Series (Special thread)

Hapana ni Korean au? Nipe kwa ufupi genre yake na story yake inahusu nn

No sio Korean a ni series inayohusu a women mmexico alikuwa poor akawa katika mahusiano na drug dealer her boyfriend akauwa so in taking revenge akaamua kujikita kwenye drug business pia aka end up kuwa drug dealer mkubwa
 
Ya kwanza PRISON BREAK.. then..
BREAKING BAD.
SCORPION.
GAME OF THRONES.
TRANSPORTER THE SERIES..

na
TUTANKAMUN.
Japo hii ina Part tatu so itakua ni movie series..
 
Habari wanajamvi?
Mie kwakweli series ambayo.naipenda ni PRISON BREAK maana akili iliotumika sio ya dunia hiin
Wewe je sema ipi na kwanini...
HOUSE OF CARDS naipenda....anayejua series znazofanana na hizo aniwekee aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom