Serikali iingilie kati suala hili. Linatugharimu sana Vijana na kutuangusha kiuchumi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,754
Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia.

Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa nimewarudisha mademu makwao na kuahirisha ku cheza na games.

Mwingine nlimwona kabisa na hips... Na sura ngozi nzuri. Kuja onana naye kiuno cha kutafuta. Nikapiga simu kutaka uliza mbona hajaja yeye kaamua kumtuma mwingine. Akapokea huyu wa pili ninayemwona. Na sauti ni ile ile.

Nikamuuliza hips zake kaacha wapi.... Akainama hakujibu. Nlimwambia tu si mwaminifu amalizie kinywaji arudi home akapumzike.

Imagine muda nliopoteza? Imagine jinsi ambavyo ameumiza hisia zangu? Imagine pesa nliyompa? Je hii ni halali? Huu si ni utapeli kama utapeli mwingine? Serikali ipo wapi? Why inaacha wananchi wake tuumizwe?
 
Kaa kijanja rafiki, unatoa wapi ujasiri wa kukiamini au kuamini bidhaa kutoka mtandaoni ambayo hata hujawahi juana au kutana nayo?

Bakia kwenye Mali zilizo kwenye chain yako tu.
 
Kila kitu na athari zake dogo,Mimi nilitongoza kwa barua na vimemo enzi za SLP.Pambana na hali yako Serikali ina mengi ya kufanya
 
Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia.

Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa nimewarudisha mademu makwao na kuahirisha ku cheza na games.

Mwingine nlimwona kabisa na hips... Na sura ngozi nzuri. Kuja onana naye kiuno cha kutafuta. Nikapiga simu kutaka uliza mbona hajaja yeye kaamua kumtuma mwingine. Akapokea huyu wa pili ninayemwona. Na sauti ni ile ile.

Nikamuuliza hips zake kaacha wapi.... Akainama hakujibu. Nlimwambia tu si mwaminifu amalizie kinywaji arudi home akapumzike.

Imagine muda nliopoteza? Imagine jinsi ambavyo ameumiza hisia zangu? Imagine pesa nliyompa? Je hii ni halali? Huu si ni utapeli kama utapeli mwingine? Serikali ipo wapi? Why inaacha wananchi wake tuumizwe?
BIASHARA NI KIFUNGASHIO, bila kifungashio kinachovutia hautauza bidhaa yako ndiyo sababu mchina amewaamsha kwa kuwaletea vifungashio vya kila aina na vyote bomba.
 
Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia.

Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa nimewarudisha mademu makwao na kuahirisha ku cheza na games.

Mwingine nlimwona kabisa na hips... Na sura ngozi nzuri. Kuja onana naye kiuno cha kutafuta. Nikapiga simu kutaka uliza mbona hajaja yeye kaamua kumtuma mwingine. Akapokea huyu wa pili ninayemwona. Na sauti ni ile ile.

Nikamuuliza hips zake kaacha wapi.... Akainama hakujibu. Nlimwambia tu si mwaminifu amalizie kinywaji arudi home akapumzike.

Imagine muda nliopoteza? Imagine jinsi ambavyo ameumiza hisia zangu? Imagine pesa nliyompa? Je hii ni halali? Huu si ni utapeli kama utapeli mwingine? Serikali ipo wapi? Why inaacha wananchi wake tuumizwe?
Tutafute mbunge mmoja alkaliongelee hili bungeni. Tunaibiwa sana mitandaoni. Fedha tunazoibiwa zingeweza kuwekezwa zikazalisha na kutengeneza ajira za kutosha tu.

Nauli zinazotumwa ukiweka na za kutolea zake ni kiasi kikubwa sana kinapotea sababu ya hizi filters. Ijulikane moja ukiweka filter ukabadilika kiasi cha kuvutia kumbe hauko hivyo ni utapeli.
 
Hongera Mkuu. Umeongea ukweli. Huu ni uhalifu, kama uhalifu mwingine
Inatakiwa iwe ni kosa la jinai kutumia filter zote za aina mbalimbali
1. Filter ya sura
2. Filter ya ngozi
3. Filter ya rangi ya ngozi
4. Filter ya shepu
5. Filter ya TAKO KUBWA
6. Filter ya hips.
7. Filter ya kutoa kitambi
Tena iwe kosa la uhujumu uchumi kabisa na uhalifu wa njia ya kimtandao.

Bora puli.

Ova
 
Demu akisema hana nauli tu ya kuja, she is not my hype. Apite mbali.
How dare you can't sort yourself a 1,000 shs bill?
Halafu nikudate? Hell no!!!
Ni bora aje na chombo mpaka nilipo animbie nilipe, naona yuko confident anajiamini kweli kweli kwamba hata asiponikuta she manages to solve her own ass.
Nitumie nauli!!!! Date cancelled.
 
Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia.

Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa nimewarudisha mademu makwao na kuahirisha ku cheza na games.

Mwingine nlimwona kabisa na hips... Na sura ngozi nzuri. Kuja onana naye kiuno cha kutafuta. Nikapiga simu kutaka uliza mbona hajaja yeye kaamua kumtuma mwingine. Akapokea huyu wa pili ninayemwona. Na sauti ni ile ile.

Nikamuuliza hips zake kaacha wapi.... Akainama hakujibu. Nlimwambia tu si mwaminifu amalizie kinywaji arudi home akapumzike.

Imagine muda nliopoteza? Imagine jinsi ambavyo ameumiza hisia zangu? Imagine pesa nliyompa? Je hii ni halali? Huu si ni utapeli kama utapeli mwingine? Serikali ipo wapi? Why inaacha wananchi wake tuumizwe?
Kweli nyapu zinadidimiza uchumi na nguvu kazi za taifa! Serikali iingilie kati na kuweka bei elekezi ya kununua papuchi
 
Back
Top Bottom