Series (Special thread)

Ni Intelligence.. sababu inaweza kuangaliwa na watu wa uelewa tofauti hata watu simple ila hiyo sio sifa ya series kuwa bora , series bora inakuwa haina plot holes nyingi, kuna character development inayoeleweka kunakuwa na unexpected twist ambazo zina blow your mind kama zile sudden deaths za GOT, mpangilio wa storyline pia inakuwa na Memorables characters

Level of intelligence bro inachangia kuna series ni Animation inaitwa Ricky and Morty ile Series ni kali aisee ila mtu wa kawaida tu hivi hawezi akaiangalia wala akaiona interesting na I doubt hata kama unaijua sasa nenda kaifuatilie reviews zake uone. Watu wanaoiangalia mpaka kina Elon Musk
Yaani wewe ndugu yangu nilishamalizana na wewe maana unakurupuka tu sasa hii kweli ni kigezo au maoni yako?😂😆😆

Niambie series ambayo haina plot holes nyingi? Izo plot holes zinaanzia ngapi?

So kama series mtu wa kawaida hawezi kuiangalia iyo inakuwa series bora? Sasa mbona Dark haipo hata top 50 bora za miaka yote?

Ricky and Morty wala GOT hazipo top ten ya IMDB utaaziitaje series bora?

Series ya animation ya miaka yote kali ni Avatar kwa mujibu wa IMDb iyo yako itasubiri sana 😆😆😆
 
Yaani wewe ndugu yangu nilishamalizana na wewe maana unakurupuka tu sasa hii kweli ni kigezo au maoni yako?

Niambie series ambayo haina plot holes nyingi? Izo plot holes zinaanzia ngapi?

So kama series mtu wa kawaida hawezi kuiangalia iyo inakuwa series bora? Sasa mbona Dark haipo hata top 50 bora za miaka yote?

Ricky and Morty wala GOT hazipo top ten ya IMDB utaaziitaje series bora?

Series ya animation ya miaka yote kali ni Avatar kwa mujibu wa IMDb iyo yako itasubiri sana

“Ricky and Morty wala GOT hazipo top ten ya IMDB utaaziitaje series bora?”
 
“Ricky and Morty wala GOT hazipo top ten ya IMDB utaaziitaje series bora?”
La kwanza hujibu maswali najua maswali huwezi kujibu.
Pili hujui tunaongelea nini that why nakuambia wewe unakurupukaga pasipo kujua Watu wanadiscuss nini? Topic yote imeanza IMDb inavyotoa rate kwa series hii bora kuliko nyingine ni sawa kupitia users wao?

So kama huwezi kujibu maswali kaa kimya kama ulivyosema ok kwenye comment yako ya mwisho na sijareply swali la series ipi haina makosa hujajibu na nikauliza maswali mengine pia hujajibu ukachagua swali moja nalo hujaelewa kwasababu kitu unachopenda wewe kuangalia mnaaminisha ni bora na wengine waamini ivo.

Unataja GOT wakati ina makosa kibao na haikumalizika vizuri mpaka Watu wakaanzisha petition ili imaliziwe vizuri but Watu kama sie tunaongalia series na hatujudge kwa kuzipa rate wala kusema hii kali kuliko zingine wakati kila series ina story tofauti na Genres tofauti utasemaje ni bora kuliko nyingine na sijui kusema level of intelligence 😂😂😂
 
Hizi series zako mkuu sio kali kwa mujibu wa IMDB series kali za muda wote hapo kwako ni moja tu Breaking Bad. Unafikiri why series zako ulizotaja sio kali ukiachana na Breaking bad kwa mujibu wa IMDb na zinazidiwa na Chernobyl, Avatar wala The wire?
Natamani tueleweshane zaidi lakini nahsi tutaendeleza ubishi kitu ambacho si lengo la hii thread.

Ningekuelezea kwanini series inakuwa high rated hata kama sio most watched, pia hata Kama sio pendwa sana machoni mwa watu

Ningeeleza pia kwanini breaking bad iko juu zaidi ya series nyingine za aina hiyo japo si wote waliitazama breaking bad.

Na kufupisha huu ubishi, tuseme umeshinda
 
I know how this goes nikitaja Tv show yoyote utakuja na mbwembwe utaleta maneno tena, of course hamna Tv show ambayo inapendwa na kila mtu...lakin sasa punguza maneno, najua utajibu shit na mm sitokaa kimya ntakujibu then utanijibu tena kwa ubishi tutaendelea na majibizano mwisho ntakuwa bored ntaacha na wewe utaendelea kupiga kelele atakuja mtu mwingine utabishanana nae ukichoka utalala. kesho kutakucha utaendelea kubisha blah blah...sihitaji hiyo game
Acha Broh, huyo mtu ataishia "kukuboa" tu.
 
