Serikali Ikamate Haraka Waliogomea Sensa Kisha Wakahesabiwe Magerezani

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Naishauri serikali ya CCM ifanye haraka kukamata watu wote waliogomea sensa. Hao wataenda kuhesabiwa magerezani. Wakishahesabiwa iwaachie huru kwa kuwa wakiendelea kukaa gerezani wataleta-'damage' kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani.

Swali ninalojiuliza na kunihangaisha ni kama hivi:Nini sensa, wagegomea pia kujiandikisha vitambulisho vya uraia. Wakati wa kuandikisha vitambulisho vya uraia hawa hawa waliamka saa 9:00 alfajiri kuwahi ofisi za watendaji. Ni wanafiki kama nini.
 
Naishauri serikali ya CCM ifanye haraka kukamata watu wote waliogomea sensa. Hao wataenda kuhesabiwa magerezani. Wakishahesabiwa iwaachie huru kwa kuwa wakiendelea kukaa gerezani wataleta-'damage' kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani.
Waanzie masjid gani?
 
Waanzie masjid gani?

Misikiti haihusiki, wanaohusika ni watu mmoja mmoja.
Nini sensa, wagegomea pia kujiandikisha vitambulisho vya uraia. Wakati wa kuandikisha vitambulisho vya uraia hawa hawa waliamka saa 9:00 alfajiri kuwahi ofisi za watendaji. Ni wanafiki kama nini.
 
lakini kwanini wanagoma< mimi nadhani kuna kila haja ya kutoa elimu ya kutosha kabla ya tukio husika
 
Kwanini Serekali isinge wahesabu wakati wa Uandikishaji wa Vitambulisho vya taifa kama siyo kujitafutia Ulaji? Dr Slaa alishauri hiyo kitu
 
Shehe Ponda aliyechochea mgomo dhidi ya sensa wazi wazi kupitia Televisheni hajakamatwa mpaka sasa, anapeta tu uswazi. Wamekamatwa watu waliokutwa na vikaratasi ambavyo haijulikani vimeandikwa na nani?
 
lakini kwanini wanagoma< mimi nadhani kuna kila haja ya kutoa elimu ya kutosha kabla ya tukio husika

unamaanisha waislamu hawana elimu ya kutosha kuhusu sensa?....sasa hapo tatizo ninini kwamba serikali inapendelea kwa kuwaelimisha vizuri wakristo mpaka wanaelewa umuhimu wa sensa?
 
Mimi ninachojiuliza ni hiki. Inakuwaje polisi wanatumia nguvu kubwa kuzuia mikutano ya chadema kwa kisingizio cha sensa wakati watu wanaokataa kuhesabiwa kinyume na sheria wanaangaliwa tu?
 
Misikiti haihusiki, wanaohusika ni watu mmoja mmoja.
Nini sensa, wagegomea pia kujiandikisha vitambulisho vya uraia. Wakati wa kuandikisha vitambulisho vya uraia hawa hawa waliamka saa 9:00 alfajiri kuwahi ofisi za watendaji. Ni wanafiki kama nini.

kitambulisho ni kwa personal issue,sensa kwa tanzania ni ngumu sana kumgusa mtu mmoja mmoja,pia kugomea sensa ni sawa na kugomea kupiga kura,mbona huko watu hawalazimishwi,,,,,watanzania wanaogomea sensa(waislam kwa wakristo ) wana sababu zao,,,,na wewe uliyehesabiwa usidhan kwamba umefanya jambo la maana,usidanganywe kuwa utasogezewa maendeleo kwa kuhesabiwa,,,,,,WANASIASA NA WATAWALA WETU WANA GHILBA SANA,NAOMBA NA 2015 MSISITIZE PIA WATU WAPIGE KURA KWA WINGI
 
Juzi nimemtoa nduki karani wa sensa nimemwambia sitaki uguse hata geti la nyumba ukijaribu takufanya kitu mbaya mpaka leo sijamuona tena.
 
Mimi ninachojiuliza ni hiki. Inakuwaje polisi wanatumia nguvu kubwa kuzuia mikutano ya chadema kwa kisingizio cha sensa wakati watu wanaokataa kuhesabiwa kinyume na sheria wanaangaliwa tu?

si kila sheria inatekelezeka mdau,,,,,mtu hatak kuhesabiwa na unaweza ukamlazimisha umuhesabu asikupe ushirikiano bado unadanganywa tu,,,,,,,,leo hii tunasingizia maendeleo hakuna sababu ya sensa?????KUNA SHERIA NGAPI ZINAVUNJWA NA WATU WANADUNDA NDO UMKAMATE ANAYEGOMEA SENSA.,,,,HAO WANAOHAMASIHA WANAJUA KUA HAINA UMUHIM ILA SASA WANATIMIZA WAJIBU WAONEKANE WANAFANYA KAZI,,,,,,,
 
Juzi nimemtoa nduki karani wa sensa nimemwambia sitaki uguse hata geti la nyumba ukijaribu takufanya kitu mbaya mpaka leo sijamuona tena.

siwalaum waliogomea sensa na siwapongez waliohesabiwa,,,,,,kila mtu ana sababu zake,,,,,demokrasia ndio inavotaka,mtu kama hatak usimlazimishe,,,yeye hatak sensa kwa sababu zake unamlazimisha wanini????maana hata kupiga kura si lazima,,,,kwani si jambo MUHIMU????
 
Mimi ninachojiuliza ni hiki. Inakuwaje polisi wanatumia nguvu kubwa kuzuia mikutano ya chadema kwa kisingizio cha sensa wakati watu wanaokataa kuhesabiwa kinyume na sheria wanaangaliwa tu?

Polisi wa Tanzania hawajaanza leo kutumia nguvu mpaka kupiga raia risasi waulize CUF.
 
Mi naona kugomea sensa sio tatizo ila serikali ingekuwa na approach tofautitofauti ktk kuhesabu watu wake. Kwa mfano wale wanaokubaloi kuhesabiwa wangehesabiwa tu na wale ambao hawataki kuhesabiwa tujue idadi yao alafu tunajumlisha tu mbona hesabu ndogo tu hiyo. Cha muhimu ni maafisa wea sensa kuangalia idadi ya watu waliogomea sensa then baadaye tunajumlisha hizo figure mbili
 
unamaanisha waislamu hawana elimu ya kutosha kuhusu sensa?....sasa hapo tatizo ninini kwamba serikali inapendelea kwa kuwaelimisha vizuri wakristo mpaka wanaelewa umuhimu wa sensa?

tunajua sana umuhimu wake,,,,,,,
 
Yawezekana wanagoma kwa kuwa sensa 4 zilizopita hawajaona faida yake.

usemacho kina mantiki mdau,,,,na si kwa waislam tu,even kwa wasiokua waislam,huku tunakoish sensa haijagomewa na waislam tu,,,sensa imegomewa pia hata kwa wasiokua waislam
 
Mi naona kugomea sensa sio tatizo ila serikali ingekuwa na approach tofautitofauti ktk kuhesabu watu wake. Kwa mfano wale wanaokubaloi kuhesabiwa wangehesabiwa tu na wale ambao hawataki kuhesabiwa tujue idadi yao alafu tunajumlisha tu mbona hesabu ndogo tu hiyo. Cha muhimu ni maafisa wea sensa kuangalia idadi ya watu waliogomea sensa then baadaye tunajumlisha hizo figure mbili

issue si figa,,,,issue na mali zao pamoja na viwango vyao vya elim na mengineyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom