Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 912
- 4,249
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.
Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?
Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?
TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.
LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA