Serikali Ikamate Haraka Waliogomea Sensa Kisha Wakahesabiwe Magerezani

Liberty hailazimishwi kwa mtu.. ni haki ya kila binadamu..
Humuwezi kumlazimisha Mtu kushiriki sensa inayoficha ukweli kwa maslahi ya watu fulani. Maadam serikali imerudisha mfumo wa kikoloni ktk ELIMU na AFYA waislaam hawawezi kufanya makosa yale yale tuloyafanya kabla ya Uhuru. Tulitawaliwa miaka 300 lakini hadi 1961 tulikuw ana madaktari wawili na engineer wasiozidi watano.
- Haitarudiwa tena..
 
Mi naona kugomea sensa sio tatizo ila serikali ingekuwa na approach tofautitofauti ktk kuhesabu watu wake. Kwa mfano wale wanaokubaloi kuhesabiwa wangehesabiwa tu na wale ambao hawataki kuhesabiwa tujue idadi yao alafu tunajumlisha tu mbona hesabu ndogo tu hiyo. Cha muhimu ni maafisa wea sensa kuangalia idadi ya watu waliogomea sensa then baadaye tunajumlisha hizo figure mbili

issue si figa,,,,issue na mali zao pamoja na viwango vyao vya elim na mengineyo
 
sensa yenyewe hata bila ndugu zetu kugomea bado vifaa havitoshi, kama hapa nilipo nyumba nyingi bado hazijahesabiwa na madodoso kwisha kabisa. wasingegomea wengine nahisi hali ingekuwa mbaya zaidi!
 
jamani sensa haijagomewa na waislamu tu hata wakristo. nakila mmoja unayemuliza kwanini hutaki kushiriki sensa anadai tumeanza kuhesabiwa muda mrefu sana na faida hatujaiona ila kwa mimi binafsi sijahesabibiwa hata baba yangu mzazi alinipiga marufuku kushiriki sensa na kuniambia wakija hapa fungeni geti sie tunaenda kushinda msikitini. kwakweli ikabidi nimsikilize mana hata mimi nilifanya kazi kubwa sana kumbadirisha baba yangu kutoka ccm kuja chadema, na mama pia nilimtoa cuf na kumleta chadema hivyo SIJAHESABIWA MIMI NA UKOO WANGU WOTE UNAOTUZUNGUKA KWA MAENEO HAYA SIJUI WALIOKO HUKO MBALI.
 
Naishauri serikali ya CCM ifanye haraka kukamata watu wote waliogomea sensa. Hao wataenda kuhesabiwa magerezani. Wakishahesabiwa iwaachie huru kwa kuwa wakiendelea kukaa gerezani wataleta-'damage' kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani.

Swali ninalojiuliza na kunihangaisha ni kama hivi:Nini sensa, wagegomea pia kujiandikisha vitambulisho vya uraia. Wakati wa kuandikisha vitambulisho vya uraia hawa hawa waliamka saa 9:00 alfajiri kuwahi ofisi za watendaji. Ni wanafiki kama nini.

Ninaaamini kabisa kwa 99% kama ingekuwa unahesabiwa na kupewa kitambulisho cha uraia, au ukishahesabiwa unapewa kitambulisho kwa ajili kupata huduma fulani fulani....mawakala wangetafutwa na kupewa rushwa, zoezi lingekuwa mtelemko...
 
jamani sensa haijagomewa na waislamu tu hata wakristo. nakila mmoja unayemuliza kwanini hutaki kushiriki sensa anadai tumeanza kuhesabiwa muda mrefu sana na faida hatujaiona ila kwa mimi binafsi sijahesabibiwa hata baba yangu mzazi alinipiga marufuku kushiriki sensa na kuniambia wakija hapa fungeni geti sie tunaenda kushinda msikitini. kwakweli ikabidi nimsikilize mana hata mimi nilifanya kazi kubwa sana kumbadirisha baba yangu kutoka ccm kuja chadema, na mama pia nilimtoa cuf na kumleta chadema hivyo SIJAHESABIWA MIMI NA UKOO WANGU WOTE UNAOTUZUNGUKA KWA MAENEO HAYA SIJUI WALIOKO HUKO MBALI.

wewe si CHADEMA, CDM wote wamehesabiwa,
 
Misikiti haihusiki, wanaohusika ni watu mmoja mmoja.
Nini sensa, wagegomea pia kujiandikisha vitambulisho vya uraia. Wakati wa kuandikisha vitambulisho vya uraia hawa hawa waliamka saa 9:00 alfajiri kuwahi ofisi za watendaji. Ni wanafiki kama nini.

kwani kwenye vitambulisho vya uraia kuna kipengele cha dini? mbona sasa hawagomei wakidai mtu aonyeshwe dini yake kwenye kitambulisho!!
 
Naishauri serikali ya CCM ifanye haraka kukamata watu wote waliogomea sensa. Hao wataenda kuhesabiwa magerezani. Wakishahesabiwa iwaachie huru kwa kuwa wakiendelea kukaa gerezani wataleta-'damage' kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani.

