nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,335
- 8,116
fungua hio link nlokuwekea ila zote znafunguka mbn mkuu......series karibu zote za korea utazikuta hapo kwa MB chache kabisaPage not found, hakuna namna nyingine?
Drama begin with ALL
fungua hio link nlokuwekea ila zote znafunguka mbn mkuu......series karibu zote za korea utazikuta hapo kwa MB chache kabisaPage not found, hakuna namna nyingine?
wali sogeza mbele zile mbili za kwanza zili lik tu now ndio itaendelea kama kawaidaLast ship wameanza ile kukata kata wameniboa balaaa. Yaani wiki nzima sijaona hata episode moja pambavu zao
Mi nngependa kujua hyo ya Gray's anatomy inahusu nn ata hyo ya angle's of mercyMimi nilizoangalai na kuvutiwa ni
Gray's anatomy
Scrubs
Angle's of mercy
Prison break
Inahusu vampires.inahusu nini hebu nijuze best
vizuriInahusu vampires.
Mike Ross fraudSuits. Aitakuja tokea kama hii
Ni Hobby ndugu... Ila series yangu ya kwanza ilikuwa 24HRs... enzi hizo niko chuo , 2005... Sasa piga hesabu zako mpaka sasa mtu bado anapenda Series... Wacha Kabisa!!!!Wengi wenu mtakua bado wanafunzi wa chuo...sap kibao