Serikali iliyoundwa na watu hovyo huzaa serikali hovyo

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Serikali ya CCM in Hovyo maana imeundwa au inaendeshwa na watu HIVYO. HOVYO kwa maana ya wengi hawana uzoefu, uadilfu, ujuzu, na majukumu yao hayapo clear. Wapo MaDCs ambayo ni darasa la saba,wengine form IV nk. Wengi wamepata vyeo kwa misingi ya kidini, kidugu, na kirafiki. Ili nchi iendelee inategemea sana ni watu gani waliopo katika nafasi mbalimbali za utendaji na maamuzi. Kwa hali hiyo ni NDOTO kwa tanzania kupiga hatua. Umaskini utaendelea kuongezeka maana waliopewa nafasi mbalimbali hawana tija. Kikwete ni msani wa pwani. Pamoja na kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa kipindi cha miaka kumi, lakini hakuweza kujifunza lolote kutoka nchi za wenzetu zilizoendelea. Naona alikua anaenda kutembea tuu. Hakujifunza lolote. Kikwete ameharibu mfumo mizima wa ajira tanzania na duniani kote. Kwa maana hiyo nchi imeharibika kwa kupachikapachika watu wasio na sifa ktk maeneo mbalimbali. Ni ni hatari sana kwa ujenzi na ustawi wa taifa hili. na haya yatakuja kumtokea puani akimaliza kipindi chake. Of course, anachotaka kufanya sasa hivi ni kupachika mtu wake, ili madudu yake yapone, lakini hiyo deal wengi wameshaanza kishtukitia.
 
Back
Top Bottom