Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,151
- 159,076
Ni kweli mkuu part nzuri ni wakiwa porini,wakirudi town inaanza kuboa
Hebu tulia bwana uiangalie, nawe unapenda vya porini eeh?? Tulia uone vya mjini vinavyonoga

Arrows iko poa asee ifuatilie kwa makini. Kama uapenda vitu vya porini icheki The 100 utainjoy sana.Ni kweli mkuu part nzuri ni wakiwa porini,wakirudi town inaanza kuboa
Kaka inaelezea ulafi madaraka, udikteta na mapinduzi mfano halisi ni nchi ya Libya ilivyokua na Gadafi
We haya tu njoo nikufundishe maisha ya porini
Miss u pia mpaka nikiona jina lako moyo unadunda kwa sekunde
Hebu tulia bwana uiangalie, nawe unapenda vya porini eeh?? Tulia uone vya mjini vinavyonoga
Pori linahusika unajua...? Halafu kuch kuch ya kwenye farasi si unaona inavyokua inapendeza?
I know unajua jinsi Legend of the Seeker ilivyokua tamu
Atlantis nk.
Check na Crossbones utaipenda kama bado hujaiona
Crossbones (TV Series 2014â ) - IMDb

Hiyo legend of the seeker niliangaliaga ila u cant emagine hata siikumbuki zaidi ya jina, atlantis nimecheki season 1 tu 2 bado, mie yule bonge ndio ananifurahisha, mmmh! Hiyo kuch kuch ya kwenye farasi duuu ngoja tamwambia Viol anielezee vizuri

Hiyo cross bones haina yale madude yanayotisha kweli? Maana jina kimenitisha kidogo
Aaah legend of the seeker sipendi,mi sipendi series au kupigana mapanga