Mawaziri wetu wa Wakuu wa Mikoa wakitoa kauli kuhusu mambo fulani tunasema Serikali imesema au imeagiza. Sasa hivi 'Wakulu wetu' wanamiminika Loliondo kwa Babu kutibiwa, kwa nini tunashindwa kusema "Serikali inaumwa, kama nilivyoonesha hapa kwenye KISIMA CHA FIKRA? Kumbuka: Babu alishasema kwake hakuna Kinga, kila anayekwenda anataka Tiba.