Nomah sana.Na Maji ivo ivo. Wanasema yanaharibu miundombinu.
serikali imejaa wahuniHii imekaaje?
Mvua zikinyesha sana Sukari inakuwa hamna kwa mujibu wa Waziri Bashe.
Mvua zikiwa hazinyeshi Umeme unakuwa hamna kwa mujibu wa waziri wa nishati.
HII IMEKAAJE WAKUU?