Serikali ifanye ukarabati katika shule zake

Darkeko

New Member
Apr 27, 2012
2
1
Tumeshuhudia maazimisho ya miaka 50 ya uhuru serikali ikijigamba kuwa imeleta maendeleo ktk elimu kitu ambacho sio kweli,ukizungukia shule zake zote zimechakaa hazina marekebisho achilia mbali zile za KATA njoo uangalie shule zile kongwe zile ambazo ilichukua kutoka kwa mkoloni,toka mkoloni mpaka leo ni vilevile mfano mzuri ni IHUNGO SEKONDARI iliyolo BUKOBA mjini,imesomewa na viongozi maarufu nchini,lakini njoo uone jengo la utawala utacheka,SERIKALI BORESHENI SHULE ZENU IGENI KATIKA SHULE ZA BINAFSI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom