BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Hii link kimeo
Huu ujinga ndio unanifanya naenda kazini pindi nikijisikia. Hata wasiponilipa poa tu coz hata kazi zao sifanyi. Wiki ijayo nitaenda work ck mbili imetosha. Kmmaa zao
Hiyo inakuwa ni shukrani kwa muumba wako ukitegemea thawabu siku ya kiama baada ya kukusaidia kulipwa hilo deni kwa wakati manake wapo watumishi wengine wanadai lakini hata kwenye orodha ya kulipwa hawajatokea,hiyo biko hupati chochote zaidi ya kuwatajirisha watu.imeisotea muda mrefu hela ya deni halafu unaenda itoa zaka!..una tofauti gani na mcheza Biko!..
Usitumie hasira. Kuna usemi "asiyefanya kazi asile". Kumbe ni haki yako kukosa?. Kutokwenda kazini bila sababu muhimu ni kosa. Ni sawa Dokta na kusema sijamtibu mtu na amefariki, je atakuwa na amani?Huu ujinga ndio unanifanya naenda kazini pindi nikijisikia. Hata wasiponilipa poa tu coz hata kazi zao sifanyi. Wiki ijayo nitaenda work ck mbili imetosha. Kmmaa zao
Labda watauingizia kwenye mshahara huu wa mwezi wa pili na tutakuwa na amani?. Ni kweli habari ni imetustua sana. Mimi nilivyoiona jana jioni nilikosa nguvu na usiku sijalala vizuri. Nilimlaumu MUNGU na kumwomba atusamehe. Sijui kama ni kweli huu ni mpango wa MUNGU au?. Labda mbeleni kuna mwanga. Inauma sana ila tusiharibu. Tufuate taratibu na tutafanikiwa. Mh. Rais ni ana upendo na huruma. Hata kutoa haya majina, anastahili pongezi.madeni yanayotia hasira wameyaacha wanakomaa na mengine
You are so naiveLabda watauingizia kwenye mshahara huu wa mwezi wa pili na tutakuwa na amani?. Ni kweli habari ni imetustua sana. Mimi nilivyoiona jana jioni nilikosa nguvu na usiku sijalala vizuri. Nilimlaumu MUNGU na kumwomba atusamehe. Sijui kama ni kweli huu ni mpango wa MUNGU au?. Labda mbeleni kuna mwanga. Inauma sana ila tusiharibu. Tufuate taratibu na tutafanikiwa. Mh. Rais ni ana upendo na huruma. Hata kutoa haya majina, anastahili pongezi.
Umelionaje?Duuuh,hatimaye safari hii jina langu limekumbukwa baada ya kusotea madai yangu kwa takribani miaka 8.
Asante Mungu,naombwa nilipwe NISEPEEE
Kwani walimu ni nini katika nchi hii?Madaraja ya walimu vipi?yaani hii serikali ya awamu ya tano, imejaa uwongo tu!
WATUMISHI ZAIDI YA 80 ELFU WANAMADAI...WANAELEZA KIRAHISI TU HAWASTAHILI...HUO SIO UBINADAMU.SERIKlLI INAJUA HAIKUWALIPA WATU ILIPOWAPANDISHA MADARAJA KWA MIEZI AU MIAKA...LEO MTU ANADAI ARREARS NA VIAMBATANISHO VYOTE....WAZIRI BILA AIBU ANASEMA HAWASTAHILI...SIO HAKI .HATA KUMBUKUMBU ZENU WENYEWE ZINAWASHANGAA.!!! ETI NI WATUMISHI ELFU 27 TUU WANASTAHILI. !!!!!!Labda watauingizia kwenye mshahara huu wa mwezi wa pili na tutakuwa na amani?. Ni kweli habari ni imetustua sana. Mimi nilivyoiona jana jioni nilikosa nguvu na usiku sijalala vizuri. Nilimlaumu MUNGU na kumwomba atusamehe. Sijui kama ni kweli huu ni mpango wa MUNGU au?. Labda mbeleni kuna mwanga. Inauma sana ila tusiharibu. Tufuate taratibu na tutafanikiwa. Mh. Rais ni ana upendo na huruma. Hata kutoa haya majina, anastahili pongezi.
DuuuuuuCharity begin at home na Mzee anaujua huu usemi
Malimbikizo anaanza kwa Walimu wenzake
Vyeo kwa Wasukuma na Wakristo wenzake