Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 681
- 773
Mbona ni walimu tuu...???
Au Manesi na Madaktari hawatalipwa madai yao...???
Walimu ndio wapiga kura
Mbona ni walimu tuu...???
Au Manesi na Madaktari hawatalipwa madai yao...???
Nakuweka majina kwenye internet maana yake nini...katika tawala zote zilizopita huko nyuma unadhani hayo malimbikizo watu walikuwa hawalipwi??walikuwa wanalipwa sana tena zaidi ya utawala huu but je majina yalikuwa yanawekwa hadharani humu???....majina ilitakiwa yatumwe kwa mwajiri then mwajiri ndo awajulishe wanaolipwa but sio kwa utaratibu huu...maana ya hii kitu imekaa kisiasa,jamaa wanataka tu kuwaaminisha watu serikali hii inajali watumishi wa umma na inawalipa madai yao wakati kiukweli ni uongo na kiki za awamu hii kama tulivyozizoeaSio kila mtu ana access ya internet kwahyo kupitia magazeti kila mtu ataangalia jina lake
Mkuu nayahemu maoni yako, tufanye serikali inatafuta kiki kama ambavyo unaaminiNakuweka majina kwenye internet maana yake nini...katika tawala zote zilizopita huko nyuma unadhani hayo malimbikizo watu walikuwa hawalipwi??walikuwa wanalipwa sana tena zaidi ya utawala huu but je majina yalikuwa yanawekwa hadharani humu???....majina ilitakiwa yatumwe kwa mwajiri then mwajiri ndo awajulishe wanaolipwa but sio kwa utaratibu huu...maana ya hii kitu imekaa kisiasa,jamaa wanataka tu kuwaaminisha watu serikali hii inajali watumishi wa umma na inawalipa madai yao wakati kiukweli ni uongo na kiki za awamu hii kama tulivyozizoea
Mkuu tusikate tamaa mapema. Huyu Rais ni mwema. Naamini mambo yataenda kwa haki na amani mioyoni mwetu. Hata mimi nili panic sana. Baada ya muda busara imeniingia. Tusipanic hakuna litakalo haribika.Serikali inatufanyia usanii wa hali ya juu,kama uhakiki ni kukata baadhi ya majina basi sawa.kama hiyo ndio orodha nimesikitika sana na kukatishwa tamaa na hii serikali.
Ni vema ameweka uwazi ili kila mtu apate taarifa. Angeliweka kiasi cha pesa ndio ingelikuwa sio sahihi. Taarifa hii ni nzuri na wanufaika ni wengi.Uwazi utasaidia kutatua changamoto.Nakuweka majina kwenye internet maana yake nini...katika tawala zote zilizopita huko nyuma unadhani hayo malimbikizo watu walikuwa hawalipwi??walikuwa wanalipwa sana tena zaidi ya utawala huu but je majina yalikuwa yanawekwa hadharani humu???....majina ilitakiwa yatumwe kwa mwajiri then mwajiri ndo awajulishe wanaolipwa but sio kwa utaratibu huu...maana ya hii kitu imekaa kisiasa,jamaa wanataka tu kuwaaminisha watu serikali hii inajali watumishi wa umma na inawalipa madai yao wakati kiukweli ni uongo na kiki za awamu hii kama tulivyozizoea
Wanataka Ubunge wa majimbo mawili,hilo ndo jibu la swaga hiziMadeni ya mshahara likizo matibabu au yapi
imeisotea muda mrefu hela ya deni halafu unaenda itoa zaka!..una tofauti gani na mcheza Biko!..Watumishi mtakao bahatika kulipwa msisahau kwenda kutoa zaka manake mmezisotea muda mrefu!!
Mkilipwa mnakufa kwa msituko nawaapia!!
Mbona ni walimu tuu...???
Au Manesi na Madaktari hawatalipwa madai yao...???