Serikali hasa TAKUKURU tuambieni nani amekula fedha za vijana wa timu ya taifa under 15? Wameshinda milioni 180 wamepewa elfu 20 wakatelekezwa na TFF

Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA
Hivi wakaguzi wao ni icag au makampuni mengine??
Maana hata hela za miradi ya vituo vya michezo kule Tanga na sasa Kigamboni hali ni hiyo hiyo, watu wamepanga , Raisi huwa anasema watu Wana sindiketi ya upigaji, na hata kamati zao zao zimejipanga Kwa minajili ya upigaji
 
Tumeambiwa fedha zitajenga miundombinu ,jezi ni ghali sana kuwapa watoto

Watoto wameanza lini kutumikishwa kujenga miundombinu? Haya mambo FIFA inapiga vita kumbe yanafanyika kisiri siri
 
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA

Vijana pamoja na kudhulumiwa pesa Zao mwaka Jana na TFF , lakini mwaka huu wamejitahidi na kufika fainali. Wangekuwa wengine wasingecheza kwa morali. TFF imefanya vibaya.
 
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA
Nape na Msigwa ingilieni hili suala, vijana walipwe japo Mil 1 kwa kila mmoja.
Kama mlivyokuwa active kwenye tuzo za wasanii, tambueni kwamba mpira pia ni sanaa.
Nasema, walipwe pesa zao
 
TFF inafahamika ni wapigaji!

Unakumbuka issue ya canavaro? Taifa Stars walivyopata hela kwenye michuano aliamua pesa kuigawa huko huko kwa wachezaji wenzake kabla hata hawajarudi nchini.

TFF walimmaindi na kutaka kumchukulia hatua.
Hahaha naikumbuka 😂😂😂😂 waligawana laki nane nane 😂😂😂😂 TFF wakatishia kuwafungia wote maisha, 😂😂😂😂
 
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA
Hivi huu ujinga wa kudai mgao wa zawadi za ushindi ni nani aliwamaaminisha kuwa ni sahihi!!?? Wachezaji hupewa motisha na posho tu, zawadi ya ushindi huwa ni mali ya mmiliki wa team ambaye kwa kesi husika ni TFF. Kumbukeni kuna gharama kubwa mno kuwasafirisha na kuwatunza hao madogo so kinachopatikana kinachukuliwa na federation kwaajili ya kucover gharama na pia kuandaa mazingira kwaajili ya ushiriki wa msimu ujao. Tuache ujinga wa kukurupukia mambo tusiyo na ufahamu nao. Wapi Duniani uliwahi kusikia zawadi za ushindi wa team zimegawiwa kwa wachezaji!? Wangekuwa hawajapewa posho na mahjtaji yao ya kawaida hapo sawa ila kwa hilo la mgao wa zawadi NAPINGANA NALO.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Huu sasa ni upumbavu uliopitiliza

Hawa vijana na kudhurumiwa, inatosha kabisa kutufanya watanzania wote bila kujali itikadi zetu kuwa barabara kwa maandamano yasoyokoma!

Tunaviongozi walafi wasio na soni hata kidogo, hawawezi kuridhika kwa chochote hata walipwe mishahara ya namna gani

Ni wauwaji na hawana huruma
Punguzeni ujuaji basi, wamedhurumiwa na nani!? Vipi kuhusu gharama za kambi, posho na mahitaji mengine ya team? Tangu lini zawadi ya ushindi ikawa mali ya wachezaji?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA
Ndio Tz hiyo. Ziea tu hali. Wavuja jasho wengine na walaji ni wengine.
 
Punguzeni ujuaji basi, wamedhurumiwa na nani!? Vipi kuhusu gharama za kambi, posho na mahitaji mengine ya team? Tangu lini zawadi ya ushindi ikawa mali ya wachezaji?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Name jaribu kuficha uchi wa akili zako. Hizo posho hao watoto walipewa na baba yako? Kama wanawalipa posho na gharama za kambi mbona wamewatelekeza baada ya ushindi? Nani kadai zawadi ya ushindi wapewe wachezaji? Je ni sawa zawadi ya ushindi kupelekwa kuboresha miundo mbinu? Je wanaweza kutuonesha na kutuambia miundo mbinu gani inaboreshwa na kwa gharama gani? Je kama wasingeshinda, hiyo miundo mbinu walikuwa na mioango gani nayo? Je isingeboreshwa? Watoto wameachwa mitaani hawajui pa kuanzia ni sawa kwako? Wamewapa nauli Tsh 20,000 tu alafu wamewanyanganya na jezi? Watoto watarudije kwao? Msiwe mna comment kila mada ili kuficha utupu wa akili zenu. Jitahidini muwe mnasoma na kuacha baadhi ya nyuzi maana mnajivua nguo nyie vijana.
 
Nilikutana na wale makocha wa viungo sijui wa wale madogo, wamevaa jezi za tff wako na vanguard pale msolwa, wanapiga heinkein na mabinti wana makalio kweli kweli.
 
Back
Top Bottom