Serikali haina hela za kuwalipa Mishahara Askari Polisi

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kuna waraka rasmi umetolewa na serikali kuwaomba Askari polisi wawe wavumillivu kwani mishahara yao itachelewa kutoka hadi kwenye tarehe za katikati za mwezi ujao. Askari polisi niliongea nao wanasema sasa kila atakayeingia kwenye vituo vya polisi ataingia bure lakini atatoka kwa hela mpaka hapo watakapolipwa mishahara yao.

Sijui tunaelekea wapi. Tunisia,Misiri au Libya!!?
 
Hawa jamaa ni educated fools yaani wananyimwa haki zao kibao lakin wapo kimya tu, badala ya kuziba njia uwanja wa ndege ili mafisadi wasiende nje ya nch ,wao wana wasindikiza kwa vingora na ulinzi mkali sasa wanalalamika nini.,?wao walianzishe tu sisi tupo nyuma tuna wasapoti hata JwTIZ wana warubiri tu mlianzishe ili nao wawasapoti watu wamechoka bwana.kama vip gadafi,misilata, silte au benghazi.
 
rushwa imebarikiwa moja kwa moja,maana mshahara wenyewe kiduchu haukai hata siku mbili na hali iko hivi si ndo tutakufa kabisa!
 
eBwana eeh, sasa si ndio watakufa na njaa hawa walinda Usalama wa Raia,
Au ndio mbinu ya kuwashawishi wachukue rushwa kwa kasi,
Nawaoneo huruma Polisi hawa na familia zao
 
Walalamike nini wakati kitega uchumi wanacho (rushwa)
amkeni kwanza nyie wananchi kwa kuzitambua haki zenu ili unapokuwa na kesi inaisha bila wao kula hata sh1 uone kama hawaja piga kelele kwamba serikali imewasahau
Hawa jamaa ni educated fools yaani wananyimwa haki zao kibao lakin wapo kimya tu, badala ya kuziba njia uwanja wa ndege ili mafisadi wasiende nje ya nch ,wao wana wasindikiza kwa vingora na ulinzi mkali sasa wanalalamika nini.,?wao walianzishe tu sisi tupo nyuma tuna wasapoti hata JwTIZ wana warubiri tu mlianzishe ili nao wawasapoti watu wamechoka bwana.kama vip gadafi,misilata, silte au benghazi.
 
Walalamike nini wakati kitega uchumi wanacho (rushwa)
amkeni kwanza nyie wananchi kwa kuzitambua haki zenu ili unapokuwa na kesi inaisha bila wao kula hata sh1 uone kama hawaja piga kelele kwamba serikali imewasahau

Nakubaliana na wewe asilimia zote,ukiangali hali ya maisha ya Askali polisi wetu inasikitisha sana,lakini angalia mali walizonazo,ni moja kwa moja ni rushwa au wanashiriki sana katika unyang'anyi hivyo hata wakiambiwa mwezi huu hakuna mshahara wao ni poa tu, mbona kamradi kapo?
 
zamani walikuwa wanapewa posho tarehe 18 mshahara tarehe 22.lakini mwezi uloisha wamepewa posho tarehe 18 mshahara tarehe 6.na mwezi huu posho tushapewa tarehe 18 sijajua mshahara utakuwa lini lakini utachelewa zaidi ya tarehe 4.hii inatuumiza kwenye mikopo kwa wale wanaolipa mikopo tarehe 1.halafu vilevile mazoea yanatesa.sasa hivi mwisho wa mwezi hamna mitungi na zile fujo za maasikari.lakini bia za buku zinaendelea hapa barracks.karibu sana.mia
 
kumbe na wewe afande
 
Hao nao wamezid u.b.o.g.u.s,wakiambiwa wakapge raia mabomu ndio wa kwanza,mishahara ndo hyo hawalipwi..sasa si bora waungane na raia tu kudai mabadiliko.
 
Polisi wana mambo ya ajabu sana,wakisafiri nje ya vituo vyao kikazi hawalipwi la ikitopkea baada ya kusumbuka sana, akihamishwa halipwi kwa wakati mpaka asubiri na wengine huwa wanaenda kuripoti kabisa vituo vipya bila hela,utaambiwa fungu hakuna,sasa limekwenda wapi? lkn wao wapo tuu! shule kitu muhimu sana
 
Hao nao wamezid u.b.o.g.u.s,wakiambiwa wakapge raia mabomu ndio wa kwanza,mishahara ndo hyo hawalipwi..sasa si bora waungane na raia tu kudai mabadiliko.

Mkuu kwa jinsi walivyoupokea walaka huo, nadhani siku sijazo 2taona ya Libya coz askari wanasema eti wamechoka na mishahara midogo, midogo yenyewe haiji kwa wakati. Lakn serikali inasahau, inampa askari silaha na risasi 30 anaenda lindo pekeyake, akiamua kuua raia kwa hasira wangapi watakufa? Sio machafuko hayo. Kikwete angalia idara nyeti, otherwise UTAUMIA! LIPA CHAO HARAKA!
 
ila pesa za miaka 50 ya uhuru zipo kila kona

inauma sana uchungu
 
mkuu hii tafrija inarudisha maendeleo nyuma sana, maana hazina kwa kipindi hiki wanamlundikano wa VOUCHER LIST kutoka mawizarani hakuna hela za kulipa, ukiwauliza wanasema system mbovu!
Mfano kwa wiki wanalipa voucher list moja kati ya tatu zilizowasilishwa!
 
Kuna waraka rasmi umetolewa na serikali kuwaomba Askari polisi wawe wavumillivu kwani mishahara yao itachelewa kutoka hadi kwenye tarehe za katikati za mwezi ujao. Askari polisi niliongea nao wanasema sasa kila atakayeingia kwenye vituo vya polisi ataingia bure lakini atatoka kwa hela mpaka hapo watakapolipwa mishahara yao.

Sijui tunaelekea wapi. Tunisia,Misiri au Libya!!?

inawezekana kabisa. ile ishu ya pinda, askari waliipanga kwa kuwa serikali ilikataa kuongeza mishahara. wakatangaza kuihujumu serikali, na kweli hujuma zilifanyika, na bado zinafanyika chini kwa chini.
 
Kuna waraka rasmi umetolewa na serikali kuwaomba Askari polisi wawe wavumillivu kwani mishahara yao itachelewa kutoka hadi kwenye tarehe za katikati za mwezi ujao. Askari polisi niliongea nao wanasema sasa kila atakayeingia kwenye vituo vya polisi ataingia bure lakini atatoka kwa hela mpaka hapo watakapolipwa mishahara yao.

Sijui tunaelekea wapi. Tunisia,Misiri au Libya!!?
Hii habari hii ina walakini kidogo kama ni kuchelewesha mishahara basi itachelewa kwa wafanyazi wote wa serikali.
 
Back
Top Bottom