Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 761
Yaani wewe ndugu yangu nilishamalizana na wewe maana unakurupuka tu sasa hii kweli ni kigezo au maoni yako?😂😆😆Ni Intelligence.. sababu inaweza kuangaliwa na watu wa uelewa tofauti hata watu simple ila hiyo sio sifa ya series kuwa bora , series bora inakuwa haina plot holes nyingi, kuna character development inayoeleweka kunakuwa na unexpected twist ambazo zina blow your mind kama zile sudden deaths za GOT, mpangilio wa storyline pia inakuwa na Memorables characters
Level of intelligence bro inachangia kuna series ni Animation inaitwa Ricky and Morty ile Series ni kali aisee ila mtu wa kawaida tu hivi hawezi akaiangalia wala akaiona interesting na I doubt hata kama unaijua sasa nenda kaifuatilie reviews zake uone. Watu wanaoiangalia mpaka kina Elon Musk
Niambie series ambayo haina plot holes nyingi? Izo plot holes zinaanzia ngapi?
So kama series mtu wa kawaida hawezi kuiangalia iyo inakuwa series bora? Sasa mbona Dark haipo hata top 50 bora za miaka yote?
Ricky and Morty wala GOT hazipo top ten ya IMDB utaaziitaje series bora?
Series ya animation ya miaka yote kali ni Avatar kwa mujibu wa IMDb iyo yako itasubiri sana 😆😆😆