mkuu naomba top 20 ya series zako all the time...lazima ndapata kitu
1. Breaking Bad (G.O.A.T)
2. The Wire
3. Game of Thrones
4. Band of Brothers
5. Better Call Saul
6. Dark
7. Sopranos
8. Sherlock
9. True Detective (Season 1)
10. Rick and Morty (Animation)
11. Vikings (Season 1 to 3)
12. Peaky Blinders
13. Narcos
14. Lost
15. Chernobyl
16. Gomorrah
17. Mr Bean
18. Dexter
19. Avengers: The Last Airbender (Animation)
20. Westworld

21. Fargo (Season 1)
22. Homeland
23. Mandarolian
24. Hannibal
25. Spartacus
26. The Americans
27. Ozark
28. Scam 1992
29. Mindhunter
30. Black Mirror
31. When They See Us
32. The Haunting of the Hill House
 
Ni Intelligence.. sababu inaweza kuangaliwa na watu wa uelewa tofauti hata watu simple ila hiyo sio sifa ya series kuwa bora , series bora inakuwa haina plot holes nyingi, kuna character development inayoeleweka kunakuwa na unexpected twist ambazo zina blow your mind kama zile sudden deaths za GOT, mpangilio wa storyline pia inakuwa na Memorables characters

Level of intelligence bro inachangia kuna series ni Animation inaitwa Ricky and Morty ile Series ni kali aisee ila mtu wa kawaida tu hivi hawezi akaiangalia wala akaiona interesting na I doubt hata kama unaijua sasa nenda kaifuatilie reviews zake uone. Watu wanaoiangalia mpaka kina Elon Musk
Rick and Morty!!!

Rick "Listen Morty, I hate to break it to you, but what people calls LOVE is just a chemical reaction that compels animals to breed. It hits hard, Morty, then it slowly fades, leaving you stranded in a failing marriage. I did it. Your parents are gonna do it"
😂😂😂😂

HII kitu ni hatari na nusu mzee. Mtu anaweza kushangaa inakuwaje "jitu" zima kama hili linaangalia "vikatuni", lakini madini anayomwaga Rick Sanchez humo ndani, sio mchezo.
 
1. Breaking Bad (G.O.A.T)
2. The Wire
3. Game of Thrones
4. Band of Brothers
5. Better Call Saul
6. Dark
7. Sopranos
8. Sherlock
9. True Detective (Season 1)
10. Ricky and Morty (Animation)
11. Vikings (Season 1 to 3)
12. Peaky Blinders
13. Narcos
14. Lost
15. Chernobyl
16. Gomorrah
17. Mr Bean
18. Dexter
19. Avengers: The Last Airbender (Animation)
20. Westworld

21. Fargo (Season 1)
22. Homeland
23. Mandarolian
24. Hannibal
25. Spartacus
26. The Americans
27. Ozark
28. Scam 1992
29. Mindhunter
30. When They See Us
List imeshiba sana hii,shukrani sana mkuu kuna baadhi sijaziangalia ila nilizozicheki top ten yangu hapo ni breaking bad,the wire,fargo,the americans,game of thrones,chernobly,sopranos,vikings,ozark,homeland aisee niliinjoi sana ivi vyuma
 
Ni mara chache sana kukuta mtu anazitaja True Detective na Fargo kama TV Show bora..

Salute bro.. True Detective hasa season 1,ya pili na tatu walizingua
 
List imeshiba sana hii,shukrani sana mkuu kuna baadhi sijaziangalia ila nilizozicheki top ten yangu hapo ni breaking bad,the wire,fargo,the americans,game of thrones,chernobly,sopranos,vikings,ozark,homeland aisee niliinjoi sana ivi vyuma
Umeicheki The Wire!?
 
Rick and Morty!!!

Rick "Listen Morty, I hate to break it to you, but what people calls LOVE is just a chemical reaction that compels animals to breed. It hits hard, Morty, then it slowly fades, leaving you stranded in a failing marriage. I did it. Your parents are gonna do it"

HII kitu ni hatari na nusu mzee. Mtu anaweza kushangaa inakuwaje "jitu" zima kama hili linaangalia "vikatuni", lakini madini anayomwaga Rick Sanchez humo ndani, sio mchezo.

“Break the circle Morty,Rise above...focus on science”

Rick -“To live is to risk it all, otherwise you're just an inert chunk of randomly assembled molecules drifting wherever the universe blows you.”

Hiyo series ina madini mzee yaani quotes zake tukisema tulist haziishi tunakesha hapa

meseeeks “Let’s kill Jerry, i say we follow through”
 
Meseeks walikumbana na kichwa ngumu ya Jerry!
😂😂😂
 
List imeshiba sana hii,shukrani sana mkuu kuna baadhi sijaziangalia ila nilizozicheki top ten yangu hapo ni breaking bad,the wire,fargo,the americans,game of thrones,chernobly,sopranos,vikings,ozark,homeland aisee niliinjoi sana ivi vyuma
naomba hints kdogo hapo kwenye Chernobly
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom