Series (Special thread)

Pori linahusika unajua...? Halafu kuch kuch ya kwenye farasi si unaona inavyokua inapendeza?

I know unajua jinsi Legend of the Seeker ilivyokua tamu

Atlantis nk.

Check na Crossbones utaipenda kama bado hujaiona

Crossbones (TV Series 2014– ) - IMDb

Hiyo legend of the seeker niliangaliaga ila u cant emagine hata siikumbuki zaidi ya jina, atlantis nimecheki season 1 tu 2 bado, mie yule bonge ndio ananifurahisha, mmmh! Hiyo kuch kuch ya kwenye farasi duuu ngoja tamwambia Viol anielezee vizuri
 
Last edited by a moderator:

Aaah legend of the seeker sipendi,mi sipendi series au kupigana mapanga
 
Atlantis imetoka season 2 na imeisha walianza kutoa episode 6 hadi December 2014 na wakaendelea na the rest episodes April 2015 sahizi walishamaliza season 2 yote na tunasubiri Season 3 Mungu akipenda.

Hiyo cross bones haina yale madude yanayotisha kweli? Maana jina kimenitisha kidogo

Hapana ni Adventure nzuri sana ya pirates ila ina story nzuri sana kuzidi Black Sails kama nayo umeshawahi kuiona. Haitishi hata kidogo just check the trailer ndo utaipenda.
 
Aaah legend of the seeker sipendi,mi sipendi series au kupigana mapanga

Yaani mie ndio zinaniboa balaaa, i checked it kipindi hicho dogo anaiwatch, yaani za mapanga hata hazinogi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom