hawa wafadhili 12 kwa kipindi cha miaka 5

tutategemea wafadhili mpaka lini kodi tunashindwa kukusanya, madini tunayo,mbuga za wanyama ,arthi safi na yenye rutuba ,ila sasa katika kutekeleza ndo huku semina na makongamano, je tutafika
 
inasikitisha kuoana serikali ya norway na sweden bado zinatoa msaada kwa tanzania
wkt utekelezaji hakuna huku wananchi wao wakikatwa kodi kubwa ambazo ndizo zinazotumika
kutoa misaada kwa nchi maskini.hutaamini ktk hizi nchi kuna watu wanateseka hawana hela
wanaishi maisha magumu sana maisha yao ni ghali hasa chakula,umeme na nyumba lakini bado
wanajitoa kwa tanzania ilihali hizo hela zinaliwa na wachache, naona bora wangesimamia wenyewe
miradi au wasitoe ufadhili kabisa kwa Tanzania kwa vile tumezembea kukusanya kodi,kutoa
misamaha ya hovyo kwenye makampuni makubwa,tuna madini,utalii,kilimo tunajitosheleza
wenyewe tatizo ufisadi,ubinafsi,watu wanajilimbikizia mali hakuna wa kumhiji mwingine.
kwa wenzetu ukiwa na hela nyingi au mali nyingi lazima uhojiwe na serikali umezipata wapi
na pia hizo mali lazima zikatwe kodi kwa Tanzania hilo halipo.Misaada hadi lini wkt hatuoni utekelezaji wake
Hivi hii hali hadi lini? TUnafanywa wajinga hadi lini?inauma sana sana sana.
 
Hotuba za wafadhili zilisisitiza serikali kuongeza mapato ya ndani lakini serikali hawakugusia hilo
 
tutategemea wafadhili mpaka lini kodi tunashindwa kukusanya, madini tunayo,mbuga za wanyama ,arthi safi na yenye rutuba ,ila sasa katika kutekeleza ndo huku semina na makongamano, je tutafika

Kuna wakati mimi huamini tusingekuwa na hawa wafadhili pengine tungekuwa tumeendelea kwa sababu tungefikiri wenyewe na kuwajibishana wenyewe
 
Back
Top Bottom