Swali ninalojiuliza na kunihangaisha ni kama hivi:Nini sensa, wagegomea pia kujiandikisha vitambulisho vya uraia. Wakati wa kuandikisha vitambulisho vya uraia hawa hawa waliamka saa 9:00 alfajiri kuwahi ofisi za watendaji. Ni wanafiki kama nini.

SERIKALI IPI? hivi inakuingia akilini sensa inayoandaliwa kwa miaka kumi bado mapungufu mengi namna hii? hivi tuna serikali kwl? Ten years of anticipation? ten solid yrs halafu maafisa wakukusanya taarifa hawapati malipo no time, kwngne vifaa havifiki on time, kwngne viongozi wa mitaa wanagoma kwakuwa malipo hayajafika, kwngne waislamu managoma? dah SERIKALI LEGELEGE,UTENDAJI LEGELEGE,
 
Mbona mimi cdm damu na ni ustaadhi hapa tandika, acha kupotosha kuwa cdm ni ya wakiristo

kweli Ukafiri kipaji,we Ustadh wa Kanisa gani? Unajua Maana ya Ustadh nyie ndo kila andishi la kiarabu mnaita kiislam mnasahau kuwa even kwaya Arabuni inaimbwa kiarabu!
 
kwani kwenye vitambulisho vya uraia kuna kipengele cha dini? mbona sasa hawagomei wakidai mtu aonyeshwe dini yake kwenye kitambulisho!!

tatizo lako hoja za waislam unasikilizia kupitia Tbc na Radio WAPO,ile 35% ya idadi ya waislam mmeitoa wapi?
 
Mi naona kugomea sensa sio tatizo ila serikali ingekuwa na approach tofautitofauti ktk kuhesabu watu wake. Kwa mfano wale wanaokubaloi kuhesabiwa wangehesabiwa tu na wale ambao hawataki kuhesabiwa tujue idadi yao alafu tunajumlisha tu mbona hesabu ndogo tu hiyo. Cha muhimu ni maafisa wea sensa kuangalia idadi ya watu waliogomea sensa then baadaye tunajumlisha hizo figure mbili

je utajua pato lao???na mambo mengine????
 
jamani sensa haijagomewa na waislamu tu hata wakristo. nakila mmoja unayemuliza kwanini hutaki kushiriki sensa anadai tumeanza kuhesabiwa muda mrefu sana na faida hatujaiona ila kwa mimi binafsi sijahesabibiwa hata baba yangu mzazi alinipiga marufuku kushiriki sensa na kuniambia wakija hapa fungeni geti sie tunaenda kushinda msikitini. kwakweli ikabidi nimsikilize mana hata mimi nilifanya kazi kubwa sana kumbadirisha baba yangu kutoka ccm kuja chadema, na mama pia nilimtoa cuf na kumleta chadema hivyo SIJAHESABIWA MIMI NA UKOO WANGU WOTE UNAOTUZUNGUKA KWA MAENEO HAYA SIJUI WALIOKO HUKO MBALI.

miti umenena mdau,,,,,sensa ni sound za watawala na ni chaka la kulia pesa,,,,,,watanzania leo ukiwaambia wahesabiwe ili wasogezewe maendeleo HAWAKUELEWI
 
sensa yenyewe hata bila ndugu zetu kugomea bado vifaa havitoshi, kama hapa nilipo nyumba nyingi bado hazijahesabiwa na madodoso kwisha kabisa. wasingegomea wengine nahisi hali ingekuwa mbaya zaidi!

hahaha mkuu ina maana vkuna upungufu wa madodoso??!!
 
siwalaum waliogomea sensa na siwapongez waliohesabiwa,,,,,,kila mtu ana sababu zake,,,,,demokrasia ndio inavotaka,mtu kama hatak usimlazimishe,,,yeye hatak sensa kwa sababu zake unamlazimisha wanini????maana hata kupiga kura si lazima,,,,kwani si jambo muhimu????

we kichwa, akili mali mkaka.
 
naishauri serikali ya ccm ifanye haraka kukamata watu wote waliogomea sensa. Hao wataenda kuhesabiwa magerezani. Wakishahesabiwa iwaachie huru kwa kuwa wakiendelea kukaa gerezani wataleta-'damage' kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani.

Swali ninalojiuliza na kunihangaisha ni kama hivi:nini sensa, wagegomea pia kujiandikisha vitambulisho vya uraia. Wakati wa kuandikisha vitambulisho vya uraia hawa hawa waliamka saa 9:00 alfajiri kuwahi ofisi za watendaji. Ni wanafiki kama nini.

Haya ndio matatizo ya elimu za promotions. Failure to analyse issues in their context.
 
Mratibu mkuu wa sensa taifa jana akiongea na tbc alisema wale vinara wa mgomo wote wamesha hesabiwa na watakao kataa watakwenda kuhesabiwa gerezani.

Namshukuru mungu hatimaye sheikh PONDA amehesabiwa!

SENSA KWA MAENDELEO
TUJIANDAE KUHESABIWA
 
Mi mbona sijagoma na sijahesabiwa na hakuna dalili ya kuhesabiwa kwani ninavyosikia wahesabuji wameisha maliza kuhesabu sasa hivi wanamalizia kushedi kama wanavyotamka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom